mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Mufti anapata faida gani kusema uongo kuhusiana na mwandamo wa mwezi?

  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwezi huko vipi, umeonekana?

    Lete habari SUNNI as opposed to SHIA
  3. JamiiForums Tanzania Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa

    Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa. Kuna hawa watu wanafunga na wakiona watu wanakula wanakasirika au wanawapiga na kuwauwa basi hao wanahinda na njaa wamebadilisha mda wa kula. Yule anaye funga kwasababu ya kuwaombea...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi mbona M-Wekeza gawio ninalopata haliendeni na kiwango changu, mwezi uliopita Nina 19 M wakaniwekea gawio la 158000

    Hawa jamaa mbona kama wanawizi Fulani mwanzoni walikua wanatoa gawio la kueleweka Sasa hivi kama Kuna utapeli Fulani hivi yaani million 19 gawio liwe 158000 pumbavu sana Hawa jamaa niliweka mwaka Jana mwezi wa tatu mwanzo walikua wanatoa vizuri hii miezi ya mwisho wameshusha gawio
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Halmashauri ya Ubungo hatujalipwa tangu Juni 2025

    Sisi ni ajira mpya Halmashauri ya Ubungo, hatujalipwa pesa zetu za kujikimu tokea mwezi wa 6 mwaka jana (2025). Tumejaribu kuafuatilia sana kwenye ofisi za Halmashauri husika, pasipo kupata majibu sahihi kuwa ni lini watatulipa pesa zetu.
  6. JamiiForums Tanzania Hii Kauli Ni Sahihi Kutolewa Na Inspekta Wa Polisi: " Tusiruhusu Watu Kula Mchana MwezinWa Ramadhani Ni Mwezi Wa Heshima" !?

    Wakuu Hii Video Sijui Ya Lini Nimekutana Nayo Mtandaoni.. https://www.instagram.com/reel/DVmBxopCM-5/?igsh=Nnp2amUycTVub3Ax
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Kiongozi wa umma, jitahidi usiongee PUMBA mwezi mzima

    Kuna kiongozi / viongozi sasa ni zaidi ya miezi anaongea/ wanaongea pumba! Hakuna any meaningful takehome message from his mouth!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wadada mnavosema mnataka mwanaume wa kuwahudumia, kipato cha huyo mwanaume kiwe ni sh ngapi kwa mwezi?

    Habarini, Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili. Tuje kwa ground kwenye takwimu zisizo rasmi hasa kwa hii nchi yetu ya ulimwengu wa 3 Wanaume wengi wenye...
  9. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani

    Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
  10. JamiiForums Tanzania Je Tuutumie Mwezi Huu wa Toba, Kufanya Toba ya Kweli, Tukiri Makosa Yetu, Tujute Dhambi Zetu, Tuungame, Tusamehewe, Nchi Itakasike Au Tusubirie Tume?

    Wanabodi Hii ni Makala yangu ya leo, kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo Declaration of Interest Naomba kuanza kwa kudeclea interest kuwa mimi ni muumini wa ile rai ya Makomu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, tusiendelee kuzungumzia kile kilichotokea October 29, ili tusizidi...
  11. JamiiForums Tanzania Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Uingereza na Kwengine

    https://youtu.be/O2f1eKISpy8?si=V5wnjV3iy7h25gH3
  12. JamiiForums Tanzania CHAPUTA waonywa mwezi wa Ramadhani

    CHAPUTA wameonywa kuacha mara moja tabia hiyo katika mwezi mtukufu kwani itakuwa sawa na kushinda njaa. Tuwaombe viongozi wao wa kitaifa na kimikoa kufikisha taarifa hizo kwa wanachama wao
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye huku tuliko mwezi umeandama

    Sijui Muisilamu mwenzangu uko inchi gani tuungani kufunga kwa matendo mema maana hii ni neehema hatujui kama mwaka kesho tutapata fursa ya kufunga kiafya na kiuzima
  14. JamiiForums Tanzania Nina million 1 nifanye mishe Gani mpaka mwezi wa 6 iwe imefik1 5m wakuu naombeni mnisaidie wazo

    Naombeni mnisaidie wazo la biashara yeyote Nina million 1 nataka mpaka mwezi wa 6 iwe imefika 5m ndio Lengo langu Kuna kitu nataka nifanyie
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO TaESA wamechelewesha malipo ya waajiriwa kwa zaidi ya Miezi miwili

    Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika. Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa mishahara yetu ya mwezi Disemba mwaka jana na Januari mwaka huu licha ya kusaini mkataba unaoonesha...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Miliki apartment yako kwa bei za chini kabisa kabla ya tarehe 1 mwezi wa 3 mwaka huu. Nipigie uje site

    Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara, Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2. Unit zinapopatikana hapa ni one, two...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa. Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri. Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
  18. JamiiForums Tanzania Nawashukuru wote mliochangia uzi wangu mwaka jana mwezi wa 8

    Mwaka jana niliandika uzi hapo chini https://www.jamiiforums.com/threads/nimeishi-na-mwanamke-miaka-mitatu-bila-kupata-mtoto-nifanyaje.2376687/ Japokua msaada sikuupata kutokana na mtu wa hapa jf lakini nawashukuru wote, pamoja na wengine waliochangia kwa masihara. Ukiwa na jambo lako...
  19. JamiiForums Tanzania Hii inamaanisha nini, BUNDI kukaa nje ya Nyumba zaidi ya Mwezi kila Usiku na haondoki?

    Wakuu wa Jukwaa, leo na mimi nina swali ambalo linakua linanitatiza sana kichwani kwangu kwa muda kidogo sasa. Nimekua napitia hali ya kujiuliza maswali mengi sana juu ya kiumbe hiki kinachoitwa BUNDI. Bundi ni ndege mwenye sifa kede wa kede. Sitaki kuzungumzia sifa za ndege huyu, leo nimeona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…