mwanza

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ziwa lipo jirani ila Wananchi wa Nyashishi na Usagara (Mwanza) hatujawahi kuwa na maji ya bomba

    Ziwa lipo jirani ila Wananchi wa Nyashishi na Usagara (Mwanza) hatujawahi kuwa na maji ya bomba Wananchi wa Nyashishi na Usagara Mwanza tangu Dunia iumbwe maeneo hayo hayajawahi kuwa na bomba la maji ilihali Ziwa Victoria liko jirani! Maji tunayotumia sasa tunachimba visima tu na ni maji...
  2. JamiiForums Tanzania Kisa cha msanii Y-Dash na uchawi wa Igogo Mwanza

    Wakati nafanya utafiti kuhusu " IMANI ZA KICHAWI NA USHIRIKINA NCHINI TANZANIA" nilitembea kwenye vijiji na vitongoji vyote vinavyo sifika kwa uchawi nchini Tanzania. Moja Kato ya vitongoji nilivyotembelea ni pamoja na kitongoji/ Kata ya Igogo iliyopo kwenye Halmashauri ya manispaa ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Nani anaweza kupatambua hapa? Moja ya maeneo muhimu Jijini Mwanza

    Mwanza CBD
  4. JamiiForums Tanzania Leteni Ufm Mwanza

    Naisubiri hii redio hapa Mwanza kwa hamu. Azam fanyeni hima muilete
  5. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO MWANZA: Vijana wanafanya kazi ghorofani bila kuwa na vifaa maalum, OSHA mpo au hii haiwahusu?

    Nipo Mwanza nimekuja kutembea kutoka Jiji lenye miti mingi, nimefika Wilaya ya Ilemela, Kata ya Nyamanoro, jana tarehe 28.04.2026 nilikuta vijana wanne walionekana kwenye eneo la ujenzi wakiwa wananing'inia huku wakipandisha vifaa vya ujenzi kwenye jengo hilo ambalo inadaiwa kuwa linatarajia...
  6. JamiiForums Tanzania Pengo la uwajibikaji na changamoto ya miundombinu kwa watoto wenye ulemavu katika shule za Mwanza

    Katika shule za msingi na sekondari mkoani Mwanza, watoto wenye ulemavu bado wanakabiliwa na mazingira ya kujifunzia yasiyo rafiki, kutoka vyoo visivyofikika hadi madarasa yasiyo na njia salama za kupita. Hali hii imeendelea kujitokeza licha ya uwepo wa sera na sheria zinazotambua haki ya watoto...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa kujenga mahandaki sita bila kibali Mwanza

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Evance Ndeka Bisesagu (47), mfanyabiashara na mkazi wa Bupumula wilayani Ilemela kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita bila kufuata taratibu za kisheria. Mtuhumiwa huyo amekamatwa Aprili 22, 2026 kufuatia taarifa za wananchi kuhusu uwepo wa mahandaki...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Mwanza, huku Nyamhongolo Stand, Ilemela tuna tatizo la umeme mdogo (low voltage)

    Tunaiomba mamlaka husika hasa TANESCO kutatua tatizo la umeme mdogo (low voltage) katika eneo la Nyamhongolo Stand, Wilaya ya Ilemela, Mwanza. Wananchi na wafanyabiashara wa eneo hili tunaendelea kupata hasara kubwa kutokana na umeme kuwa mdogo muda mwingi. Mashine za kazi haziwezi kufanya kazi...
  9. V

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Samaki kufungashiwa ndani ya mabasi ya abiria safari za usiku kutoka Mwanza kwenda mikoa mingine

    Habari Wanajukwaa, Naleta hili kama mdau na msafiri wa mara kwa mara. Tumekuwa tukishuhudia tabia isiyofaa kutoka kwa baadhi ya mabasi ya abiria yanayofanya safari za usiku kutoka Mkoani Mwanza kuelekea mikoa mingine. Baadhi ya haya mabasi yamegeuka kuwa “madaladala ya samaki” usiku. Unakuta...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Daladala Mwanza wasitisha huduma wakisubiri kauli ya Serikali kupandisha nauli

    Zaidi ya Madereva 400 wa Daladala katika Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, wamesitisha huduma kwa muda wakisubiri kauli ya serikali kuhusu upandishwaji wa nauli baada ya kupanda kwa bei ya mafuta. Soma pia LATRA: Kupanda kwa bei ya Mafuta sasa, hakuathiri Nauli Chanzo: ITV
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-HR katika Mradi wa SGR Mwanza – Isaka wachunguzwe. Wanajineemesha kwa kufukuza watu kazi

    Wakandarasi wanaofanya kazi SGR tuna kero moja kwanza mshahara wa Serikali ilipopandisha mwanzo kabla hawajapandisha ilikuwa kwa siku ni shilingi 17,200 kwa madereva na ma operator, ila kwa malabour ilikuwa 16,200 baada ya serikali kupandisha wameweka level sio dereva, sio operator wote ni...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kitangiri Mihama Mkoani Mwanza ni mbovu sana, haitengenezwi kwa kuwa Diwani ni wa ACT?

    Barabara ya Kitangiri Mihama Mkoani Mwanza ni mbovu sana, ilikuja Kamati ya Bunge ndiyo wahusika wakafukiafukia mashimo ili wakakakague zahati lakini mpaka sasa ni hatari, ni Wilaya ya Ilemela. Hapo ni kutoka Kitangiri mpaka Zahati ila ukienda kama unaenda ziwani ni hatarii kwa Watu, wanatumia...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo mafupi ya kufika Mwanza

    Habari zenu wapenzi husika na mada apo juu nahitaji kwenda mwanza sijawahi fika uwo mkoa naitaji kujua bei ya bus na kampuni gani nzuri ambayo nitafurahia safari yangu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliosoma Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) – Mwanza tunashindwa kujisajili Ajira Portal

    Mimi ni mhitimu wa ngazi ya Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza, nimesoma kwa miaka 3 (yaani 1st year Certificate, 2ry & 3yr Diploma nimehitimu 2024 November lakini nilivyojaribu kufuatilia Vyeti vyangu vya Certificate na Diploma nimepata kimoja cha Diploma...
  15. JamiiForums Tanzania Daladala Mwanza, Dar es salaam zaomba kusitisha huduma ya usafiri kuanzia kesho tarehe 09

    Saa chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) kutangaza kuongeza muda wa wiki mbili zaidi wa kupokea maoni kuhusu mapitio ya nauli, Umoja wa Wasafirishaji Abiria Dar es Salaam na Mwanza umeomba kusitisha kutoa huduma. Kwa mujibu wa wasafirishaji hao, sababu kuomba...
  16. JamiiForums Tanzania SAKATA LA MWANZA airportT: Kampuni ya Airco Kuondolewa na Mwarabu wa Transom Handling (Oman) Kupewa Kandarasi Kimya Kimya. Nini Kinaendelea?

    Habari za muda huu Wana Bodi na Great Thinkers wote, Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Leo nimekuja na jambo ambalo linaendelea "chini ya kapeti" lakini lina athari kubwa sana kwa uchumi wetu, usalama wetu, na sera zetu za kuwezesha wazawa. Kuna mabadiliko...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Fingercoil ya Juicy curl, Timoth salon Mwanza

    0744597493 Karibuni sana Tunapatikana Mwanza jengo la dubai..pembeni ya hospitali ya Salaman Tunatoa na huduma nyingine pia kama Wavu, mirija, curlkit, kutoboa masikio na pua, Kucha, Kope, short wig (pixie), Kunyoa, Make up, Kubond,,Rough dread, Sisterlocks, Kusuka kawaida, Dreadlocks...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana, ina tu cost Watumiaji wengi

    Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana magari hayapiti kiasi cha kuleta adha kwa wanaoitumia kwenda mjini, wanalazimika kutumia gharama kubwa ikiwemo kupanda Bodaboda. Tunaomba mamlaka husika kutatua kero hii, sisi Wakazi na Wafanyabiashara wa Kangaye tunapata mateso makali...
  19. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nimekata tena viwanja 300M²-400M² karibu Sana Mwanza

    Kwa wale ambao bado wanahitaji maeneo kwa ajili ya kujenga makazi,karibu sana kwa mara nyingine.Viwanja vipo Kisesa Mikoroshoni.Kutoka Lami barabara ya Mwanza-Musoma ni shilingi 1000/= tu kwa pikipiki mpaka viwanja vilipo. Bei ya kiwanja ni 1,700,000/= mpaka 2,000,000/= kutegemea na ukubwa wa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya maji Mwanza (MWAUWASA) watuambie kama kuna mgao wa maji Nyakato

    Upatikani wa maji safi katika jiji la Mwanza maeneo ya Nyakato umekua usioridhisha kwa muda wa wiki mbili sasa. Kuna siku maji hayapatikani hata siku tatu. Kuna siku yanakuja asubui na kukatika mchana. Kipindi hiki cha sikukuu maji yamekuwa yakija na kukatika. Tangu jana siku ya Eid maji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…