Kivuko cha MV Mwanza kimepokelewa katika Jimbo la Buchosa, ambapo kitakuwa kikifanya safari kati ya Nyakaliro na Kisiwa cha Kome
Kivuko hicho kimepokelewa kwa shangwe na wananchi wa Buchosa wakiongozwa na Mbunge wao, Eric Shigongo, na kinatarajiwa kurahisisha shughuli za usafirishaji wa abiria...