Inakuaje mwanasiasa ambaye hatumtaki ang'ang'anie kutuongoza?

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Salaam ?

Nianze kwakusema kuwa nilikuwepo kipindi cha uongozi wa mkapa, kikwete na baadaye Magufuli. Viongozi wote Hawa tumewahi wabeza, tukawasema na kuwasema lakini hatukuwahi wakataa.

Ni jambo la kustaabisha kwamba mnamkataa mtu lakini anatumia mabav makubwa kubaki kuwaongoza, najiuliza maswali ya msingi ila nakosa jibu.
#angang'ang'ana kuongoza kwa faida gan ya ziada ikiwa kama mapesa amekwisha kuchota ya kutosha. # kwanini asiende kuongoza kwao kule anang'ang'ana na huku kwetu ?

1. Ameshindwa kusimamia wala kulinda mali asili zetu.
2. Tumempa jukum la kusimamia upatikanaji wa ajira, yeye ana ahidi ajira 7000 pamoja na kuwa gap la ajira kwenye Elim tu wanaohitajika ni zaid ya walim 380,000.

3. Tumemkabidhi miradi kadhaa ya uzarishaji mbolea kutoka kwa watangulizi wake ikiwemo kiwanda cha minjingu mbeya, lakini hajaweza hata kidogo kupunguza bei ya mbolea.

4. Wizi wa pesa ni wamatrilioni na hahawahi kuweza kumwajibisha mwizi yeyote yule.

5. Mwanae ndo kiongoz wa magenge ya utekaji.

6. Bei ya nishati ya umeme na gesi havijaweza kushuka bei hata baada ya kukamilisha miradi muhim ambayo ingeweza kupunguza bei husika.

7. Usalama kwa raia na mali zao umezorota mara dufu.

8. Hakuna hatua madhubut zinazopigwa katika septa ya afya wala mfumo wa Bima, anapiga porojo tu.

9. Anashindwa kusimamia moradi na miundombinu ambayp ingekuwa inaongexa ajira kwa wa tz. teye anawapa Wageni.

10. Barabara imekua ni miradi ya walanguzi .. nenda mbeya mini utaelewa nnachokwambia.

11. VYEO anavigawa kwa ndugu na jamaa kama njugu,
Mwanae mbunge, mkwewe waziri. Mtoto wa rafiki yake japita bila kupingwa, wifi yake kapita bila kupingwa, binam yake kapita vivyo hivyo. anataka kujimilikisha nchi hii ????

12. Ndiye kiongozi wa kwanza anaenda kugombea kiti anachogombea bila wadhamini au bila kufwata taratibu zozote za chama.

13. Ndiye kiongoz wa kwanza ktk historia anagombea bila wapimmnzani wa kweli.

14. Anakipi cha ziada cha kuipa nchi yetu ??

KWANINI KIONGOZI HUYU TUSIMTOE KWA NGUVU ???
 
Hahitaji nguvu ni kumtowa kwa kura.
Nakama haiwezekani basi sio yeye pekee yake ana duara kubwa linalo shindikiza abaki , sababu wanafaidika.
sasa kuwakataa hawo wano mzunguka kwanza ndio naye ataomdoka.
 
Na tunakubalije watanganyika kukaliwa kimabavu na mwanamke toka nchi jirani?
Mwanamke toka nchi jirani analazimisha kututawala watu milioni sitini na ushee!

Hili linawezekana kweli?

Inabidi pia niulize swali hapa hapa. Hivi kweli kuna mitutu ya bunduki inayoweza kuua waTanzania angalau milioni moja tu?

WaTanzania, kwa nini tunakuwa watu wa hovyo kiasi hiki?
 
Kutomtaka we na mumeo tu, yaani watu wawili, ndo utuhusishecsote?!!! Sisi tunamtaka, tena sana tu, na tutakuwa nae bega kwa bega....in the good and not so good times!

Kayafanya meeengi mno na hizo hila zenu za kujifichia kwenye kichaka Cha siasa tumeshazigundua........shida yenu kuu ni dini yake tu basi na si kingine. Una ushahidi wowote kuwa kuwa mwanawe anateia watu?!!! Aliwahi kumteka mumeo?!!!
 
Back
Top Bottom