mwenyezi mungu

  1. Hance Mtanashati

    Je, umeshawahi kufikiria nini kitatokea endapo mitume nayo ikaja kumuasi Mwenyezi Mungu huko huko peponi kulingana na wivu la kidaraja baina yao?

    Huku duniani tumekuja kuchuma ila matumizi ya kile tulichokichuma tutakuta huko maisha ya peponi. Kila mmoja atapata neema ya pepo kulingana na thawabu alizozichuma huku duniani. Mitume ya Mwenyezi Mungu ipo mingi sana ila wapo wale mitume ambao daraja lao ni kubwa zaidi kuliko wengine mfano...
  2. Hance Mtanashati

    Hivi ulishawahi kujiuliza Mwenyezi Mungu ametokea wapi?

    Hivi ulishakaa na kujiuliza Mwenyezi Mungu ametokea wapi? Na ilikuwaje kuwaje akawaza kuumba . Je maisha ya upweke aliishi kwa muda gani kabla hajaumba malaika ,wanadamu na majini na viumbe wengine. Hiyo infinity past unaichukuliaje? Nini kitatokea hao aliowaamini nao wakakengeuka? Hapa...
  3. Hance Mtanashati

    Miongoni mwa neema au bahati kuu watakayoipata watu wa peponi ni kuonana na Mwenyezi Mungu

    Si kila binadamu atapata bahati ya kumuona Mwenyezi Mungu. Watakaobahatika kumuona Mwenyezi Mungu ni wale tu waliokidhi vigezo na kufuzu mitihani waliyopewa hapa duniani kubwa zaidi kukamilisha kile walicholetewa duniani ambacho ni kuabudu. Hii ni kitu special sana, tukija hata kwenye maisha...
  4. R

    Chaula tunakuombea heri za Mwenyezi Mungu huko uliko kama bado uko hai

    Kijana mdogo, kuchoma picha ya yeye kuchora unatoa uhai wake halafu unavaa ushungi eti unatimiza Matakwa ya dini!
  5. Godoro la kioo

    Nina Imani Mwenyezi Mungu ameyapokea maombi

    tebt
  6. Beira Boy

    MWENYEZI MUNGU akubariki dada yangu Yasinta Makwabe

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuelekea mwisho wa mwaka nimekuwa nikitoa baraka kwa watu wote Lakini leo ni special kwa dada yangu Yasinta Makwabe Ubalikiwe na KRISTO YESU anayekuja SAYUNI BOY
  7. Just Pray

    PostGE2025 Dkt. Rioba wa TBC: Mwenyezi Mungu ameyafunga maandamano yoyote yale Tanzania. Ameniambia atamalizana na wanaopanga kuliangamiza Taifa

    Mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook ameweka wazi maono ambayo amedai kuoneshwa na Mwenyezi Mungu. "Mwenyezi Mungu amenifunulia kwamba njama zote za kuivuruga Tanzania hazitafanikiwa! Amenionesha kuwa ameyafunga maandamano yoyote yale Tanzania na...
  8. J

    Naombea Yanga afungwe na Far Rabart

    Salut sana waungwana wa JF. Awali ya yote kabisa NaDECLAIRE INTEREST, mimi nilikuwa shabiki kindaki ndaki kabisa wa hii timu kongwe hapa nchini, ila kwa sasa soccer la bongo silipendi kabisa. Katika mawazo yangu kwa sasa (come rain, come shine) ni December 9 tu. Hii timu ya YANGA...
  9. C

    Nimeupenda utulivu wa wakatoliki na hiyo ndiyo dini ya haki ya mwenyezi mungu

    Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
  10. DuaZaMama

    PostGE2025 Joh Makini: Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu

    Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".
  11. GENTAMYCINE

    Mkiambiwa kuwa hawa Wanawake tuwapende tu ili tusimkwaze Mwenyezi Mungu, ila siyo Watu wazuri kabisa muwe mnaelewa sawa?

    “My Wife Abandoned Me When I Was Banned from Football & Lost My Fame” Paul Pogba said it in an Interview. Chanzo: The Nairobi Times Kuna mwingine Mumewe yuko Wodini Muhimbili akiwa Kalazwa Mkewe kaenda kumkumbushia Hela ya Matumizi ya Siku.
  12. Yoda

    Ni upekee gani wa WaIsrael ulifanya washushiwe vitabu vitatu kati vinne vya Mwenyezi Mungu?

    Wakristo wao wanaamini Israel ni taifa teule lilichogaliwa na Mungu ndio maana mambo yote ya dini ya Ukristo na ukombozi yamepitia Israel, hawana kipengele katika hili, mjadala uliopo unaowaganya ni kama Israel ya sasa au ya kale ndio taifa teule. Kwa upande wa Waislamu wao wana story ya...
  13. K

    Kanisa ni taasisi imara ilikuwepo na itakuwepo milele hakuna wa kulifuta kanisa isipokuwa Mwenyezi Mungu tu

    Leo siku ya pentecost tunafundishwa kuwa ni sikukuu ya kuzaliwa Kwa kanisa takatifu la Mungu sikukuu ya Mavuno... Watu Wana ongea lugha mbalimbali lakini zote Zina msifu Mwenyezi Mungu... Hakuna wa kulifuta wala kulivunja hekalu katatifu( KANISA) 1. Kanisa ni nyumba muhimu 2. Kanisa ni ofisi...
  14. Just Pray

    PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
  15. Dr Adam Francis

    Mwenyezi Mungu, twaomba uyafungue macho ya rais wetu

    Kwa wasomaji wa historia ya uprotestant watakuwa wanakumbuka dua maarufu; "Lord, open the King of England's eyes" ya William Tyndale, aliyoiomba akiwa anachomwa moto October 1536 kwa kosa la kutafsiri Biblia kwa lugha ya kingereza. Kwa faida ya wasiofahamu, mpaka karne ya 16, dini pekee katika...
  16. K

    Mwenyezi Mungu ni wa milele

    Mwenyezi mungu ni mungu wa majeshi Haijaandikwa kwenye biblia Mungu wa wanasiasa Niyapongeze majeshi kwa kazi zao nzuri . Kwa vile mwenyezi mungu ni mungu wa majeshi naomba niyaombe majeshi yetu Tuendelee kumtumainia mwenyezi mungu Akitokea mwanasiasa atushurutishe Mambo yaliyo kinyume na...
  17. M

    Tunakuomba Mwenyezi Mungu Ijalie Ushindi Mnono Simba Sports Club Vs Stellenbosch hapa Zanzibar

    Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe tu, tujalie ushindi leo hapa visiwani Zanzibar mda mfupi tu tutakapocheza na Stellenbosch...
  18. Knock life

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  19. M

    Tunakuomba Mwenyezi Mungu Utujaalie Ushindi Mechi ya Leo dhidi ya Al Masry, Inshaallah

    Ewe Mwenyezi Mungu, Muumba Mbingu na Ardhi, ulisema ombeni mtapewa, nami nasimama mbele yako hapa uwanjani kwa Mkapa mvua ikiwa inanyesha, nakuomba allah jalali, mungu wa viumbe wote duniani, utujaalie ushindi wa kishindo leo uwanja wa Taifa ili roho zetu zipate kutulia. Mwenyezi Mungu, wewe...
  20. Tman900

    Nilivyo Jariwa na Mwenyezi Mungu

    Mimi ninaa amini ktk Ukuu wa Mungu, ila siwezi to ufafanuzi mpana ktk hilo. Ila katika Maisha yangu binafsi Huwa namshukuru Mungu kwa Kunijaria Bahati Hii Bahati ninayo toka kuzaliwa. 1. Biashara Nikifanya Biashara huwa inafanikiwa, na popote, Jambo lolote ni ninalolifanya kwa Nia ya Biashara...
Back
Top Bottom