mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Kuanzia tarehe 20/12 mtapata kuku wa nyama kwa bei poa kabisa

    Wadau wangu wa nguvu, kwa wale wa Morogoro, kwa shilingi 12,000 pekee utapata kuku wa nyama kuanzia mwezi wa 12 kuanzia tarehe za 20 karibu karibu na Christmas 🎄. Tupeane ka support hapo. Wasiliana na Mimi kupitia (WhatsApp and normal) +255 743 016 950
  2. JamiiForums Tanzania Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  3. JamiiForums Tanzania Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  4. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza kima cha chini cha mshahara sekta binafsi mwezi huu

    Serikali imesema kuwa itatangaza rasmi kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi mwezi huu wa Novemba 2022. Hayo yamesemwa Bungeni leo Novemba 11, 2022, ikiwa ni baada ya Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara sekta binafsi kukamilisha kazi ya kupanga kima cha chini cha mshahara.
  5. JamiiForums Tanzania Mashujaa wa taifa hili mwezi huu afande mtarajiwa Majaliwa na Yangaa mmenikosha sana

    MUNGU Awabariki KUJITOA KUNA BARAKA ZAKE THX ENGN THX MAJALIWA THX DAR YOUNG AFRICANS
  6. JamiiForums Tanzania Mvua zitaanza kunyesha Kuanzia tarehe 18 Mpaka 26 Mwezi huu ingawaje hazitakuwa nyingi

    MVUA ZITAANZA KUNYESHA KUANZIA TAREHE 18 MPAKA 26 MWEZI HUU INGAWAJE HAZITAKUWA NYINGI Anaandika, Robert Heriel, Mwanajiografia Hali ni Tete Kwa sehemu ya nchi kuwa na uhaba wa mvua. Hii ni kusema kuna janga la ukame kinaendelea. Kijiografia Mvua zilipaswa zianze mwezi mmoja baada ya jua...
  7. JamiiForums Tanzania Kutokana na kupanda kwa gharama za vifurushi, napumzika rasmi kununua vocha na kujiunga na vifurushi kwa muda usiojulikana

    Moja kwa Moja. Nina line tatu kila nikichungulia hakuna uafadhali, nilikuwa najiunga halotel kufushi cha Halotel Royal 5K kwa mwezi napata dakika na Mb ambazo zilikuwa zinanifaa kusongesha maisha lakini cha ajabu leo nimekuta wameondoa na cha bei ya chini sio elfu tano tena bali ni elfu Kumi...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Mwezi Mmoja tumekopa Trillion 7, Kuna siku nchi itapigwa mnada

    Kwa skyrocket hii ya kukopa na misaada naanza kumwelewa Spika Mstaafu Job Ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada. October 1: Billion 978 Kutoka Abu Dhabi. October 11: Trillion 4.9 Kutoka Benki ya Dunia. October 26: Billion 380 Kutoka Umoja wa Ulaya (EU). October 27: Billion 310 Kutoka Korea...
  9. JamiiForums Tanzania Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

    "Chief Twit" mpya wa Twitter Elon Musk anaripotiwa kufikiria kufanya blue tick kuwa kuwa kipengele cha Twitter Blue, wakati huo huo akiongeza mara nne gharama ya huduma ya usajili. Hii inamaanisha kuwatoza watumiaji ada ya kila mwezi ya $20 ili kuweka beji yao ya tiki ya bluu. Inaelezwa kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

    Mlima kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu. KINAPA NA TANAPA AMKENI .
  11. JamiiForums Tanzania Ni Kiongozi gani nchini aliingiza Malori 500 Mwezi Machi?

    Na baada ya Kuyaingiza Ili Wafukuaji Wabobezi wa Taarifa Ngumu, za Ndani na za Hatari akina GENTAMYCINE wasijue akaona Ili Kutuzuga na Kutuficha Watanzania ayawekee Nembo ( Chapa ) ya Kampuni kubwa inayoidhamini Klabu Moja ya Mpira isiyopendwa na GENTAMYCINE na iliyomsajili Mchezaji Mmoja Mwizi...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA BOXER CC 125 (ina mwezi unaenda mwezi wa Pili) BM X

    Hii pikipiki nilininunua TAR 5 mwezi wa 9 nita attach risiti ya Manunuzi. Pikipiki sina namna naweza ielezea, "ni mpya" Naiuza sio kwa shida hivyo mteja apatikane asipatikane yote kheri. Sababu ya Kuiuza ni kutokana na ngekewa ambayo imenitokea bila kutarajia, sikua nimetarajia kabisa kupata...
  13. JamiiForums Tanzania Pesa ni kama mpira, always unatembea (Somo muhimu la mwisho wa mwezi)

    Juma Mgunda ana msemo wake mzuri sana. Anakuambia 'Ball itembee'. Na ukichunguza ni kweli bana, ball ama mpira, muda wote huwa unatembea. Vivo hivyo, pesa kama ball tu, huwa ina kawaida ya kutembea. Ukiwa na pesa mfukoni lazima kutatokea sababu ya kuitumia hiyo pesa kwa sababu pesa siku zote...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wanaonishangaa kutumia GB 60 kwa mwezi (tena kwa kujibana) ni vipi wao wanatosheka na GB chini ya 10

    Yani hata hizi gb 60 kwa mwezi kwangu ni ndogo najibana, ingekuwa najiachia basi kila nikitoka kazini navyopumzika kwa saa nikimruhusu mtoto acheki katuni zake kwenye Netflix 4k kwenye tv basi ndani ya muda huo gb 6 zishakatika, hapo sijahesabia matumizi yangu. - Nafanya online backups za...
  15. JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) watangaza Securities Investment and Trading Course kuanza mwezi Novemba

    DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Nilifanya course iliyopita na kwakweli madini niliyoyapata yalikuwa yamesimama. huwa naattend sana forums nyingi za investments na personal finance lakini hii course ilinifanya nijue kiundani jinsi soko la mitaji linavyofanaya kazi...
  16. JamiiForums Tanzania Makinda: Matokeo ya SENSA yatatangazwa mwisho wa mwezi Oktoba 2022

    Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022, Spika mstaafu Anne Makinda amesema matokeo ya sensa hiyo iliyofanyika Agosti 23 yatatangazwa mwisho wa mwezi huu na matokeo yatabandikwa kwenye mbao za matangazo. Makinda ameyasema hayo leo Oktoba 12 na kusema hatua zote za uchakataji wa...
  17. JamiiForums Tanzania PSSSF yalipa mafao bil. 60/- kila mwezi

    MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umesema kila mwezi huwalipa Sh. bilioni 60 wastaafu wa mfuko huo. Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko huo, James Mlowe, alisema fedha hizo hulipwa wastaafu 150,000 kwa mwezi. Aidha, alisema Mfuko huo unalipa zaidi ya Sh. bilioni...
  18. JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yazidi kushuka

    Vicheko vitaendelea kutawala Oktoba kwa watumiaji wa mafuta kufuatia kushuka kwa bidhaa za mafuta kama mwenendo wa bei ulivyotolewa leo Oktoba 4. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Alama za mwezi na nyota katika majengo ya misikiti

    Hizi ni alama kuu ambazo hupatikana katika majengo ya kufanyia ibada takatifu katika dini ya Kiislamu ambayo hujulikana kama msikiti(misikiti).Alama hizi ni mwezi mpevu pamoja na nyota. Historia yake: Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya kihistoria, hizi alama zilianza kutumika kuanzia karne...
  20. JamiiForums Tanzania Ifike mahali Wanakwaya kanisani na wahudumu wa Kanisani Walipwe mishahara Kwa mwezi

    IFIKE MAHALA WANAKWAYA NA WATOA HUDUMA KANISANI WALIPWE MISHAHARA KWA MWEZI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Hii ni mara ya tatu nazungumzia Jambo hili. Mara ya Kwanza nililizungumza mwaka 2012, mara ya pili 2020, Kutokana na Unyeti wa Jambo lenyewe. Mambo ya Huduma za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…