Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,362
- 11,589
Na hakuna mpango hata mmoja niliopanga kuhutimiza ukatimia.
Nilijua nikiachana na shughuli za uchakataji kwa takribani nusu mwaka nitapiga hatua kwa kiasi fulani, walau pesa ambazo ningepigwa vizinga nizichange change nikanunue kiwanja Kiruvya, hakuna hata kimoja kilichotimia
Naanza kupatwa na wasiwasi kwa kuwa akili yangu haiwazi tena mbususu hata kwa kuilazimisha
Ila sio mbaya, suluhisho la haya yote ni mwezi Oktoba