mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye pesa si wa peke yako wewe mwanamke

    Amani iwe kwenu! Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana true love... Na siku zote ukiona mwanaume mwenye pesa hana mbamba nyingi yaani hana michepuko na wala...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake wameyageuza makanisa kuwa kimbilio la kupata wanaume wa kuwaoa

    Sio tu wa kuwaoa, bali hata wachumba, wapenzi au part time men. Na hii ndio sababu kuu ya kwanini wanawake wamejazana makanisani 90℅ kulinganisha na wanaume Akili za mwanamke zinafikiri kwamba, atakapokutana na mwanaume maeneo hayo ya kanisa, mwanaume huyo hatopata mashaka ama kujiuliza mara...
  3. JamiiForums Tanzania Amepata bahati ya mwanaume wa kumuoa, anaweka vikwazo vya mahari na kutambulishana

    Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha, ana biashara yake ya kukidhi maisha. Halafu anaambiwa aolewe naye anaanza kuleta vigezo vya umri...
  4. JamiiForums Tanzania Kuelekea siku ya Mwanamke Duniani, ewe mwanamke unataka kumwambia nini mwanaume leo?

    Mimi binafsi nawaambia wanaume punguzeni dharau kwa wanawake, kuweni wanaume kamili, dharau hazijengi wala kukuletea sifa njema. Poleni na majukumu wanaume, Mungu awabariki mkinielewa au msiponielewa. NB: Wanaume hawatakiwi kuwa na maneno mengi, uanaume ni kazikazi. Tubarikiwe wanawake wote...
  5. JamiiForums Tanzania Sifa za mwanaume rijali

    Sifa za mwanaume rijali Lazima ajue kushawishi (kumshawishi wanamke na akuamini) Lazima atembee kiume; sio kwenda upande upande Lazima ajue kubeba majukumu Lazima awe na sauti kwa mkewe/ mpenzi wake Lazima awe na msimamo Havai vitu wanavyovaa wanawake Hafanyi vitu wanavyofanya wanawake Hakai...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke mnyenyekevu ndiye chaguo bora kwa mwanaume yoyote

    Wanawake tuna nguvu kubwa ambayo hatuithamini na tunaipuuza na kuidharau ndio maana sisi tunaongoza kushinda kwa waganga na kwenye makanisa ya kinabii. Nguvu hiyo kubwa tuliyonayo ni unyenyekevu. Tukiweza kuwa wanyenyekevu kwa wanaume wetu, na kuwaombea, migogoro inapungua na kutoweka kabisa...
  7. JamiiForums Tanzania Ameniacha Na Kwenda Kwa Mwanaume Mwingine Baada Kuishi Naye Muda Mrefu. Nifanyaje?

    Mwanamke hupenda na kuacha kupenda taratibu. Ukiachana na mwanamke kicheche au kuwa anakulipizia baada ya wewe kumsaliti, mwanamke mpaka akuache lazima kuna sehemu ulianza kutetereka. Akakuvumilia akiamini utabadilika lakini wapi. Sasa amekuacha unaona ghafla lakini kamwe sio ghafla alianza...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo: Wajane hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k Wazazi - Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
  9. JamiiForums Tanzania Ni dhana potofu kusema Mwanaume hasifiwi Uzuri

    NI DHANA POTOFU KUSEMA MWANAUME HASIFIWI UZURI. NI AKILI NA KAMPENI ZA KISHETANI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Soma Kwa Utulivu. Hizi ni falsafa za Watibeli, Kutoka Nyota yenye mbawa Mbili. Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima wapate ufahamu. Zipo kasumba nyingi Mbaya katika jamii zetu...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mnafanya wote ila ni kwa nini mwanaume huonekana bingwa hujisikia fahari?

    Lile jambo tunafanya wote na kuna wakati mwanaume huzidiwa kabisa ila ni nadra sana kumkuta mdada au mama anajisifu juu ya game. Sio hivyo tu Kuna wakati hata katika stori za kawaida mdada au mama akisema huyo dada fulani au mama fulani si wamfanye tu Hadi akome. Ila haisemwi hivyo kwa jinsia...
  11. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mwanaume ajinyonga nyumbani kwa aliyemnyima tendo

    Daaaaah! Usiku wa juzi kuamkia jana kumetokea tukio nikiwa uku Serengeti aisee jamani usiombe yakukute, kuna dada mume wake yupo Shinyanga ameenda kutafuta maisha mke kamuacha Serengeti kijiji cha mbalibali ambapo ndio nilikuwepo, sasa uku kijijini uyu dada ana mahusiano ya kimapenzi na jamaa...
  12. JamiiForums Tanzania Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

    Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali. Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi...
  13. JamiiForums Tanzania Vitu 6 Vya Muhimu Kuzingatia Kuwa Mwanaume Wa Thamani Zaidi Kwenye Jamii Inayokuzunguka

    Mwanaume mwenye thamani mara nyingi hupata anachokitaka. Maana ya mwanaume wa thamani ni mwanaume ambaye ana mvuto wa kimapenzi kwa wanawake na pia wanaume wanataka kuwa kama yeye au wanamuangalia kama kiongozi. Watu hupenda kuwa karibu naye na kumsaidia. Ili na wao wapate kitu toka kwake. Hivyo...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwanamke tajiri anayemiliki pesa nyingi duniani kuzidi matajiri wa kiume?

    Naomba kufahamu maana kila siku naona list za wanaume tu. Sasa mbona wanapambana sana, hela zao wanawekeza wapi?
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Anapata kinyaa kufanya mapenzi na mwanamke anayenyonyesha

    Ndugu zangu wakati huu nahitajika nitoe majibu kwa kijana wangu, anapitia wakati mgumu. Ana mpenzi wake anampenda kwa dhati, wamebarikiwa kupata mtoto. Tatizo lilipo sasa, anashindwa kufanya mapenzi na huyu binti maana yupo kipindi cha kunyonyesha. Binti anahitaji mapenzi ila kijana...
  16. JamiiForums Tanzania Fahamu siri ya (Pesa Na Mwanaume)

    PESA NA MWANAUME 👈 ... Kuna pesa na Mwanaume |✍ Ukiona mwanamke anakuletea dharau tambua yuko na Mwanaume au yuko na pesa 👈 ... Mwanamke hawezi kuwa na dharau kama hakuna anayemshika masikio! Kama hakuna anayemshika masikio jua anamiliki kiasi fulani cha pesa so wew kama ulikuwa nae anakuona we...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume mzima unaendeshwa kihisia na mwanamke? Huo ni ujinga wa kiwango cha lami.

    Hivi mwanaume mzima halafu ukiwa kwa masela unajiita wewe ni mwanaume shababu halafu kutwa mapenzi yanakuendesha balaa huo si umbumbu? na ujinga? na ukichaa wa hali ya juu yaani mimi nikiona wanaume wa type hiyo natamani hata kuwapiga makofi hivi unaacha kuwaza pesa unawaza hawa ma slay queen...
  18. JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Mwanamke Kuonesha Kiburi Kwa Mwanaume Wake. Cha Kufanya

    Hapa naongelea mwanamke ambaye ulikua naye vizuri lakini sasa analeta jeuri. Ila kama mwanamke ana hulka ya ujeuri, huyo hakuna haja ya kupasua kichwa. . Mwanaume kuwa dhaifu baada ya muda. Mara chache mwanamke atakuambia umekua dhaifu, hivyo njia rahisi kwao ni kuleta ujeuri wakiwa na matumaini...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kuolewa alisema hivi "nilikuwa natamani mwanaume anibake"

    Wanawake bwana wao huwa wanaambiana vistory vya kweli wao kwa wao. Hata mwanaume ukimkuna vizuri lazima akawasimulie wanawake wenzake. Hawa wenzetu hawawezi kutunza siri hasa kama kuna kitu kimempendeza wanapenda kushare na wenzao. Ni single mama mmoja alikuwa na watoto wawili baada ya kukaa...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kitajiri Vs Mwanaume wa Kimasikini

    Zijue tofauti mbali mbali Kati ya wanaume masikini na wanaume matajiri. 1.ulaji; siku zote kula ya mwanaume wa kitajiri kamwe haifanani na kula ya mwanaume wa kimaskini.Hapa sizungumzii uwezo wa kipesa wa mtu, Bali nazungumzia ulaji wenyewe haswaa. Yaani mwanaume wa kimaskini huwa na tabia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…