Danadana za kupata KATIBA MPYA NA BORA zinaendelea, na kuendelea kutafuna fedha za umma kwa mabilioni.
Maoni ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni...