Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu, leo 17 Septemba, 2024 akiwa safarini kuelekea Jimbo la Rombo amepita Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga kwenye kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro ambaye alifariki tarehe 9 Septemba...
achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani.
ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server katika mfumo wako wa ubongo unakawaida wa kuleta kukusanya na kuleta taarifa hasa ukiwa...
Nina Mwezi tangu mwili wangu uanze kuwasha yaani nawashwa mwili mzima hali inayopelekea kujikuna sana aswa kwenye joto ndo miwasho inazidi najikuna Hadi kujichubua ngozi yaani nawashwa balaa na hali inazidi usiku nikiwa nimelala, yaani Hadi mboo Kwa ndani kwenye joto najifikicha balaa maana...
Hello JF Members, tuachane na utani. Let's discuss this serious issue
Kuna binti wa jirani yangu hapa. Anatokea bush ndani ndani. Baada ya kuanzisha utani wa hapa na pale na kumgusia suala zima la kumuoa, kajikuta amedata. Siku ya jana mida ya saa 11 jioni wakati natoka mizungukoni, nikakuta...
Hii dhana kwamba wanawake huenda wasiwe na hofu kubwa ya kuwa kuuanika mwili kuliko wanaume inaweza kuathiriwa na mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, kisaikolojia, na kibiolojia:
Mazingira ya Kitamaduni: Katika tamaduni nyingi, wanawake mara nyingi hufanyiwa ubaguzi au kuhukumiwa...
Kwenu wataalumu na wajuaji wa Jamiiforums hili swala kwakweli linanitatiza sana na kuna muda unajiona kama ni ulemavu fulani hivi.Naombeni majibu hii inatokana na nini?
Iko hivi mwaka 2022 nilianza rasmi mazoezi ya kubeba weight/nondo/vyuma.sasa kadri siku zinavyoenda mwili ukaanza kukaa...
Kuna kipindi nilikuwa ninahisi maumivu kwenye jino la mwisho, nikaenda hospitalini kupiga xray ikaonekana nina jino chini ya fizi, inabidi litolewe.
Nikaweka appointment ili niende kesho yake kulitoa.
Asubuhi na mapema nikawahi hospitalini, Daktari nilekutana nae ni kijana mdogo mwenye rika la...
Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu.
Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili.
Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo...
Habari wa kuu, kijana moja anaefahamika kwa jina la meshaki mkazi wa kitongoji cha makondo "A" amechomwa na kisu sehemu kadhaa za mwili na aliyetendanda unyama huu ni jirani take, suala hill limeonekana kufumbiwa nacho na viongozi mtaa pamoja na afisa inasadikika kuwa mtuhumiwa ametoa rushwa ili...
Habari
Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama..
1.Pua kucheza
2.kung'ata ulimi
3.ngozi juu ya jicho kucheza
4.na viungo vinginevyo..
5...
6...
Asante.
Je yote haya yanaashiria nini sana sana...
Leo Mjanja M1 nimetafakari sana juu ya hili suala,
Kumekuwa na watu wanarekebisha mpangilio wa meno yao kwa surgery hawalalamikiwi, lakini wanaobadilisha Maumbile eg. Wanawake Wowowo wanasakamwa sana.
Au waumini mnachagua madhambi baadhi?
Habari wakuu,
Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi kuiridhisha mioyo yetu na hali tulizo nazo.
Ukitazama kiurahisi kufanikiwa na kutofanikiwa ni kama...
Mwili huzalisha sumu kutoka kwenye chakula unachokula , kugawanyika kwa chembe hai au chembe hai zinapokufa kutokana na umri. Sumu hii huitwa Free radicals ( reactive oxygen species).
Unapoamka asubuhi andaa hii recipe ambayo nakuwekea hapa;
CHEMSHA VIFUATAVYO,
Mdalasini, tangawizi , karafuu (...
Eheeee.
Habari nmeamua tu kukudokeza Uumbaji wa Mungu ni waajabu sana Mungu ametupa joto ambalo huwa linapungua na kuongezeka kulingana na mahali na vitu tunavyofanya. Shetani katika kutimiza malengo yake ameleta vitendea kazi ikiwepo Vipodozi vikali vya kujichubua n.k
Hivi Vipodozi vinapunguza...
Shalom,
Napitia wakati ngumu sana nyakati hizi, wanawake, wadada, mabinti wengi ninaokutana nao zama hizi kwa ajili ya kulijenga jumba la maraha jumba la zeze, kwa bahati mbaya wengi wao tayari wanafunguo za milango yote ya nyumba kubwa na ndogo.
Nasikitika sana nawaza uelekeo wa maisha haya...
Mpendwa Bachelor, Ikiwa sababu kuu ya kuwa mwanamke ni kwa sababu ana kifurushi kikubwa cha mbele aka Manchester united na kifurushi cha nyuma aka Arsenal, basi hauko kwenye MAPENZI. Haijalishi unafikiria nini, ikiwa unaona tu mali yake ya mwili basi UMEPOTEA katika TAMAA...
Wanabodi imekuwa ni jambo la kawaida kupotezana na mtu
kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10, lakini mnapo kutana baadhi wanakuwa wamebadikia sana muonekano
wa sura na mwili kwa ujumla.
Wengine wanakuwa na mvi nyingi, kipara, sura imeanza kuchoka mwili mkubwa ila mwingine anakuwa hana hivyo au vipo...
KULA KWA JASHO NI KUHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI SIO LAZIMA UTOE JASHO LA MWILI AU UFANYE KAZI ZA NGUVU YA MWILI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna kasumba ambayo inatesa baadhi ya vijana wa kiume ndani ya jamii huku wakinukuu maandiko ya kwenye Biblia Kuwa "Mwanaume atakula kwa jasho"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.