mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mabadiliko yajayo ya Ma-RC namuona Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam kama RC mpya

    Suala la soko la Karume kuungua moto ikiwa ni muda mfupi tu baada ya soko la kariakoo kuungua moto linaweza kuja na taswira mpya ya baadhi ya watendaji kuwajibishwa. Moja ya watendaji ambao naona wakiwajibishwa ni RC wa DSM ikiwa ni njia ya kuponya majeraha ya maumivu kwa machinga. Naona pia...
  2. ACT Wazalendo: Wanachama 11 wametia nia kugombea nafasi tatu zilizotangazwa kuwa wazi, ikiwemo ya Mwenyekiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mnamo tarehe 17/2/2020 Chama chetu kiliondokewa na aliyekuwa Mwenyekiti wake wa Taifa hayati Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa mujibu wa ibara za 84(4) na116(4) za Katiba ya ACT Wazalendo (Toleo la 2020) nafasi hiyo inapaswa kujazwa ndani ya miezi kumi na mbili (12)...
  3. Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  4. M

    Chadema hakijui mambo ya kufanya kama short run na haya ya kufanya kama long run vyote wanachanganya

    Nimemsikiliza Lema na wana Ufipa wengine bado naona Chadema hakijifunzi kwani ni wepesi sana kuhamishwa, hakina senta of interigensi, usemaji, mipango, mbinu, inafikia hatua wanasahau kama mwenyekiti anatupia ndoo. Huu ulikuwa wakati mzuri sana wao kutulia na kukiangalia kimbunga cha CCM na...
  5. Audio: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, amezungumza na waandishi wa habari leo, Januari 7, 2022

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu leo, January 7, 2022 saa 4:00 asubuhi, saa za Afrika ya mashariki, amezungumza na waandishi wa habari. Chanzo: Chadema Media https://www.youtube.com/watch?v=WgIY7Q7w2uM =====
  6. B

    Mwenyekiti wa CCM anakwenda kuamua tena nani agombee ubunge kama alivyofanya Hayati Magufuli kipindi kilichopita. Ukimkosoa Mwenyekiti umeumia

    Ndani ya CCM ulizaliwa mfumo wa wabunge kupita kwa hisani ya Mwenyekiti, mfumo huu unakenda kuzima mabishano ya hoja. In long-run hakutakua na kiongozi nchini atakayetoboa bila kumnyenyekea mwenyeti, na kwa mantiki hiyo tunaelekea kipindi ambacho malengo yako kisiasa utafikia pale tu...
  7. I

    Kinachoiponza CCM ni katiba yao kuwa Rais wa nchi ndiyo mwenyekiti wao wa Taifa

    Kama CCM ingekuwa na Mwenyekiti wa Taifa tofauti na Rais wa nchi hali isingekuwa kama ilivyo sasa ya msuguano ndani ya chama. Ndugai kama Mkuu wa muhimili wa Bunge angekuwa na uhuru wa kumkosoa Rais na Rais angeweza kujibu hoja bila jazba. Aidha Rais angeweza kukosoa udhaifu wa Bunge na Spika...
  8. M

    CHADEMA wamesahau madhila yao wanamshambulia Ndugai huku wakisahau Mwenyekiti wao yupo nguvuni

    Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku. Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano. Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni...
  9. T

    Mwenyekiti wa CCM kampa nafasi mwanachama na mjumbe mwenzake kama anatosha kuendelea na kuamua kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumiwa

    Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na mkosaji ili kulinda heshima na urafiki wao( Rejea kuondoka kwa waziri mkuu 2008) Kwa mamlaka yake...
  10. CCM kwa sasa siyo tena chama cha siasa bali kikundi kilichoshika mateka uhuru wa kutoa maoni na hakitaki mwenyekiti akosolewe.

    Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo kinachokumbatia na kuabudu ukuu wa mwenyekiti wa chama kuliko utaifa wetu. Chama hiki hakina tena tofauti na CCP...
  11. F

    Ndugai hafai kuwa Spika, CCM mkalieni kikao na kumvua uanachama

    Huyo Speaker Ndugai ni shida sana kwenye hiki chama, hafai na hana quality ya kuwa mbunge licha ya kuwa speaker. Hivi anavyosema tusikope, anaelewa anachofanya? U.S, UK na nchi zingine zinakopa ili zipeleke uchumi mbele, huyo Ndugai anadai eti tusikope. Kenya wamekopa na ku-invest kiasi...
  12. T

    Rais na Mwenyekiti wangu, usisubiri mpaka uharibifu wa Spika Ndugai ukuchafue

    Imefikia hatua Spika anamkosoa kila lililo jema na kukubali yasiyofaa. Ukosoaji wa namna hii si afya kwa ustawi wa nchi yetu. Tabia hii ameanza kuonesha katika hiki cha awamu ya sita. Mbona Rais Magufuli alikuwa anafanya yanayofanywa na awamu hii lakini hakuwahi kukosoa? Ukosoaji wa aina ya...
  13. T

    Wanaofikiri watafanya mzaha na CCM kwa kuwa mwenyekiti ni mwanamke wajiandae kisaikolojia, kadhamiria kuchoma vichaka majoka yasijifiche

    Nyoka kikawaida ni muoga sana, anatumia mbinu rahisi sana kujilinda yaani kukimbilia kichakani, akiamini kwamba yupo sehemu salama na akifuatwa na adui atatumia werevu wake kumshambulia adui. Katika mchakato wa kuua nyoka kichakani muuaji pia anatakiwa mbinu ya kuchoka kichaka ili hata wadudu...
  14. T

    Mwenyekiti CCM na Mwenyekiti Chadema ni nani anajengwa zaidi.

    Mivutano na kauli tata pande zote mbili kwa wenyeviti wa vyama hivi imekuwa mikubwa ndani ya vikao vyao na nje ya vikao vyao. Je ni yupi chama chake kinajengwa kupitia mivutano hiyo. Ni yupi anakiharibu chama nakikipa wakati mgumu. Kuna faida yoyote kwa watanzania
  15. Dkt. Jakaya Kikwete kuwa mwenyekiti wa Bodi ya GPE ni fursa kwa Tanzaina; Wizara ya Elimu Changamkeni, Ndalichako usisale

    Mh. Rais Mstaafu Dr Jakaya kikwete kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Global Partnership for Education ni mafanikio makubwa kwa sekta ya elimu ya Tanzania. Global Partnership for Education ni moja ya taasisi kubwa inayofadhiri miradi ya elimu duniani. Nchi yetu imekuwa ikifanya jitihada...
  16. Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

    "Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!"- TL
  17. M

    Mwenyekiti Simba SC Mangungu: Nchi itasimama Dirisha dogo la Usajili

    Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala. Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe nikajua kuna Watu wanaenda Kuumia, Kulia na hawatoamini.
  18. CHADEMA siyo taasisi, Mwenyekiti yupo ndani kila kitu kimesimama

    Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk. Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CHADEMA ikiwepo. Inaonekana...
  19. J

    Kiukweli bado tuko kwenye enzi za Zidumu Fikra za Mwenyekiti. Hii ni kwa vyama vyote

    Hakuna chama chochote cha siasa hapa nchini ambacho Fikra za mwenyekiti wake zinaweza kupingwa ama kupuuzwa. Walau kwa mbali CCM wanaweza kum-challenge mwenyekiti wao kwenye vikao, tuliona kijana mmoja wa UVCCM akimpinga Hayati Magufuli kwenye mkutano namna David Silinde anavyopendelewa kwenye...
  20. R

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi azindua kiwanda cha Zanzibar Handmade Cosmetics

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar. Rais wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…