mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

    Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:- |-• Wanaume wengi...
  2. Wanawake walio wengi waleo wanatumia dildo na kusagana ni ngumu sana kwa wanaume kuwaridhisha

    Kama kisemavyo kichwa cha habari ni ngumu sana kuwaridhisha wanawake wa kileo kwa sababu huwezi shindana na dildo ambalo linatumia umeme Japokua kumekua na vilio vingi kwa upungufu wa nguvu za kiume ila ukweli ni kwamba mtindo wa maisha wa wanawake wengi ni ngumu sana kuwaridhisha Zaman ilikua...
  3. Manara atumia Ujauzito wa Zailyssa aliopewa na Mwanaume mwengine kuwashtua watu

    Haji Manara amejibu swali aliloulizwa kuhusu mkewe kuonekana na Ujauzito mkubwa mitandaoni na ilhali wamefunga ndoa wiki chache zilizopita. Haji Manara amejibu, "Wakati mwingine unatingisha kidogo unawapasha walimwengu ile ni picha ya zamani. Nilimwambia akatingishe kidogo ulimwengu. Hana...
  4. Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri

    1. Nataka mwanaume mstaarabu, muaminifu, mwenye kazi asiwe kibenteni. Awe na mbinu za hela, awe handsome, mzuri, awe anajiheshimu. Asuchepuke. Awe anawahi kurudi nyumbani. Ajue mahaba, asiwe MUONGEAJI, asiwe na maneno makali. Awe mpole. Anajua mahaba. Wanawake WANAOTAKA WANAUME hao PUNDA MIZANI...
  5. Mwanaume ukisema nakupenda, maana yake ni nitegemee

    Kupenda sio hisia, ni uwezo. Mwanamke ukisema unampenda, anasahauu hapo hapo, ndo maana wanauliza unanipenda? Wanataka kusikia Unavyosema nakupenda maana yake ni nitegemee. Hivyo kama Umependa maana yake mpe hela ya kila kitu. Majukumu ya mwanamke ni kukuheshimu tu. Yaani mwanamke ukimpenda...
  6. Mwanaume andaa future nzuri kwa wanao, ila usitegemee lolote kwa wanao

    Mwanaume tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka usitegemee lolote kutoka kwa wanao. Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.
  7. C

    Mwanamke anapompenda mwanaume mwingine Kuna uwezekano kuwa na mapenzi ya dhati kweli ndani ya ndoa?

    Wakuu habari.. Kichwa kinjieleweza, nilipo sijalala Jana kwa hii kadhia, naombeni ushauri nimwache aende au tusuluhishe.,,😭😭😭
  8. Jamii za Ulaya na Amerika zimefanikiwa kuua/kuondoa nguvu ya asili ya mwanaume

    Sasa hivi Europe na américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo. Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke . Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50. Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya...
  9. Wakili LHRC: Hakuna Mwanamke anayeweza kumbaka Mwanaume

    "Hata kwenye Sheria yetu ya Kanuni ya adhabu imeeleza kwamba Mwanamke ni nani?, ili kueleza kwa nini tunasema Mwanaume ndiye anayeweza kubaka na sio Mwanamke, japo siku hizi kuna Kampeni nyingi, Wanaume nao wanasema na wao wanabakwa wasikilizwe, lakini sababu kubwa ndio hiyo kuwa kuna mwenye...
  10. M

    Kwanini matumizi ya Condom hubaki kwa mwanaume ndiye mwenye uamuzi?

    Kichwa cha habari chajitosheleza...Yaan mwanamke hubaki kusikiliza mwanaume ameamua nini...Huwa hawajali kabisaa,awe msomi, mwanafunzi, mke wa mtu na n.k.. Wenyewe hubaki kusikiliza mwanaume kaamua nini ...
  11. Hakuna Mwanaume anayejali, kupenda, kuheshimu mke kama Mkurya!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Enyi akina dada ambao mmekuwa mkitendwa kila siku na baadhi ya wanaume ambao hawajitambui na kueleweka, naomba niwaletee kwenu kabila la watu makini, wanaojitambua, wanaojiheshimu, wanaojali, walio na upendo wa dhati!, si mwingine bali ni Mkurya...
  12. Mwanaume ambaye hujaoa hakikisha unaunga mkono moja kati ya hizi kampaign

    Nazungumzia wanaume ambao hawajaoa sio waliooa au waliopo kwenye ndoa, kuna campaign tatu ambazo nataka kuzipigia debe mimi kama mimi. Kampeni moja tayari imeshaenea na nafurahi vijana wengi wa Jamii Forums wameisapoti kwa kiwango kikubwa, hii inaonyesha muamko wa vijana kwenye kusapoti haya...
  13. C

    Mambo ambavyo mwanaume unatakiwa kufanya au kutofanya

    Kwema wakuu Kuna mambo ambavyo mwanaume unatakiwa ufanye na mengine usifanye 1. Mwanaume hutakiwi kurudiana na mwanamke aliyekucheat. 2. Mwanaume hutakiwi kumpa mtu mkono ukiwa umekaa Mengine ongezeeni wakuu ili tuzidi kujengana...
  14. M

    Nataka Kuoa japo sijui Namuoa Nani? Mwanaume mwenzangu umeshawai kutokewa na hali hii?

    Habari wadau. Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs. Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea...
  15. Je, wewe mwanaume unaweza kuuliwa na mbwa hawa wa kufungwa?

    wanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo Mada kwa ajili ya wanaume
  16. Hivi wadada kama ukiambiwa uchague mmoja kati ya mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au mwanaume mwenye hela?

    Hivi wadada bora kupata mwanaume mwenye mapenzi ya kweli au kupata mwanaume mwenye hela? Hebu funguka unachagua nini? #nyumayapazia
  17. Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo. Sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi.
  18. Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa! Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
  19. C

    Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Wakuu habari. Imeniuma saana, na tayari wana love desire, mbaya zaidi tuna mtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje? Mbarikiwe!
  20. C

    Mwanaume mwenye aibu...

    Habari? Wajameni naombeni msaada wa kimawazo. Kuna mwanaume ambaye anaonyesha dalili zote za kunihitaji kwenye mahusiano lakini hawezi kabisa kutamka kuwa ananihitaji anapokuwa hajanywa pombe. Anapolewa anaweza kuongea chochote na kuahidi kila kitu. Ila pombe zinapomtoka, atabaki kufanya ishara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…