mwanasheria

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa kimataifa wa Lissu, Robert Amsterdam, asema wanaendelea na uchunguzi wa tukio la Lissu kushambuliwa na watatoa taarifa ya uchunguzi huo

    Gazeti la "theafricareport"limechapisha habari(0nline) kuhusu mahojiano waliyofanya na Tundu Lissu, ambapo Lissu kaongea mambo kadhaa kuhusu utawala huu wa awamu ya tano na azima yake ya kurudi nyumbani. Gazeti hilo pia linaonekana kufanya mahojiano na mwanasheria wa Tundu Lissu na yafuatayo ni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanasheria wa ACT Wazalendo: Msajili hawezi kukifuta chama

    Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shaaban ametolea ufafanuzi juu ya Msajili wa Vyama kufuta usajili wa chama.Kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya. Ufafanuzi: "Kifungu cha 19(3) cha sheria ya Vyama vya Siasa inasema mamlaka ya msajili kufuta usajili wa chama cha siasa hayawezi...
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Rasta ateuliwa Mwanasheria Mkuu wa Malawi aapishwa, baadhi ya maneno kwenye kiapo agoma kuyatamka. Jaji amsainisha kiapo. Je, ni sahihi kisheria?

    Rastafarian ateuliwa na Raisi mpya Mchungaji Chikwera kuwa mwanashria mkuu wa serikali ya Malawi aapishwa kwa Biblia watu wamshangaa huyo Rasta akiapa kwa Biblia. Maneno mengine kwenye kiapo anayeapa agoma kuyatamka Jaji muapishaji ajikausha na kupotezea ni kituko fulani hivi Wanasheria...
  4. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Yaani leo nimethibitisha Adelardus (AG) hajui Katiba, anadai Serikali ina mihimili mitatu na yeye ndie anasimamia yote

    1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! 2/ Kwa kusema...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mwanasheria mkuu (AG) kushtakiwa kwa makosa yaliyotendwa na Rais kama taasisi au mtu binafsi akiwa madarakani nimeikubali

    Jana nimesikia kupitia mjadala bungeni kwamba sheria inarekebishwa na sasa Rais hatoshtakiwa kama mtu binafsi kwa mambo aliyoyatenda wakati akiwa madarakani na badala yake atashtakiwa Mwanasheria mkuu ( AG) Mimi siyo mwanasheria lakini nakubaliana na haya marekebisho. Maendeleo hayana vyama!
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

    Demu anajua vitu vingi hatari . Mpaka mtu mzima nakosa pozi. Kila kitu anajua yeye. Demu anamjua Hadi Styles P? Nilikuwa sijui kama mama ake na Styles P ni Mzulu WA South Africa demu ndo kanichana yeye kupitia story. Demu anamjua mpaka Craig Mack WA New Flavour in Ya Ear. Demu anamjua...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi. Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya. Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Natarajia kufungua shauri la kikatiba kuhusu Ibara ya 46(3) Inayoenda kinyume na ibara 13(1) katika mahakama Kuu ya Tanzania

    Habari wanabodi? Heri ya siku ya wapendana nao. Ni matumaini yangu kwamba wote hamjambo humu ndani. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwamba mwishoni mwanzoni mwa mwezi wa tatu natarajia kupeleka Shauri mahakama kuu ya Tanzania kuhusu uhalali wa Ibara ya 46(3) ya Katiba ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria anatafutwa Moshi/Arusha

    Natafuta mwanasheria wa kujitegemea atakayeweza kuendesha mashitaka Moshi / Moshi nitafute 0756200028
  11. DAT BOY SU

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Nilikimbiwa na mchumba mwanasheria kisa Ukurya wangu

    IGP Saimon Sirro amesema kwamba yeye aliwahi kukimbiwa na msichana aliyekuwa akimpenda kwa dhati ambaye alikuwa Mwanasheria, anaendelea kwa kusema mwanamke huyo ambaye ni mwanasheria alimkimbia kisa tu yeye Sirro ni Mkurya na story alizowahi kuzisikia huyo mwanamke ni kuwa Wakurya wanapiga wake...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yafanyike marekebisho CAG awe mbunge kama ilivyo kwa AG ( Mwanasheria mkuu)

    Ili kupata mawasiliano yenye uhakika ni vema pakafanyika mabadiliko madogo ya katiba ili kumuwezesha CAG kuwa mbunge. Tumeona faida ya mwanasheria mkuu kuwa mbunge kwamba anajibu hoja zetu zote zenye utata wa kisheria pale bungeni, vivyo hivyo CAG akiwa mbunge ataweza kuzitolea ufafanuzi hoja...
  13. Kichupa Steven

    JamiiForums Tanzania Masaada wa sheria za kazi Utumishi wa Umma

    Habari viongozi Nahitaji mtaalamu wa sheria za kazi Kwa watumishi wa Umma kunasuala nahtaji Ushauri tafadhali Ni kwamba kijana mmoja alipata ajira ya serikalini mwaka 2014 akafanya kazi hadi April 2016 akaandika barua na kuacha kazi akaondoka kazini akafanya shughuli zake Mwaka 2019 akaomba...
  14. Shomari

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanasheria wa kike ziko vipi?

    Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa. Kuna mtu anayeweza kuthibitisha hili? Na tabia gani nyingine wanazo? Jamaa yangu anataka kujua.
Back
Top Bottom