mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jifunze kusikiliza nafsi yako, usiende kinyume na mwili wako..!

    Kama kila siku unafanya Kitu Fulani na nafsi inakuwa very smart kukifanya Kitu hiko Basi siku ukiona nafsi IPO tofauti na matakwa yako jifunze kutiii Mungu hawezi kushuka akakwambia Leo sehemu Fulani hapana hawezi kushuka Ila anatumia mwili wako huo huo kukupa signal kuwa something Is wrong...
  2. JamiiForums Tanzania Respect kwa "mabigi" wote nchini. Mwili nyumba ina maana kiuhalisia

    MMESHAELEWA, NIANDIKE KIPI ZAIDI??
  3. JamiiForums Tanzania Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

    Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii. Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo. Haya maisha yetu yanafikirisha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
  4. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate. Hii ni mada ya swali jee wajua kuwa kwenye usafi binafsi wa mwili, kuna uwezekano Waislamu ni wasafi...
  5. JamiiForums Tanzania Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ile ya mwili wa marehemu kugoma kuzikwa mahala fulani huwa imekakaaje? Huwa kuna energy fulani au ni mazinga ombwe tu?

    https://youtu.be/KyKBrBjCuf4?si=riIJh0YWtQ-9mt8o
  7. JamiiForums Tanzania Malezi: Adhabu gani na Wakati gani unapaswa kumuadhibu Mtoto? Hivi ndivyo utakavyofanya.

    MALEZI: ADHABU GÀNI NA WAKATI GÀNI UNAPASWA KUMUADHIBU MTOTO? HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sasa umeshakuwa na Familia. Au pengine huna lakini unatarajia Siku za karibuni utakuwa na Familia. Binadamu wôte waliotimamu wanajua Hakuna Maisha mazuri nje ya familia...
  8. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi yamshikilia Jaina Mchomvu kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Miaka 12 kisha kuficha mwili wake uvunguni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kwa Mrombo katika Halmashauri ya Jijini la Arusha aliyekutwa ameuawa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu...
  9. JamiiForums Tanzania Fahamu mwili wa kiongozi U.S.S.R na uhifadhi wake

    Hii ndio picha ya mwisho ya Vladimir Lenin, aliyekuwa kiongozi wa kwanza wa Muungano wa usovieti, U.S.S.R. Mwaka 1923, Lenin alipata tatizo la kupooza na kupoteza uwezo wake wa kuongea. Hatimaye tarehe 21 January 1924 alifariki dunia. Baada ya kufariki, Joseph Stalin alichukua madaraka...
  10. JamiiForums Tanzania SWALI FIKIRISHI KUHUSU ROHO, MWILI NA NAFSI.

    Habari za leo; Ingawa kuna controversial nyingi sana kuhusu mwanzo wa dunia na ulimwengu basi leo nimeamka na swali hili kuhusu wanyama au viumbe wengine. Watu wengi na baadhi ya maandiko ya kisayansi na kiimani husema kwamba binatamu ana sehemu tatu zinzocontrol ubinadamu wake. Ambazo ni...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wote hapa ambao hawaamini kama Mungu yupo someni hapa

    Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi La Polisi mkoa wa Kusini Unguja lathibitisha kifo cha Askari wake ambaye alitoweka tangu mwezi Agosti akiwa msituni

    Wanabodi, Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja muda mchache uliopita limetoa taarifa kuhusu kifo cha Askari Haji Machano Mohamed wa kikosi cha Valantia (KVZ). Askari huyo alitoweka tarehe 08/08/2024 wakati akihudhuria mafunzo ya uongozi katika Chuo cha Uongozi cha Jeshi la Kujenga...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri. Mwili wangu unawasha ukipatwa na mtikisiko wa muda mrefu

    Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko. Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya mazoezi tena, mwili huanza kuwasha, then huacha baada ya kutokwa jasho jingi wakati naendelea na...
  14. JamiiForums Tanzania Mwili Wa Kanali wa Guinea Wapatikana akiwa amefariki

    Mwili wa Kanali wa Guinea ambaye alitoweka karibu mwaka mmoja uliopita uliwasilishwa jana kwa mkewe katika mji mkuu wa Conakry, mmoja wa Wanasheria wao alisema. Kanali Celestin Bilivogui ni afisa wa pili wa Kijeshi katika miezi ya hivi karibuni kutangazwa kufariki katika Mazingira ya...
  15. JamiiForums Tanzania Uchawi ni nini? (Roho, Nafsi, Mwili)

    Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina (Shiriki) Kwanza unatakiwa ujue wakati Mungu anamuumba mtu hapa duniani haikuwa kazi yake au...
  16. JamiiForums Tanzania Dorothy Semu ashiriki katika msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro

    Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu, leo 17 Septemba, 2024 akiwa safarini kuelekea Jimbo la Rombo amepita Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga kwenye kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro ambaye alifariki tarehe 9 Septemba...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi unatambua ndoto mbaya sometimes zinakupa taarifa za ugonjwa wako katika mwili?

    achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani. ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server katika mfumo wako wa ubongo unakawaida wa kuleta kukusanya na kuleta taarifa hasa ukiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Jamani Mwili Wangu Unawasha balaa

    Nina Mwezi tangu mwili wangu uanze kuwasha yaani nawashwa mwili mzima hali inayopelekea kujikuna sana aswa kwenye joto ndo miwasho inazidi najikuna Hadi kujichubua ngozi yaani nawashwa balaa na hali inazidi usiku nikiwa nimelala, yaani Hadi mboo Kwa ndani kwenye joto najifikicha balaa maana...
  19. JamiiForums Tanzania Nikifikiria ujauzito mwili unaishiwa nguvu kwa kuwa sijampenda kutoka moyoni

    Hello JF Members, tuachane na utani. Let's discuss this serious issue Kuna binti wa jirani yangu hapa. Anatokea bush ndani ndani. Baada ya kuanzisha utani wa hapa na pale na kumgusia suala zima la kumuoa, kajikuta amedata. Siku ya jana mida ya saa 11 jioni wakati natoka mizungukoni, nikakuta...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake kwenye kuanika mwili huwa hawana uoga kulinganisha na wanaume!

    Hii dhana kwamba wanawake huenda wasiwe na hofu kubwa ya kuwa kuuanika mwili kuliko wanaume inaweza kuathiriwa na mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, kisaikolojia, na kibiolojia: Mazingira ya Kitamaduni: Katika tamaduni nyingi, wanawake mara nyingi hufanyiwa ubaguzi au kuhukumiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…