mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimempenda Msichana ambaye hapendi Mwanaume mwenye mtoto. Mimi ninaye mtoto ila hafahamu

    Imepita takribani wiki, nilkutana na msichana mrembo anasajili laini, style ya kuingilia nikasajili laini, nikaomba no. aliniona smart sana maana nilimpgsha story za madini. Ni msichana mrembo sana ana umri wa miaka 19, kamaliza form 4 2019, ila anaonekana n mschana mpambanaji, nljarbu kugusia...
  2. JamiiForums Tanzania Poleni wana Simba SC Wenzangu kwa Goli lile la 'Kubabatiza' na Kupaki Kwao 'Kontena', ila Mwanaume 'Hatairiwi' mara mbili

    Nilipumzika kidogo kama kwa miaka Mitatu kuwa katika Kamati ya Utamaduni ( Ufundi wa Jadi ) wa Timu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa 'Dharau' zinazoendelea hapa mjini sasa 'Mwanamume' narejea Kazini na leo GENTAMYCINE nasema Kitakachowapata Yanga SC huko Kigoma tarehe 25 July, 2021 kitakuwa ni...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume kuhonga sana ni dalili kutokujiweza kitandani

    Salaam wanajukwaa la Great Thinkers! Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na mitaani hasa huku uswahilini, wanawake wanashauriwa wawe na " mafiga matatu" ambao watawasaidia katika...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukiondoka kwenye familia inabidi pengo lionekane

    Wanaume tujitahidi sana sana kuwapenda wake, wapenzi wetu tunaoishi nao, Busu(kiss) ni siraha tosha ya kuimalisha mahusiano, Asubuhi ukiamka mbusu mkeo, mpenzi wako kwenye paji la uso, shavuni na tumboni, jioni pia ukirejea kazini fanya hivyo hivyo na kumtakia neno "Nakupenda sana mke wangu"...
  5. JamiiForums Tanzania Jamvi la wageni

    Kikalio ni kitu cha kuheshimiwa sana kwenye tamaduni nyingi.. Unapofika kwa mtu cha kwanza unachopewa ni kikalio... Kikalio chaweza kuwa kiti, jamvi au mkeka! Kiti ni mjumuisho wa kochi, stuli ama kigoda! Kwa tamaduni za pwani ni nadra kukuta viti ndani ya nyumba .. Na hii inatokana na ama...
  6. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

    Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake. Demu akachukua mimba na kuibeba miezi 9 na kuzaa mpaka sasa mtoto ana miaka 3 msela ajui mtoto wake wala ajawahi mtumia...
  7. JamiiForums Tanzania Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Asalaam, Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia. Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha Awe mkristo kiimani Awe either single, mgane au mtalaka...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume anaacha au anaachwa? Mwanaume kweli unaanzaje kulia kwa kuachwa?

    Kwanza kabisa tuwasikitikie vijana wote wanaodai ni wanaume huku wakilia kuachwa. Inavyojulikana mwanaume haachwi bali anaacha au wanaachana na mke wake. Kwanini mwanaume hawezi kuachwa? Kwa sababu yeye ndio kichwa cha familia, uliwahi kuona tela likiacha kichwa nyuma? Hapana. Tafsiri ya...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Juma Lokole amuombea Steve Nyerere cheo

    Anaitwa Juma lokole ni mtangazaji mwenye elimu ya darala la saba kwa wanaoojua tangu akianza michezo michafu akiwa mdogo sana huko sinza hawashangai sana issues zake, kijana huyo alikuwa analelelewa na bibi yake ambaye alipiga hadi akachoka ikabidi amuachie tu kijana aendelee na starehe yake...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Body spray gani ni nzuri kwa mwanaume?

    Wakuu habari zenu Naomba ushauri ni body spray gani nzuri kwa mwanaume. Ahsanteni.
  12. JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

    Kama tunavyofahamu mwanaume kuna age ikifika umri wako unaanza kuonekana umeenda haswa kuanzia age of 36,40 na kuendelea at this age bado kuna vijana hawajaoa na hata mpango wa kuoa bado kabisa. Hebu leo tuweze kushare kuna madhara gani ya mwanaume kuchelewa kuoa.
  13. JamiiForums Tanzania Laiti kama kule Hai angekuwepo mwanaume kama Saidy Mwamwindi

    Huwa nafuatilia tuhuma zote alizotuhumiwa Sabaya nabaki kujiuliza What if kingetokea kidume kama Mohamed Mwamwindi kule Hai kingebadili historia yote ya Hai na kila kiongozi akipelekwa Hai anakuwa na adabu kabisa. Wale wasiojua historia zamani kidogo Serikali ya Mwl Nyerere ilikuwa inaogopewa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume na baba wa kiroho amekwishasema, mimi mwanamke napingaje sasa?

    Kaka zetu na vijana wetu wa kiume mpo? Baba mchungaji keshasema hivyo Kuna msemo babu yangu alikua akiwaambia wajukuu zake wa kiume "... kabla hujaja kuniambia unaoa uniambie una mali gani maana kama ni kupata mke tuu hata nyani akijenga nyumba atapata mwanamke wa kuoa" kweli wahenga ni...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

    Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana. Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda kumnunua lkn mke wa mtu unatakiwa kunionesha usijari na usiri tu basi unajilia kitumbua cha watu...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukiweza kuwa mtanashati na smart utawakimbiza zero brain

    Wakuu Kwema!... Tatizo la sisi wanaume wengi tunajishusha na kujidharau wenyewe mwisho kukosa dira ya mwanamke unayemtaka. point yangu hapa ni unadhifu na umaridadi wa akili na hata mwonekano jinsi unavyo kutana na mwanamke. Amna kitu kitakushusha kama kutongoza tongoza ovyo yaani kila...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  18. JamiiForums Tanzania Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

    Wakuu habari. Moja kwa Moja kwenye mada. Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni? Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi inaingia akilini mwanaume kuheshimu madanga ya mkeo?

    Wana harakati habarini wote. Jana kijua kilitoka kidogo ikabidi nitoke niote jua nje kidogo maana nilikuwa nimetulia house siku nzima sikwenda job. Sasa nikiwa nasukuma draft na jamaa wawili watatu wa kunipita umri kama kaka hivi. Wakati tuna tia stori mmoja akawa anatujuza anapenda mke wake...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake: Mambo yanayopelekea mwanaume apoteze kujiamini, na kuamua kuvunja mahusiano

    Kwenye mahusiano,Kuna wanawake wengi ambao wanaumia kwakua wanaume wao wamepoteza kujiamini. Mwanaume anapopoteza kujiamini mara nyingi anakua na Gubu, anakasirika vitu vidogo vidogo, anakua na wivu sana kwani hujiona kama vile hatoshi hivyo kuogopa kusalitiwa au kuachwa. Hii humuumiza mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…