Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa.
Kuna hawa watu wanafunga na wakiona watu wanakula wanakasirika au wanawapiga na kuwauwa basi hao wanahinda na njaa wamebadilisha mda wa kula.
Yule anaye funga kwasababu ya kuwaombea...
Hawa jamaa mbona kama wanawizi Fulani mwanzoni walikua wanatoa gawio la kueleweka Sasa hivi kama Kuna utapeli Fulani hivi yaani million 19 gawio liwe 158000 pumbavu sana Hawa jamaa niliweka mwaka Jana mwezi wa tatu mwanzo walikua wanatoa vizuri hii miezi ya mwisho wameshusha gawio
Sisi ni ajira mpya Halmashauri ya Ubungo, hatujalipwa pesa zetu za kujikimu tokea mwezi wa 6 mwaka jana (2025).
Tumejaribu kuafuatilia sana kwenye ofisi za Halmashauri husika, pasipo kupata majibu sahihi kuwa ni lini watatulipa pesa zetu.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
halmashauri ya ubungo
mpya
mwezi
ubungo
Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro.
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu.
Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo.
Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
Anonymous
Thread
afya
afya ya binadamu
afya za watumiaji
binadamu
chafu
hata
hela
holela
kero
kila mwezi
kiunganishi
kuchukua
kuepuka
kutokana
magonjwa
magonjwa ya mlipuko
mamlaka
mawenzi
mjini
mlipuko
mvua
mwezi
nyakati
soko
uchafu
ushuru
viongozi
wakazi
wateja
watumiaji
Habarini,
Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili.
Tuje kwa ground kwenye takwimu zisizo rasmi hasa kwa hii nchi yetu ya ulimwengu wa 3
Wanaume wengi wenye...
Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
Wanabodi
Hii ni Makala yangu ya leo, kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo
Declaration of Interest
Naomba kuanza kwa kudeclea interest kuwa mimi ni muumini wa ile rai ya Makomu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, tusiendelee kuzungumzia kile kilichotokea October 29, ili tusizidi...
CHAPUTA wameonywa kuacha mara moja tabia hiyo katika mwezi mtukufu kwani itakuwa sawa na kushinda njaa.
Tuwaombe viongozi wao wa kitaifa na kimikoa kufikisha taarifa hizo kwa wanachama wao
Sijui Muisilamu mwenzangu uko inchi gani tuungani kufunga kwa matendo mema maana hii ni neehema hatujui kama mwaka kesho tutapata fursa ya kufunga kiafya na kiuzima
Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika.
Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa mishahara yetu ya mwezi Disemba mwaka jana na Januari mwaka huu licha ya kusaini mkataba unaoonesha...
Anonymous
Thread
malipo
mamlaka
miezi miwili
mwezi
taesa
ufafanuzi
uongozi
waajiriwa
Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara,
Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2.
Unit zinapopatikana hapa ni one, two...
Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa.
Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri.
Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.