mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume kuwa na preferences imekua kosa?

    Linapokuja suala la kuoa au ku-settle na mwanamke, preferences za wanaume huwa zinawachukiza/zinawakasilisha wanawake. Jamii ya wanawake wa kisasa wametenengeza narrative preferences za mwanaume zionekane ni makosa, na wapo masimp na wanaume wasiojua thamani zao wamechotwa akili. Mwanaume...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, huu ndio wakati mgumu sana. Xmas iahirishwe

    Mwanaume yeyeote atanielewa! Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana. Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani. Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso! Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

    Kama kichwa kinavyojieleza, huyu mwanamke sijajua nia yake haswa ni nini Mimi kusema ukweli simjui kabisa huyo dada nimeshangaa tu mtu kanitumia request ya kuni follow ikabidi niangalie ni nani Hakuna picha kwa account yake zaidi ya passport ya kichwa chake kama pembe Tatu.. ila miongoni mwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake, mwanaume hazoeleki ndio maana mnaachwa

    Imagen umemuacha mtu nyumbani toka asubuhi hakuna kitu amefanya unarudi zako home upumzike unakuta chumba kichafu hajabadili shuka zaidi kaongeza nguo kitandani ukiuliza nini tiktok anacheka kabisa et hoo leo nimechoka wakati ni tabia yake hii imekaaje ase? Kweli wahenga wapo sahihi usichukue...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke Ungepata Nafasi Kuwa Mwanaume kwa Mwaka Mmoja, Ungefanya Nini? 🧐

    Mambo Vipi, mwana JF, wabunifu wa taifa! Leo tuachane kidogo na siasa na mambo ya Gavo na Ngenga zao, tujichangamshe na 'science fiction' ya maisha! 😂 Hebu fikiria, mdada/mwanamke uliyejichanganya huku, unapewa Kipawa cha Ajabu (Superpower) cha kubadilika kuwa mwanaume kamili kwa Mwaka Mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama una mtoto wa kiume Hekima na busara ukasoma hii

    Wakuu kwa heshima ya dhati kabisa poleni na majukumu na mahangaiko ya leo. Kuhusu msiba huo sio wa Watanganyika bali ni msiba wa wanaccm na Police wao sisi hautuhusu na haujatusitua kwa lolote. Mwanaume katika kipindi hiki ni vyema na haki ukamlea mtoto wako kiume japo nusu au hata robo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kweli

    Mwanaume wa kweli, amka nenda kapambane kwa ajili ya familia yako, wale, wanywe na wavae, then hawa ambao uanaume umekuwa mgumu kwao achana nao wakae kwenye pages za udaku na wanaharakati kutukana asubuhi mpaka jioni. Jukumu la maisha yako ni jukumu lako..sio la mange, maria, hilda ama Larry...
  8. JamiiForums Tanzania SWALI: Wanawake huwa mnajisikiaje wanaume wakiomba namba mbele za watu

    Peace be with you all, Nianze na ka kisa fulani kalitokea majuzi. Nilikua restaurant fulani hapa A town ghafla nikanuona mwanamke mmoja mrembo sana na alikua nadhifu sana. (Navutiwa na wanawake nadhifu) Alikua amekaa jirani wanawake wengine kama watatu wanapiga story zao, alinivutia sana...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mke wa mwanaume aliyeachiwa kwa kesi ya Uhaini: Mume wangu usiandamane tena. SMS zozote usitume

    Wakuu Hii video imenisikitisha sana. Nisiongee sana Baadhi ya vijana 47 kati ya 48 waliokuwa wakiandamana tarehe 29 Oktoba mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, wameachiwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuiondoa kesi hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume hili swali una jibuje?

    Ile una pewa namba au umetafuta namba ya manzi ulie muelewa ile una mtafuta tu una anza ulizwa namba umepata wapi hili swali una jibuje Mimi huwa najieleza vizuri simtaji muhusika ila nikiona kichwa ngumu basi nasema niliomba namba ya malaya wa karibu nime pewa hii Wewe una jibuje au ndio...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Anatakiwa Awe Anajua Kupika au Kupika ni Suala la Wanawake Tu?

    Habari wakuu, Leo nataka tuzungumze kidogo kuhusu hili suala ambalo limekuwa kama mjadala wa kitaifa — je, mwanaume anatakiwa kujua kupika, au kupika ni kazi ya wanawake pekee? Kuna hawa wanaume ambao hawajui kabisa kupika. Sijui kwa kweli wanaishije! Ila kwa uzoefu wangu, wengi wao ni wale...
  12. JamiiForums Tanzania Ni rahisi kuitwa mwanaume Ila ni ngumu kuwa mwanaume

    Neno mwanaume siyo suala la kuvaa vizuri na kufuga ndevu Neno mwanaume linamkataa yule ambae akiachwa na mpenzi wake anaigeukia pombe Neno mwanaume linamkataa yule ambae akifukuzwa kazi anaanza kutafuta wa kumlaumu Mwanaume ni yule ambae hata Kama hakuna njia anakwambia songa mbele Yule...
  13. JamiiForums Tanzania Wazee wa Mitindo, Tupeane dress code za Beach

    Wakuu. Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress. Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja. Pamoja. PS: Tupo jukwaa la Lifestyle, nisikaripiwe.
  14. JamiiForums Tanzania Kupewa Ujauzito kisha mwanaume kukimbia au kukukataa maumivu yake yataongezwa zaidi na mikesha hii

    Nasikia niseme jambo moja muhimu kuhusu mtoto anayezaliwa, jambo hili ninalisema kwa unyenyekevu mkubwa na upendo mkubwa kwenu dada zangu. Najua si wote walipenda kuwa na hali walizonazo sasa za kupewa mimba au ujauzito kisha wakaachiwa watoto hapo na wanaume waliowapa ujauzito. Ukiangalia...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuanika korodani kwenye mwanga wa jua kunasaidia kuimarisha afya ya uzazi kwa mwanaume

    Wakuu, kiusema kweli hii imenishangaza sana siku hizi huko Instagram na TikTok kila mmoja ni daktari huyu anasema wanaume wanatakiwa kuanika korodani zao ili kuimarisha mbegu za kiume. JamiiCheck na wataalamu wa maswala ya afya msaada wa hili tafadhali.
  16. JamiiForums Tanzania Haya ninayoyashuhudia hapa Tanga sioni kama kuna mwanaume wa mkoa huu atajitokeza tarehe 29 kuandamana

    Nipo Tanga kwenye shughuli flani. Kwanza huu mkoa wao kila siku ni burudani tu,hawana stress za maisha kabisa. Kilichonivunja nguvu kabisa ni hiki,huku Tanga mziki wao mkubwa ni taarabu. Sasa nimeshangaa nimeenda sehemu flani nikakuta kuna shughuli na mziki unaopigwa ni taarabu,nimeshuhudia...
  17. JamiiForums Tanzania Heshima kwa nyumba inapaswa kusimamiwa na mwanaume kwanza

    Habari za asubuhi wana MMU Naleta kwenu mada. Tujadili tafadhali. Mwanaume afanye nini katika himaya yake ili kauli yake ndio iwe hitimisho la mijadala? Mfano mdogo ni kwamba nimelumbana na wife jana kuhusu kugawa vitu bila ridhaa yangu (au niseme bila maridhiano kwanza kwamba nataka kufanya...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Sijaona maandamano ila nimemwona mwanaume mmoja amekuwa Rais

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Imekuwa ni kitu ya kujiridia sana sana mara kwa mara katika maono, nimekuwa nikiona kiongoz mpya nchini Tanzania Leo nimeona mwanaume mmoja ndo amekuwa rais na baada ya huyo kuwa rais sikuona tena maandamano SAYUNI BOY
  19. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Narok atoa kauli Kuhusiana na Video iliyosambaa Mtandaoni ya ndugu watatu kumshambulia Dada yao Mjamzito kumkataa mwanaume waliyemchagulia

    Video inayosambaa mitandaoni imeibua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamke mjamzito akishambuliwa vikali na wanaume watatu wenye fimbo katika Nkareta, Narok Kaskazini. Taarifa zinaonyesha kuwa mwanamke huyo, anayejulikana kama Lepeita, alishambuliwa na ndugu zake wa kiume baada ya kuchagua...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama hutengenezi kuanzia Elfu 10,000 kwa siku usioe

    Mke sio demu kama unaona kabisa kipato chako nichakuunga unga huna uhakika wa kumake elfu kumi kwa siku usioe usijekuwatesa watoto na mkeo bure.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…