LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,115
- 27,105
Uzi huu ni maalumu kuelezea kuhusu mwisho wa maisha ya Mitume na Manabii mbalimbali WA MWENYEZI MUNGU.
Namna walivyo kamilisha safari Yao ya maisha Yao hapa duniani.
Sababu zilizo pelekea vifo vyao.
1. YESHUA AMASHIACH ama YESU. Wakristo watanishambulia Kwa kumuweka katika moja na Manabii na Mitume Kwa sababu Kwa mujibu wa mafundisho ya Ukristo, Yesu ni MUngu
Lakini pili watanishambulia Kwa kumuweka kwenye kundi moja na Manabii ambao mwisho wa maisha Yao hapa duniani ulikuwa ni mauti Kwa sababu mwisho wa maisha ya Yesu hapa duniani haukuwa kifo. Na Kuna UKWELI ndani yake Kwa sababu mwisho wa siku Yesu alifufuka na alipaa Juu MBINGUNI.
Anyway let's assume Jesus was a prophet like any other prophet.
Jina : YESHUA AMASHIACH alias YESU.
CHANZO CHA KIFO: KUSULUBIWA MSALABANI.
After hivyo, he was resurrected 3 days later and ascended to Heaven, so it will be so unfair to say that he died because people who dies are never to be seen again. If he raised from the dead it means he has power over death. So we have to accord him some due respect.
2. PROPHET MUHAMMAD, PEACE BE UPON HIM.
Chanzo cha kifo: KULA CHAKULA CHENYE SUMU. This messenger of God was poisoned by one ZAINAB BINT AL HARITH. Zainab Bint Al Harith alikuwa mwanamke wa kiyahudi. Alikuwa memba WA Jamii ya wayahudi walio kuwa wakiishi Saudia na nchi nyinginezo za kiarabu kama vile Yemeni n.k. And of course her Jewish family migrated to Saudia from Yemen.
Mwanamke huyu alipika nyama ya Mbuzi ( kondoo?) na kwenye nyama hiyo alitia sumu Kali.
Baada ya kufanya tukio hilo haraam na la kisheitwaan na baada ya Prophet na baadhi ya maswahaba wake Kula nyama hiyo, mwanamke huyu aliitwa before the Prophet . Prophet alimuuliza kwanini umefanya hivi na yeye akajibu ametumwa na wayahudi kulipa kisasi huku tukio hilo likitumiwa na wayahudi kupima kama kweli prophet alikuwa Mtume WA Mungu au laa.
Hadith nyingine zinasema prophet alimsamehe mwanamke huyo na nyingine zinasema aliagiza mwanamke huyo awe beheaded.
Maswahaba walio Kula chakula hicho pamoja na Muhammad they died on the spot and the prophet himself died few days later akiwa anapata matibabu nyumbani Kwa bi Aisha ambae alikuwa ni mmoja Kati ya wakeze.
Hadith nyingine zinasema prophet alifariki miaka minne baadae.
3. Nabii MUSSA .
Chanzo cha kifo: NI utata, anae Jua atafafanulie plz.
3. Nabii Joshua
Chanzo cha kifo: Unknown.
4. Nabii Ibrahim.
Chanzo cha kifo: Unknown.
Please wadau fungukeni kuhusu Manabii wengine pia na kama Uzi wangu Una makosa basi nisahihisheni.