Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu leo, January 7, 2022 saa 4:00 asubuhi, saa za Afrika ya mashariki, amezungumza na waandishi wa habari.
Chanzo: Chadema Media
https://www.youtube.com/watch?v=WgIY7Q7w2uM
=====
Ndani ya CCM ulizaliwa mfumo wa wabunge kupita kwa hisani ya Mwenyekiti, mfumo huu unakenda kuzima mabishano ya hoja.
In long-run hakutakua na kiongozi nchini atakayetoboa bila kumnyenyekea mwenyeti, na kwa mantiki hiyo tunaelekea kipindi ambacho malengo yako kisiasa utafikia pale tu...
Kama CCM ingekuwa na Mwenyekiti wa Taifa tofauti na Rais wa nchi hali isingekuwa kama ilivyo sasa ya msuguano ndani ya chama. Ndugai kama Mkuu wa muhimili wa Bunge angekuwa na uhuru wa kumkosoa Rais na Rais angeweza kujibu hoja bila jazba. Aidha Rais angeweza kukosoa udhaifu wa Bunge na Spika...
Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.
Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.
Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni...
Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na mkosaji ili kulinda heshima na urafiki wao( Rejea kuondoka kwa waziri mkuu 2008)
Kwa mamlaka yake...
Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo kinachokumbatia na kuabudu ukuu wa mwenyekiti wa chama kuliko utaifa wetu. Chama hiki hakina tena tofauti na CCP...
Huyo Speaker Ndugai ni shida sana kwenye hiki chama, hafai na hana quality ya kuwa mbunge licha ya kuwa speaker. Hivi anavyosema tusikope, anaelewa anachofanya? U.S, UK na nchi zingine zinakopa ili zipeleke uchumi mbele, huyo Ndugai anadai eti tusikope.
Kenya wamekopa na ku-invest kiasi...
Imefikia hatua Spika anamkosoa kila lililo jema na kukubali yasiyofaa. Ukosoaji wa namna hii si afya kwa ustawi wa nchi yetu.
Tabia hii ameanza kuonesha katika hiki cha awamu ya sita. Mbona Rais Magufuli alikuwa anafanya yanayofanywa na awamu hii lakini hakuwahi kukosoa?
Ukosoaji wa aina ya...
Nyoka kikawaida ni muoga sana, anatumia mbinu rahisi sana kujilinda yaani kukimbilia kichakani, akiamini kwamba yupo sehemu salama na akifuatwa na adui atatumia werevu wake kumshambulia adui.
Katika mchakato wa kuua nyoka kichakani muuaji pia anatakiwa mbinu ya kuchoka kichaka ili hata wadudu...
Mivutano na kauli tata pande zote mbili kwa wenyeviti wa vyama hivi imekuwa mikubwa ndani ya vikao vyao na nje ya vikao vyao.
Je ni yupi chama chake kinajengwa kupitia mivutano hiyo.
Ni yupi anakiharibu chama nakikipa wakati mgumu.
Kuna faida yoyote kwa watanzania
Mh. Rais Mstaafu Dr Jakaya kikwete kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Global Partnership for Education ni mafanikio makubwa kwa sekta ya elimu ya Tanzania.
Global Partnership for Education ni moja ya taasisi kubwa inayofadhiri miradi ya elimu duniani.
Nchi yetu imekuwa ikifanya jitihada...
"Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!"- TL
Kwa 'nyepe nyepe' nilizonazo huenda 'Visiki' Viwili muhimu sana Vikang'olewa mahala.
Nilipoona tu 'Mafia' ninayemkubali Simba SC nzima Kassim Dewji karithi Mikoba ya 'Mafia' Zachariah Hanspoppe nikajua kuna Watu wanaenda Kuumia, Kulia na hawatoamini.
Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.
Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CHADEMA ikiwepo. Inaonekana...
Hakuna chama chochote cha siasa hapa nchini ambacho Fikra za mwenyekiti wake zinaweza kupingwa ama kupuuzwa.
Walau kwa mbali CCM wanaweza kum-challenge mwenyekiti wao kwenye vikao, tuliona kijana mmoja wa UVCCM akimpinga Hayati Magufuli kwenye mkutano namna David Silinde anavyopendelewa kwenye...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar.
Rais wa...
Mwenyekiti wa CCM-Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan amefunga leo rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo makatibu wa CCM ngazi ya Wilaya na Mkoa,
Katika taarifa yake kwa Watanzani Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema...
Historia ni mwalimu bora sababu inaweza kukupa majibu ambayo sayansi ingechukua muda kuyapata.
Kila tukio lina Historia hakuna kinachotokea pasipo historia yani kila jambo lina mwanzo wake(chanzo chake).
Najiuliza hadi leo ni idadi ya watu wangapi(wabunge) wameondoka ndani ya CHADEMA ni zaidi...
Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu.
Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.