mwanasheria

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili Msomi N.I.N Munuo afariki dunia hospitali ya KCMC

    TLS imeondokewa na mwanachama wake wakili mwandamizi
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mjue mwanasheria aliyeshinda kesi nyingi za mauaji

    Sir Lionel Luckhoo amezaliwa Machi 2, 1914 New Amsterdam na alifariki Desemba 12, 1997. Alikuwa mwana sheria kuanzia mwaka 1940 hadi 1985 Mwaka 1990 aliingia rasmi kwenye kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness kama mwanasheria aliyeshinda kesi nyingi za mauaji ambapo alishinda kesi 245 Ni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

    Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
  4. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwanasheria Kabudi tusaidie, toa Elimu ya Haki yetu Kisheria

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa, Wilaya au mtu yoyote yule apige viboko Mtanzania mwingine ? Nani anampa hiyo haki, kwa Sheria gani ? Waziri Kabudi tuokoe hapa kujua haki zetu, Mkuu wa Mkoa akinipiga kibogo niende wapi kushitaki ? Tafadhali Waziri Kabudi ongea na mshua, tunadhalilishwa sana na weusi...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Marekani ajiuzulu

    Mwanasheria Mkuu wa Marekani William Barr, mmoja wa washirika wakubwa wa Rais Donald Trump, anajiuzulu wakati kukiwa na mvutano wa muda mrefu na rais juu ya madai yasio na msingi ya rais ya wizi wa kura katika uchaguzi mkuu uliomalizika na uchunguzi juu ya mtoto wa rais mteule Joe Biden. Barr...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Maya Harris, Dadake Makamo wa Rais mteule wa Marekani ashinikiza ili mumewe Tony West ateuliwe nafasi ya Mwanasheria Mkuu

    VP-elect Kamala Harris' sister pushing for husband to be named attorney general: report Maya Harris has allegedly worked behind the scenes to lobby for her husband, Tony West Vice President-elect Harris’ sister participated in discussions with Democratic allies about getting her husband...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu: Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu waliapishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba, CHADEMA isiwaguse

    Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Profesa Adelardus Kilangi amewaonya CHADEMA kutowabugudhi wabunge wa chama hicho wa viti maalum kutoka chama hicho. Profesa Kilangi amesema, mchakato wa Wabunge wa viti Maalum kutoka CHADEMA umefuata Sheria na Katiba, hivyo hawapaswi kubugudhiwa. Awali Spika wa...
  8. Umkilo

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wasifu wa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi

    Uteuzi: Rais Magufuli amteua Dr. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG). Masaju ateuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu ======= WAKATI Mwanasheria Mkuu wa Serikali mteule, Dk. Adelardus Kilangi, akitarajiwa kuapishwa leo Ikulu, jijini Dar es Salaam, wasifu wake unaonyesha ni mbobezi...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria nchini Nigeria ataka maandishi ya kiarabu kwenye fedha yaondolewe

    Mahakama mjini Lagos Nigeria inatarajia kusikiliza kesi iliyofunguliwa na mwanasheria dhidi ya Benki Kuu ya Nigeria akitaka kuondolewa kwa maandishi ya kiarabu kwenye fedha za nchi hiyo. Malcolm Omirhobo pia anataka jeshi la Nigeria kuondoa maandishi kutoka kwenye nembo ya jeshi yanayoashiria...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu Marekani aamuru uchunguzi kuhusu upigaji kura

    Mwanasheria Mkuu wa Marekani, William Barr amewaamuru waendesha mashitaka wa Serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu dosari za upigaji kura, kwa sababu Rais Donald Trump amedai kuwa alishindwa uchaguzi kutokana na udanganyifu. Barr, ambaye ni mtetezi wa karibu wa Trump kwa muda mrefu, amesisitiza...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Prof. Adelardus Kilangi aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais Magufuli kutofanya mabadiliko watendaji wa Serikali, Mawaziri kubadilishwa

    Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli. Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambapo amesema hii imeonesha Rais ana imani naye kwa hivyo ameahidi...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Dkt. Mwinyi Talib Haji Ateuliwa Kuwa Mwanasheria Mkuu

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi amemteua Dkt Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Kabla ya Uteuzi Dkt. Mwinyi Talib alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Uteuzi huo unaanza Novemba 3
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanasheria Mkuu asema walioua Waandamanaji bado hawajulikani na ni mapema kusema kwamba waliohusika ni Polisi na Wanajeshi

    Mwanasheria Mkuu nchini Nigeria amesema kwamba watu waliowapiga risasi na kuua waandamanaji nchini humo hawajulikani na kwamba huenda watu waliofunika nyuso zao na kuvalia sare za kijeshi ndio waliohusika. Abubakar Malami amesema kwamba ni mapema sana kusema iwapo polisi walihusika katika tendo...
  14. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa Mwanasheria mwenye namba ya DPP

    Kuna tukio lilitokea Mwanza mwaka jana,kwa ufupi mwanajeshi na mgambo waliwapiga watuhumiwa, ndani ya ofisi ya kata, mmoja alifariki. Polisi walidanganya marehemu aliuwawa na wananchi. Baadae mke wa marehemu alimuona mkuu wa mkoa,na upelelezi ukafanyika na maelezo yakachukuliwa,na kesi ilikuwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
  16. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu iliwakataa hawa watu, Mahakama ya Rufaa ikarudisha kwa rufaa ya Mwanasheria Mkuu. Hivi Mwanasheria Mkuu ana jicho kali la kisheria?

    Kesi ilifunguliwa mahakama kuu kukataa wakurugenzi wa halmashauri ambao ni wateule wa Rais na baadhi yao wakiwa makada wa CCM kuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu. Mahakama kuu iliona kuwa hawana sifa ya kuwa wasimamizi. Mwanasheria mkuu wa serikali alikata rufaa kwa madai kuwa wanakula kiapo, hivyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Anaandika aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman

    Kwa asiyekuwa mweledi, Bwana Humphrey Polepole ni mpigadebe mzuri, ni mpambaji mjuzi na dalali anayeweza kumuuzia mtu jaa [jalala] kwa jina la kasri ya mtindo wa Mediterranean. Wazanzibari tumemsikia katibu huyo wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) anavyonadi kwamba wanakusudia...
  18. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo akizungumzia vitendo vya NEC kukiuka Sheria

    29 Agosti 2020 Mwanasheria Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, aweka hadharani kinachoendelea Pemba. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Omar Said Shaaban, ambaye anasimamia mchakato wa kuwarejesha wagombea wa chama hicho walioenguliwa, anazungumzia hapa vitendo vya kukiuka sheria...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge Njombe Mjini; Emmanuel Masonga amuwekea pingamizi Deodatus Mwanyika baada ya kukiri kosa la jinai

    Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million. Deodatus Mwanyika mgombea wa ubunge Jimbo la Njombe Mjini
  20. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Nchi yetu kuwa na Rais Mwanasheria au Mwenye elimu Juu ya Sheria (LL.B)

    Niweke haya bayana kua mimi sio mfuasi wa chama chochote hapa nchini. Taifa letu bado ni changa na ambalo ndio limeanza kukua kiuchumi kwa speed ya namna yake, huku bado bajeti yetu kwa zaidi ya asilimia 30 ikitegemea fedha za mabeberu ili iweze kujikidhi Tuna elewa msingi wowote ule wa taifa...
Back
Top Bottom