Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
Imagen umemuacha mtu nyumbani toka asubuhi hakuna kitu amefanya unarudi zako home upumzike unakuta chumba kichafu hajabadili shuka zaidi kaongeza nguo kitandani ukiuliza nini tiktok anacheka kabisa et hoo leo nimechoka wakati ni tabia yake hii imekaaje ase?
Kweli wahenga wapo sahihi usichukue mwanamke wa tiktok ukaweka ndani.
Kweli wahenga wapo sahihi usichukue mwanamke wa tiktok ukaweka ndani.