Nimegombana na mke wangu, ni kama tumekaushiana hapa ndani ila sasa nataka tunda, najua nikiomba sitakataliwa ila itaondoa uzito wa makosa yake na baada ya hapo nitakosa nguvu ya kuwa mkali. one two one two...
Waefeso 5:28-33
28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.
29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa.
30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake.
31...
Katika mwili wa mwanamke kuna hormones ambazo haumsaidia katika kuujenga mwili wake na kumfanya kuwa mwanamke imara kibaiolojia.
Kuna kitu kipo very common kati ya binti bikra ambaye hajaingiliwa kabisa na mwanaume, House girl ambaye anaweza kukaa hata miaka 3 akiwa kazini bila kufanya...
Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu
Ukiweza kufika kituo hiki cha Nishati basi utakuwa na uwezo mkubwa wa kiroho na kupata maono na utambuzi wa mambo mbalimbali
Kujifunza zaidi namna ya kufungua vituo hivi vya Nishati basi kalibu sana.
Salaam, Shalom!!
Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla.
Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU...
Habari wa kuu! Samahani nina jambo huwa linanipa Shaka kwenye mwili wangu je ni kinga kuwa nyingi au kuna kitu kinaendele. Mwilini mwangu sina chanjo yoyote na sijawahi kuchomwa sindano ya dawa yoyote lbda ya ganzi wakati natoa jino. Pia naweza kukaa miaka 7 sijaumwa zaidi ya mafua tu na...
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea...
Video inayoonyesha mtiririko wa damu unaobeba oksijeni na kusambaza katika tishu mbalimbali za mwili, kazi kubwa ya damu ni kusambaza hewa ya oksejeni mwilini. Hewa ya oksejeni huingia mwilini kwa kuvuta pumzi kisha hufika kwenye mapafu na kuingia katika mkondo wa damu na kusambazwa mwilini.
Ukichukua maiti ukaiweka sehemu safi mfano katika vigae au kitandani,
Hii maiti ikianza kuoza wale bacteria (wadudu) ambao huanza kuibuka je huwa wanatoka wapi?
Kama ni katika mwili means ndani ya Mwili wa binadamu kuna hao backteria ?
MKURUGENZI WA MNH: UGOMVI NA MWENZA WAKO UNAWEZA KUPUNGUZA KINGA YA MWILI
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohammed Janabi, ametoa ufafanuzi wa kitaalamu kuhusu athari za ugomvi na mwenza kwenye afya ya mwili, akibainisha kuwa hali hiyo inaweza kupunguza kinga ya...
Salaam, shalom!!
MADA hii ni fundisho Kwa wale wasioamini kwamba mtu afapo, mwili wake hupelekwa either Kuzimu au Mbinguni.
Na mwili unaopelekwa kuzimu ni mwili upi? Ni huu wa Damu na nyama?
Jibu ni Rahisi tu,
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI, anaishi ndani ya MWILI.
Na ikiwa mtu ni ROHO, uwe na...
Hellow Tanganyika!!
Uliyoyasikia kuhusu wewe kuchoka Si mwili pekee, Bali Fikra za kuleta uono Mwema wa chama na Nchi chini ya uongozi wako.
1. Kupoteza kumbukumbu ni kiashiria kikuu Cha Mkt Mbowe kuchoka, Ndugu Mbowe umeshasahau kuwa Mwaka 2014 chama chako kimekuwa mstari wa mbele kudai...
Wakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.
Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa...
Kitabu kitakatifu cha Quran Kinatanabaisha kuwa binadamu na viumbe vyengine ni nafsi na lazima vionje(kupitia/mchakato wa kifo).
Swali langu linakuja vipi kuhusu mwili je,haufi?au ndiyo unazaliwa upya baada ya miaka kadhaa(aacording to indian Holly books).
Unapokufa sawa mwili unaachana na...
Kufuatia tukio la mama mjamzito aliyejulikana kwa jina la Bi. Sophia Shabarula, mfugaji jamii ya kimasai, kupoteza maisha wakati akijifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa, ndugu na jamaa wa familia ya marehemu huyo wamegoma kuchukua mwili wa marehemu wakishinikiza kupatiwa sababu za...
Nguvu za kiume ni pesa na nguvu za kike kiuno na joto la samosa, nyakati hizi za mapenzi na maokoto tambua hilo, mwaga mpe chake mwambie tembea, funga mlango.
Mimi sio mwenyeji wako umekuja kibiashara ondoka kibiashara, Binadamu ni mwili sio nafsi.
Ondoka kama ulivyokuja sina muda.
Ubwela...
Wakuu si kwema kabisa
Kazi za site za ujenzi wa wachina zinafanana na mauaji. Kupandisha na kiroba cha saruji floor ya 4 huku subuhi umekula maandazi mawili na chai ya mia sio poa
Nimeingia site nikajiona shujaa wa maisha hali niliyokutana nayo ndugu zangu sio poa kabisa. Wiki hii yote mpaka...
Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi
mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini.
Faida za tendo wakati wa mvua
1.kuimarisha upendo baina ya wenza
2.kuondoa stress za Kazi na biashara
3.njia ya kutatua Ugomvi
4.inachochea...
Mwili wa mtu ambaye hajatambulika umekutwa pembezoni mwa barabara chini ya mti wa muembe katika Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora mkoani Tabora. Tukio hilo limeripotiwa baada ya wakazi wa eneo hilo kuona nzi wakiruka katika eneo husika.
Mkazi wa eneo hilo, Dorothy Fungamizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.