mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Habari! Mimi ni mwanamke mwenye miaka 38, mkristo, nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamume aliyetayari kwa ndoa mwenye sifa zifuatazo, 1. Awe na umri kati ya miaka 40 mpaka 50. 2. Awe mkristo 3. Asiwe na ndoa 4. Awe na shughuli ya kumuingizia kipato Mengine tutajuzana PM, karibu.
  2. Mwanamke huwezi pata mwanaume anayekupa mahitaji yote muhimu; na mwanaume huyohuyo aweze kula bata, kujiselfisha na kujipostisha na wewe kila wakati

    Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta Kwa...
  3. Lyyn: Sitaki mwanaume asiye na pesa

    Mrembo aliyeanza kujulikana kwenye video ya KWETU ya Rayvanny kama video vixen (LYYN)katika mahojiano na vyombo vya habari amefunguka kuhusiana na maisha yake pia na kusema aina ya mwanaume anayeweza kuwa naye.Katika mahojiano amefunguka haya:• "Mimi sitaki mwanaume asiye na pesa nataka...
  4. Tunafunga mjadala sasa, Mwanaume anapendewa pesa tu - Mbunge wa Iringa Mjini

    "Leo ukiniambia nguzo za umeme zitanunuliwa nje ya nchi, unamaana vijana wangu wote waliopo Iringa, songwe, Tanga wote wamepanda miti wakose fedha? Watakapokua na hitaji la mapenzi watafanya nini? Kwa sababu, sasa hivi hakuna mwanamke atapenda sura, kwa sababu wanaume kwanza hawana sura nzuri...
  5. mwanaume mkristo anaenyimwa unyumba, mke hawawezi shiriki tendo, kuhamishwa mkoa kikazi, na hurusiwi kuongeza mke, mnakabilianaje na hii hali

    Hii hali huwa imekaaje kwa wakristo. Unakuta -Mke anakunyima game maksudi kabisa - Mke hawezi tendo labda ni mgonjwa -Mnaishi Dar ila mke anahamishiw kigoma. .... Na hurusiwi ongeza mke. hii hali dhambi ya uzinzi inaepukika?
  6. M

    Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

    Zanzibar ni nchi ya kiislamu? === Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa tuhuma ya kukata viuno hadharani. Kijana huyo mkazi wa Rahaleo anatuhumiwa kutenda kosa hilo huko...
  7. Mwanaume unawezaje kuishi kwa amani ukijua kuna mtoto umemtelekeza sehemu?

    Imagine mwanaume upo bar unakula bata kama kawaida na kuwalipia marafiki waliokuzunguka pia, lakini kuna sehemu umetelekeza Mtoto damu yako kabisa na hujui anakula nini, anavaa nini anaishije? Kweli kabisa unaweza kwenda kitandani ukalala usingizi kabisa na huku umetelekeza damu yako? Mwanaume...
  8. R

    Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

    Jamani tuacheni masihara. Kama kuitwa mshamba bora mimi niwe hivyo. Hivi inakuwaje mwanaume unamkuta yuko jikoni anahangaika kupika au kufua au hata kupiga deki? Si tulikubaliana Kazi ya Mwanaume ni kutafuta pesa, kulisha familia, kusomesha watoto na kutoa ulinzi kwa familia na jamii...
  9. Wanakumbuka VIZURI agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho ila wanapinga na hawataki agizo kua mwanamke atakua chini ya mwanaume.

    Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu. Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo ni jukumu la mwanaume kutafuta na wanashupalia andiko hilo mpaka mishipa inawatoka ila...
  10. K

    Inakuwaje baadhi ya wanawake wapo tayari kumwacha mwanaume anayempenda kisa fedha baadaye anarudi na kutaka muwe wapenzi kisirisiri?

    Nilisha simuliwa story hizi nyingi za mwanamke kumwacha ampendaye kisa kampata mwengine mwenye hela. Nina wanangu wa wawili wote mainjinia, mmoja nilijuana naye Mchikichini kwenye mapindi, mwengine tulijuana kwenye projects moja ambayo ilikuwa tempo ya kama mwaka mmoja. Huyu mwana niliyejuana...
  11. Survival “skills” kwa Wanaume

    Hizi ni skills ambazo ni lazima mwanaume uwe nazo. 1. Mwanaume lazima ujue kupika. Kupika sio kazi ya wanawake wala sio gender role hii. Haya ni maarifa anayotakiwa kua nayo kila mtu. Kuna watu waliamua kuoa tu kwa sababu wanataka mtu wa kuja kuwapikia. Maana yake kama wangekua wanajua kupika...
  12. Michepuko hii, kuna muda unajikuta umemkosea mwanaume mwenzako bila kujua

    Ntajaribu kuifupisha Sana hii kadiri ya uwezo wangu[emoji116] NI HIVI, Bila shaka mnamkumbuka yule Mchepuko Wangu anaesoma chuo kikuu ambae ni mdg wake na mamaJ. Uyu Binti mahusiano yangu na yeye yapo yapo TU kwa msimu. sometimes ON, sometimes OFF Yaan kwa mwez tunaweza kuonana Mara 1 au Mara...
  13. H

    Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni...
  14. K

    Putin aagiza mataifa hasimu kununua gesi kwa pesa ya Urusi (rubble)

    Rais mbabe na mmiliki wa mkanda mweusi wa judo katangaza kuanza kuuza gas yake kwa zile nchi alizoziita unfriendly kwa sarafu ya rubble badala ya dollar & euro na katoa wiki moja kwa bank kuu ya Urus kukamilisha utaratibu wa kupokea mauzo ya gas kupitia rubble Kwahiyo kuanzia wiki moja toka Leo...
  15. Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Wasalam! Hii habari ni mwendelezo wa matukio yangu halisi. Ni muda sasa kama mwaka tangu nitengane na mke wangu kutokana na swala LA uzinzi ambapo aliamua kuondoka kuishi maisha yake na hawara wake. Muda haukuwa mrefu aliomba kurudi kwangu kienyeji enyeji ila hali swala lilishafika kanisani...
  16. Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

    Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset). Inasemekana kuwa Rege ndiyo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na...
  17. Kwanini wadada huwa mnaamini mwanaume asiye na haraka ya kulala na wewe ndio anakupenda?

    Moja kati ya vitu ambavyo dada zetu huwa wanatumia kama kigezo cha kumpima mwanaume, ni kigezo cha mwanaume kutompaparukia kutembea naye ingawa wameshatogozana na kukubalina kuwa pamoja. Nimesikia wadada wengi wanasifia kuwa jamaa yake hana haraka hata kama akienda kwake. Hiyo hali huwa...
  18. Emoji mpya za mwanaume kubeba mimba kwenye ios 15.4, ushoga unazidi kupromotiwa

    Hawa wazungu ni wapuuzi sana, sasa hivi wameleta emoji mpya kwenye simu ambazo zinaonekana wanaume wamebeba mimba. Naona agenda ya kutangaza ushoga inazidi kushika kasi, tunaelekea wapi?
  19. Majibu ya damu yagundua mwanaume ana matatizo ya ugumba akiwa kwenye ndoa na watoto wanne

    Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume ilikua matawi ya juu. Baada ya harusi mke alileta house boy nyumbani. Ni kijana mdogo ndiyo...
  20. Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

    Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi. Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…