Ni habari njema. Mjasiriamali na social media maarafu wa kuuza vipodozi Niffer kaanza kuwa mweupe tena.
Watu walishaanza kukata tamaa alivyoanza kuwa mweusi alipokuwa mahabusu lakini faraja imewarudia kwa kuwa mweupe tena.
adriz de mbusii
Ili maandamano yawe maandamano yanahitaji watu wengi sana wayaunge mkono. Nguvu ya maandamano inategemea na idadi ya wananchi wanaojitokeza kuyaunga mkono.
Maandamano ya chadema ya Oktoba 29 hayakuungwa mkono na wananchi, hivyo ilikuwa rahisi kuyadhibiti. Na yale ya December 09 wananchi...
Vita vya paka mweusi na jogoo mweusi vinapata watazamaji chini ya milioni moja, pambano la paka mweusi na jogoo mweupe hupaa hadi watazamaji milioni tano. Hata hivyo, pambano la paka mweupe na jogoo mweupe hufikia watazamaji milioni 20, lakini ajabu kuu ni vita kati ya paka mweupe na jogoo...
Sikuratjia kama huyu msanii anaweza kuwa na uwezo mdogo saana wa kujenga na kuchambua mada na kujileza hadi nilipomsikilizi jana jioni kupitia kituo kimoja cha redio ambacho kimekuwa kikitumiwa na chama cha kijani kupitisha ajenda zake.
Kumbe jamaa hata shule hamna. Aisee tupeleke watoto...
Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali —dada yangu jitunze, jali afya ya chombo chako, miiko ya wanaume imekuwa legelege kwa sababu ya masufuria yenu kuwa na ukoko wa shombo
Kuna watu wanadhani ukiwa mweupe ndio unakua mzuri na wengine wanakwambia “ weupe umekubeba”, ila kiuhalisia kuwa na muonekano mzuri ni combination ya vitu vingi.
Kwa mfano mimi mbali na kua mweupe, kuna watu wanapenda ninavyo smile,
Kuna wanapenda kucha zangu,
Kuna wanapenda macho na midomo...
UTANGULIZI:
Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
asili
balozi
changamoto
friji
ghana
hata
haya
hoja
jamiiforums
kisasa
korea
korea kusini
kuhusu
kuliko
kusini
kuweka
makosa
mjadala
mweupe
nchini
sana
uteuzi
vyakula
waafrika
wenye
Kesho weka bundle Mkuu kuna good news zinakuja .
Taifa linaenda kupona
Timu zipo tatu
-hana deni (Consumers)
-NREN
-Tubadilishe Striker la sivyo tukose wote .
Wabaya zaidi wazee watukose wote wapo wengi na hapa mzee wa NRNE anaenda kujiokotea Dodo
Kocha Mchezaji ambaye alipata GPA 2 kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika.
Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa...
Habari wakuu,
Mtama mweupe unahitajika, angalau tani 30 kwa wiki.
Pia kama utapatikana zaidi ya kiasi hicho kwa wiki itakua vizuri zaidi.
Mkoa wowote tunaweza kufika, chamsingi iwe ni ndani ya Tanzania.
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0626532223
NILikuwa naangalia wapiga kura wa kuchagua pope mpya
Kabla ya yotre ealieleza tukiona moshi mweupe ujue papa amekuja
Mweusi mjue shuhuli pevu
Sada nawaza huu moshi hutokea wapi
Na kama ni sababu ya moto anayewasha n nani??
Kila la kheri mtoa moshi embu kwa walivyochoka wapiga kura njoo na...
Miaka yote sijawahi kuona Ccm mkiandikisha wanachama wenu kwa kuwataka waje na kadi ya mpiga kura wazi wazi kama sasa,kunauhusiano gani wa kusajili wanachama wenu ili waoate kadi za ccm hadi waje na vitambulisho vya kura?Mbona Chadema wamesajili hawakuwahi kuhitaji kadi za mpiga kura?
Wakuu naombeni mnieleweshe jamani hivi shetani ni mweusi? Na malaika ni mweupe yaani ukifuatilia baadhi ya picha na filamu mbalimbali unaonesha kwamba tafsiri ya shetani ni weusi wake na someone ambae ana mapembe hivi hivi kuna mtu amewahi kumuona shetani? Na baada ya kumuona aka prove kwamba...
Haya haya sasa
March ndio hii
Swali kama mmeliona hapo
Msaidieni mwenzenu
Mpenzi wake ni mweupe, mwanaume Mbongo na mweupe sio mzungu
Ila ana kibamia na hatoi hela
Afanyaje?
Salaam,Shalom!!
Nalikuwa katika Roho, usiku, ndani ya nyumba, ghafula nikapata uwezo wa kuona nje mawinguni.
Naliona jeshi kubwa la Malaika na WATAKATIFU wakiongozwa na jemedari mkuu, Yesu Kristo, amevaa taji yenye kungaa sana kichwani mwake, mikononi alishika upanga ungaao sana, alipita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.