mwendelezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    Tujikumbushe vita vya Yugoslav na mwendelezo

    Ni wachache sana kukuta mtu anaeleza vita vilivotokea kwenye taifa moja kwa jina Macedonia. Vita hivi vilianza 1991-2001. Mwendelezo wa vita hii ni sababu za ethnic conflict kujikuta taifa likitengana na kuzaliwa nchi kama Slovenia, Croatia, Bosnia and Herzegovina, Montenegro, Serbia, and North...
  2. L

    Mkutano mkuu wa CPC kuzingatia utulivu na mwendelezo wa sera

    Tarehe 16 Oktoba China itakuwa na mkutano mkuu wa chama cha kikomunisti cha China unaofanyika mara moja kila baada ya miaka mitano, ambao kazi yake kubwa ni kupanga mwelekeo wa chama katika kipindi cha miaka mitano. Mkutano huu unafanyika katika wakati hali ya ndani ya China na hali ya...
  3. B

    Kwa mwendelezo wa unyanyasaji huu, Serikali mnazidi kujiweka njia panda

    Hatua stahiki zinahitajika hapa kama si mwendelezo wa kujisahau: Ya Mwigulu, Nape na walamba asali wengine tumeyaona. Kama vile haitoshi tena tunastaajabu ya Waziri Masauni. Asali mlambe nyie na kukiuka haki zetu juu? Hivi mnawajibika kwa nani enyi miungu watu?
  4. W

    SoC02 Ufadhili wa masomo unaotolewa na taasisi za nje unaakisi malengo/suluhisho la matatizo yetu Watanzania au ni mwendelezo wa ukoloni?

    Ndugu zangu, Kuna taasisi na mataifa mengi ya nje ya nchi ambayo hutoa udhamini wa masomo ya juu katika kada mbalimbali ambazo nyingi hupatikana huko njee. Na kwakua udhamini huu wakat mwingine ni mzuri na unatuvutia wengi kutokana na kiwango cha fedha wanachotoa na huduma ambazo hupewa...
  5. Roving Journalist

    Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Matokeo rasmi ya kura za Urais Kenya 2022

    William Ruto (UDA) 50.49% 7,176,121 Votes Raila Odinga (AZIMIO) 48.85% 6,942,930 Votes George Wajackoyah (RPK) 0.44% 61,969 Votes David Waihiga (AGANO) 0.23% 31,987 Votes ============== Wakati Wakenya wakisubiri majibu ya Uchaguzi wa Urais, upande wa timu ya Raila Odinga wamedai kuwa...
  6. Q

    Hatuoni mwendelezo wa Maasai wa Ngorongoro kuhama

    Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani...
  7. MALCOM LUMUMBA

    Mradi wa Bwawa la Nyerere tulijilisha upepo au ndiyo mwendelezo wa siasa chafu za kibepari?

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hapa namaanisha nini, duniani kote ambako miradi ya namna hii yenye lengo la kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini lazima kuwepo na malalamiko. Tena nimefuatilia kwa umakini na kufahamu kwamba...
  8. changaule

    Ni nani mwingine mwenye shauku kujua kuhusu mwendelezo wa ligi kuu wiki hii

    Baada ya heka heka za kalenda ya FIFA kwa michezo ya mataifa mbali mbali kuisha, wiki hii ligi kuu Tanzania bara itaendelea tena. Binafsi nilimisi sana soka la timu ya Yanga ya msimu huu hasa likitangazwa na Mpenja. Nani unautaka, Bangala. Nani unautaka, 'Mwamnyeto.'Nani anautaka 'Aucho dokta...
  9. W

    Je, huu ni mwendelezo wa Serikali kutudharau Walimu Shule za Msingi?

    Nipo shuleni ofisini Mbele yangu Kuna mzigo mkubwa wa daftari za stadi za kazi darasa la tano ninazopaswa kusahisha Naangalia nje namuona mwalimu wa sekondari yuko bize kusimamia mtihani wa darasa la Saba Najiuliza kwanini nisisimamie mwenyewe mwalimu wa shule ya msingi? Je, Serikali...
Back
Top Bottom