mwanza

  1. INAUZWA Mwanza: San LG kwa milioni 1 tu nauzia shida za dunia

    Haina shida yoyote kabisa. cc 150 gia 5. Mtaa wa Kilimo A, Igoma. Milioni 1, price fixed 0713096076
  2. INAUZWA Igoma Mwanza: Kwa milioni 1 tu, unapata San LG 125

    SAN LG 125 GIA 5 IPO MWANZA IGOMA HAINA SHIDA YOYOTE MILIONI 1 TU 0713096076
  3. Malalamiko ya Rushwa yamekithiri Mkoani Mwanza. Tatizo nini?

    Taarifa 132 zimepokelewa na TAKUKURU Mkoani Mwanza kati ya Januari - Machi 2022, na 89 zinahusu vitendo vya Rushwa huku 43 zikiwa hazihusiani na Rushwa Kwa taarifa 89 za Rushwa, Majalada ya uchunguzi yalifunguliwa ambapo Uchunguzi wa Majalada 22 uchunguzi wake umekamilika, na 67 uchunguzi bado...
  4. Simulizi ya Watoto waliofanyiwa ukatili wa Kingono na baba yao mzazi, mmoja asema "NATAMANI BABA AFE"

    Bashiru Abdallah Mkazi wa Buswelu Jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili wa kingono watoto wake wanne, ambao inadaiwa amekuwa akiwafanyia kwa miaka kadhaa sasa. Mtuhumiwa alishikiliwa baada ya wananchi kutoa taarifa kwa Taasisi ya Nitetee (NITETEE...
  5. K

    Tunawaomba DIT waweke tawi lao hapa Mwanza kwa ajili ya kujaza gesi kwenye magari yetu

    Gharama ya mafuta ya magari ni ghali sana kwa hivi sasa na nimesikia kuwa DIT wana utaalamu wa kukarabati magari na kuyawekea gesi asilimia ili itumike badala ya mafuta ya diezeli na petroli. Nimesikia utaratibu huu tayari umeanza kule Dar es Salaam na hivyo na sisi wananchi wa Mwanza tunaomba...
  6. Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

    Jeshi la Polisi leo limeshindwa kwa mara nyingine tena kuwazuia wananchi waliovalia fulana nzuri zenye neno Muhimu la KATIBA MPYA waliotaka kuingia uwanjani kujionea mchezo wa soka wa Yanga na Simba. Haijulikani kilikotokea Jeshi hilo kuzuia wananchi wenye fulana za Katiba mpya kuingia...
  7. Mwanza: Ukivaa nguo ya CHADEMA au yenye Maandishi "Katiba Mpya" huruhusiwi kuangalia mpira wa Simba na Yanga

    Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga. Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda...
  8. Kudadeki Simba wametuwahi, mvua inanyesha mida hii

    Mikia noma tayari wametutime, mvua sijui hata imetokea wapi. Wazee wetu wameshindwa kabisa kuleta jua. Lakini hamna namna lazima mikia wafungwe hata kama ikinyesha ya mawe.
  9. Diamond yupo Mwanza leo; watu wote wa jiji la Mwanza wana furaha...

    Msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz aka Simba anapiga expensive show ndani ya Mwanza leo. Basi watu wote ndani ya Mwanza wamejawa na furaha. Kama una ndugu au jamaa yupo Mwanza mpigie simu atakupa majibu ya balaa la Diamond ni mji umesimama.
  10. FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

    Ahlan Wasahlan wana JF Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Yanga Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Ni mchezo unaozikutanisha timu mbili zenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania. Mara ya mwisho kwa timu...
  11. N

    Hawamtaki Bumbuli wanadai kawaaibisha Mwanza

    Kwako Bumbuli. ombea sana kesho mshinde la sivyo mkifungwa wa kwanza raia wa utopoloni kushuka naye jumlajumla ni wewe Umefanya press conference na Ahmed , ulishindwa kabisa kumpa makavu ya uhakika ndugu yangu ukawa unachekacheka tu wana yanga wamechukia sana Umeonekana mtaani ukiwa umeshika...
  12. Wanafunzi wakumbwa na vitendo vya Ulawiti, tabia chafu jijini Mwanza

    Mkaguzi wa Polisi Kata ya Mirongo, Fatuma Mpinga akizungumza kwenye kikao hicho. Imeelezwa kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo ulawiti vimeshamiri katika Kata ya Mirongo jijini Mwanza huku wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa wahanga wakubwa wa vitendo hivyo viovu na vya...
  13. INAUZWA Igoma Mwanza: Pikipiki San LG inauzwa

    Pikipiki inauzwa 1,200,000 Tshs.. mawasiliano: 0713096076 Eneo: igoma mwanza Aina ya Pikipiki: SAN LG ENGINE SIZE: CC 150, 5 GEARS HALI YA ENGINE: SAFI, HAINA TATIZO. USAJILI: MC 324 CBT INAPIGA BODA BODA, IGOMA MWANZA Document zote zipo.
  14. Mdada wa kazi ya stationary mkoani Mwanza

    Natafuta mdada wa kufanya kazi stationary mkoani Mwanza, awe anajua kutumia computer. Tuwasiliane PM kama uko tayari.
  15. Natafuta dada wa kukaa stationary mkoa wa Mwanza

    kama wewe ni mdada,upo mkoa wa Mwanza, unaweza kufanya kazi ya stationary na unajua kutumia computer tuwasiliane pm.kuna kazi.
  16. Mwalimu wa History na Kiswahili mwenye uzoefu anahitajika Mwanza

    Habari za asubuhi wakuu, Planet Open School inahitaji mwalimu wa kiswahili na History mwenye uzoefu wa kufundisha kidato cha kwanza hadi cha sita. Planet Open school inapatikana Mwanza Mjini barabara ya Balewa. Kwa mawasiliano: 0737-988897/ 0752-137196
  17. N

    Nyumba ya kupanga (vyumba vinne self contained) inahitajika jijini Mwanza

    Nyumba ya vyumba vinne (self contained) inahitajika haraka. Sifa: 1. Iwe jiji Mwanza (Ilemela na Nyamagana) 2. Hali nzuri 3. Usalama/fence 4. Inafikika bila changamoto 5. Parking ya gari 2 na kuendelea Mawasiliano piga 0769746211 Isiwe na dalali
  18. Mwanza: Waziri Mkuu azuia paspoti 7 za wakandarasi wa Meli ya MV Mwanza

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ na kubaini ukiukwaji wa makubaliano ya kimkataba ya ikiwa ni pamoja na Kampuni ya Korea ya Gas Entec Building Engineering iliyo na jukumu la kujenga meli hiyo kuuza sehemu ya jukumu la...
  19. B

    Waziri Mkuu, unadhani kwa ulichobaini Mwanza, viongozi wa mkoa wanakusaidia wewe na Rais? Kama umebaini awawasaidii wanafanya nini ofisini?

    Ukifutalia maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu huko Mwanza Kuhusu uundaji wa meli pamoja na ubainishaji wa mitaa utabaini haya Siyo mambo yakumsubiri Mhe. Waziri Mkuu ndipo hatua zichukuliwe, Kuna viongozi wamekaa ofisini bila kutimiza wajibu wao. Kwa nchi za ulimwengu wa kwanza baadhi ya viongozi...
  20. Nafatuta chumba cha kupanga (Self contained) - Mwanza

    Habari, Natafuta chumba single self cha kupanga Mwanza maeneo ya Airport road au njia ya Nyasaka. Kisiwe mbali na kituo cha daladala. Kisizidi Tsh. 80,000/=
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…