mwanza

  1. N

    CCM waanza kuogopa aibu iliowakuta CHAUMMA Mwanza, mkurugenzi wa Karatu awaandikia barua watumishi wote wa umma wahudhurie mkutano wa Amos Makala

    Wakati CCM ikijinadi kuwa na wanachama milioni 13 nchi nzima, hali kwa ground sio poa. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Karatu ameandika barua na kuwataka watumishi wote wa umma na wanafunzi kuhudhuria mikutano ya mwenezi wa CCM, mzee wa MPOX ndugu Amos Makala itakayoanza leo...
  2. Video: Chopper ya CHAUMMA ikizomewa Mwanza

  3. CHAUMMA chaumia Mwanza

    Waswahel wanasema.. Nyota njema huonekana alfajri.. Na wazungu wanasema first impression last conclusion.. Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno.. Kwakuwa yeyote anaweza kuongea chochote kwa majigambo yote. Lakini akashindwa kabisa kwenye matendo na vitendo Hivi ndivyo tunavyoweza...
  4. CHAUMMA wa Kigaila alijua yeye ni maarufu

    GTs, Yaani G55 walidhani wao ni maarufu hahahah yaani Kigaila alivyoaibika hahahaha sura ngumu hana hata ushawishi kisiasa
  5. PreGE2025 Mkutano wa CHAUMA wakosa watu Mwanza

    CHAUMA ilinadi mkutano wake kufanyika kwenye viwanja vya furahisha ila ajabu watu wa Mwanza walipuuza na hawakujitokeza CHAUMA walipewa uwanja wa furahisha pamoja na support ya ulinzi wa polisi lakini wapi Uwanja wa Furahisha waliuomba chadema wakanyimwa hadi wakaamua kufanyia mkutano Igoma...
  6. PreGE2025 Nyomi la CHAUMMA jijini Mwanza kwenye uzinduzi wa C4C laishtua CCM. Hakika ni chama Mbadala kwa siasa za upinzani

    Hakika sasa Tanzania imepata chama mbadala cha Upinzani. Watanzania kiungeni mkono chama chenu, kipo tayari kuwaletea ukombozi wa kweli na hapa kipo uwanja wa furahisha kuzindua kampeni ya CHAUMMA for Change (C4C). CHAUMMA oyeeee!
  7. PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

    https://www.youtube.com/live/e-gAjW47RNY
  8. PreGE2025 Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe, kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure

    Wakuu Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe hakuna watu, yaani kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure. Maandalizi yakiendelea katika uwanja wa Furahisha kikundi Mwanza. Uzinduzi wa kampeni hiyo utafanyika baadae leo na kisha itapelekwa katika mikoa mbalimbali kwa...
  9. P

    KERO Barabara ya mwanza mataa, tuta la stendi ya daladala makoroboi

    Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara. Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala juu ya tuta, zinapaki daladala tatu hadi nne kwa upana na kuacha sehemu ndogo sana ya barabara...
  10. D

    KERO Wahudumu wa kivuko cha KIGONGO -BUSISI Mwanza wanadhulumu wananchi

    Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi, Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi...
  11. Kwanini tuendelee kuliita Ziwa Victoria na si Nyanza?

    Katika moyo wa Afrika Mashariki lipo ziwa kubwa, lenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kwa mamilioni ya watu wanaolizunguka – Tanzania, Kenya na Uganda. Ziwa hilo, ambalo kwa karne sasa limekuwa likiitwa “Ziwa Victoria,” lilikuwa na majina ya kiasili kabla ya kupewa jina la...
  12. Uwanja wa maonyesho ya nanenane jijini Mwanza wajengwa baa za kuuza pombe.

    Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto. Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
  13. Madini ya Almasi Yenye Thamani ya Tsh 1.7 Bilioni Yakamatwa Yakitoroshwa Uwanja wa Ndege Mwanza

    MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA ▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini ▪️Aelekeza uchunguzi zaidi kubaini mtandao wote wa wahusika ▪️Atoa rai kwa wadau wa madini kuzingatia...
  14. Kuna mpango gani wa Siri wa Uwepo wa Magugu maji katika kivuko cha KIGONGO-BUSISI eneo MWANZA serikali haioni haionj jambo hili?

    kuna mpango gani wa Siri wa Uwepo wa Magugu maji katika kivuko cha KIGONGO-BUSISI eneo MWANZA serikali haioni haionj jambo hili?? Magugu maji ni majani yanayoota na kuelea ndani ya maji na yamekuwa yakisukumwa kwa upepo kutoka eneo moja kwenda nyingine. Chini ni picha ikionesha eneo la...
  15. M

    natafuta mke awe mwanza

    nahitaji mwana mke awe mwanza umri 30-42 akiwa na mtoto haina shida ila asizidi 1 .. naishi nyegezi nina miaka 43 na mtoto mmoja ... aliye tayari ani pm tuyajenge
  16. Wananchi Mwanza wazuia Jaribio la Jeshi la Polisi kutaka kumkamata John Heche

    Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ? Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ? YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?. inamaana hata Mikutano...
  17. PreGE2025 Kwa niliyoyaona Mwanza leo, ni sahihi sana CCM kuchanganyikiwa. Nimeelewa kwa namna gani inawauma

    Umewekeza mabilioni ya fedha mliyoiba kwenye kandarasi mbalimbali Serikalini na nyingine kwenye bajeti ya Serikali ili uwalipe watu waimalize Chadema alafu Chadema ndo inazidi kupendwa mara 100 zaidi. Umewahonga Mapandikizi mamilioni ya Pesa wajitoe Chadema na kuanzisha tafrani uchwara ili...
  18. Hodi hodi Mwanza: Zijue sababu za kiroho kwanini Likud anaenda Mwanza tarehe 19 May na kurudi Dar tarehe 23 May

    Nimegundua kwamba Mwanza kuna wanawake wengi Sana, Wazuri na sio Malaya, wasio na alama za weusi katikati ya mapaja. Hawajatumika sana. Na kikubwa zaidi wana " Jasho" Zuri. ( Jasho la mwanamke ni nini katika ulimwengu wa roho? A topic for another day) How did I know that about Mwanzanian women...
  19. Mwanza: kuna Haja ya Uwanja wa Stand ya zamani Nyegezi kubadilishwa na kujenga Hospital

    Mara baada ya standi ya zamani nyegezi kuhamishwa tunashauri manispaa ya nyamagana kutumia eneo la stand ya zamani nyegezi kwa ajili ya kutenga na kujenga hospital kubwa Nyamagana Kwani Hospitali kuu ya wilaya ya nyamagana ambayo inapatikana mkuyuni karibu na Butimba kwa sasa naona kama haiwezi...
  20. Mwanza: Takukuru yaokoa milioni 700 kwenye utoaji wa mikopo ya asilimia kumi

    Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza kwakushirikiana na wadau wa kamati ya uhakiki ya Wilaya ya Nyamagana wameokoa kiasi cha shilingi milioni 700 kwenye mikopo ya vikundi inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…