mwezi

  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Imetimia mwezi mmoja sasa tokea nimeanza kukaa na Mwanamke, natamani nimtimue

    Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Sasa hizi selection za kidato cha tano (form five) na vyuo zitatoka mwezi wa sita au?

    Inashangaza mpaka sasa tukiwa tunauendea mwezi wa tano bado tu wakati inafahamika fika kuwa kunakuwa na gharama kibao. Pamoja na kufuta ada, lakini kwa utitiri wa michango iliyopo advance mzazi itamgharimu si chini ya laki tatu (300,000/=) kuweza kumpeleka mtoto shule. Kiasi hiki ni kichekesho...
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Je, ninunue aina ipi na nizitunze vipi cadet na jeans zikae walau mwaka?

    Kuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka/rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengele ni nguo. Nilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajeti yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waislam Tuendelee kufunga na kufungua kwa kuona mwezi?

    Daah!! Mufti wa siku hizi Wana Smart phones, television na radio nyumbani, ofisini, kwenye simu na kwenye magari yao. Je, Tuendelee na utaratibu wa kufunga na kufungua kwa kuuona mwezi kwa macho yetu hapa mtaani kwetu? Ni kwanini mtume alihimiza Waislam waitafute elimu hata uchina? Uchina hakuwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha kuangalia kuandama kwa mwezi kinauzwa shillingi ngapi?

    Kutokana na utata wa kuandama Kwa mwezi pamoja na ukuaji wa technology naomba kufahamu endapo kipo kifaa maalum chakuangalia kuandama Kwa mwezi na gharama yake NI kiasi gani ili tuweke mikakati yakukinunua na kukiweka kwenye mamlaka husika. Tanzania tuna wadau wengi wanapenda kufanikisha ibada...
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Yaani mwaka 2023, mwezi uandame Rwanda, Kenya na Uganda halafu usiandame Tanzania! Hapa kuna utapeli kwa 100%

    Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%. Sote tunajua...
  8. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Waislamu wa Tanzania wanasubiri Mufti atangaze Mwezi hadithi inasemaje?

    Waislamu wa Tanzania mnaomfuata Mufti Eid yenu ni lini. Kesho ni Eid fitri Saudi Arabia, UAE announce Eid al-Fitr will start on Friday Amani Hamad, Al Arabiya English Published: 20 April ,2023: 05:26 PM GSTUpdated: 20 April ,2023: 07:53 PM GST The first day of Eid al-Fitr will begin on Friday...
  9. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine Eid kesho Mwezi wa Shawwal ulishaonekana

    Kada Abubakar Zuberi na tawi lake la CCM (BAKWATA) kama kawaida watatufungisha siku ya Eid.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Aliyeona mwezi wa Eid atushtue tujiandae

    Kama kawa, Kama dawa
  11. comte

    JamiiForums Tanzania TRA mnawaibia TFF na timu za mpira kwa kuwakata VAT badala ya kusubiri iletwe kwenye ritani za mwezi husika

    Kwa kawaida mlipa kodi aliyesajiriwa kwenye VAT hutakiwa kulipa au kudai kurejeshewa tofauti ya kodi kwenye mauzo na kodi kwenye manunuzi kutegemeana na ukokotozi. Kwa taarifa hii ya TFF inaelekea TRA imechuka 18 % mapato yote ya mchezo wa siku husika. Kwa maoni yangu hii ni kinyume cha sheria...
  12. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Naelekea Wizarani kumkabidhi Waziri bodaboda na vyeti ili asote navyo mwezi mzima

    Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja Nitamtaka achague moja kati ya haya: (a) Aingie...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha bora ya mwezi: Kipa wa Yanga alivyoteswa na Kibu

  14. Termux

    JamiiForums Tanzania Kukosa hamu ya kula na uchovu, mate kujaa mdomoni sana ni dalili ya nini?

    Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini? Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine?
  15. The Eric

    JamiiForums Tanzania Cheki unavoweza kupata milioni 5 kila mwezi au laki 5 kila mwezi

    Salaam.....Good morning billionaires 😁😁😁😆 kabla hujakaa kwenye kiti wewe ni bilionaire a big mogul. ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa hapo sawa ukifuga ng'ombe 10 tu wanatoa maziwa wote lita 300 kwa siku hapo uwe na soko la maziwa la uhakika maana cow mmoja anatoa lita 30 sawa na 1000 kila...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ama kweli huu ni mwezi mtukufu.Miji imekuwa majiji

    Miujiza ya Allah ni mingi sana.Moja wapo ni katika huu mwezi mtukufu wa Ramadhani. Ameujaalia uwe ni ujumbe kwa kila binadamu aliye hai.Si kwa waislamu peke yao ila ni kwa watu wa dini zote. Tangu siku ya mwanzo mwezi unapoanza masoko hujaa wanunuzi.Tulidhani kwa vile watu wanafunga basi kula...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Wachina waliopo nchi za nje wajumuika na waislamu duniani kutoa michango katika mwezi wa Ramadhani

    Katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani imekuwa ni ada na desturi kwa Waislamu na wasiokuwa Waislamu kuendeleza moyo wa kuchangia na kuwasaidia watu wa makundi mbalimbali. Na hii ni pamoja na kufutarisha mayatima, watu wenye maisha duni, waumini wa misikitini ama hata watu kawaida...
  18. Matope

    JamiiForums Tanzania Siku yake ya kuzaliwa (Birthday 🎉) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

    Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu! Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwezi mtukufu, natabiri Rais Samia atachukua point zote tatu atakapoulizwa kuhusu ndoa za jinsia moja

    Huu ni mwezi WA toba Kwa Wakristo na Waislam; Ni mwezi ambao Tanzania inategemea kupata ugeni wa Makam wa Rais wa USA na moja ya Jambo linalosumbua katika safari yake ni hoja ya mahusiano ya jinsia moja. Hatuna shaka kwamba Mhe. Rais wetu atakutana na swali linalohusu msimamo wa Tanzania kama...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Waislamu wa Xinjiang wanavyotekeleza ibada ya Kufunga mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa uhuru

    Wiki iliyopita Waislamu zaidi ya bilioni moja kote duniani walianza kutekeleza nguzo ya nne ya Uislamu ambayo ni kufunga mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo China, ndani ya kipindi hiki Waislamu hutekeleza imani yao kwa uhuru bila kubanwa. Kwa hivyo kwa wale ambao...
Back
Top Bottom