mwanamme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    Enyi Wadada Kabla Hujaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanamme Mwenye Miaka 34-40 Sikiliza Hii

    https://www.instagram.com/reel/DNXjr6kMXuQ/?igsh=ZTR6Nm1qeG00dXE0
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Vigezo na sifa za Mwanamke wa kuoa kwa 2024 - 2050

    VIGEZO NA SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA KWA 2024 - 2050 Anàandika, Robert Heriel. Mtibeli Pasipo kupoteza muda. Ikiwa wewe ni mwanaume unatafuta mke wa kuoa ili ujenge naye familia basi vigezo na sifa zifuatazo sharti Mwanamke huyo utakayemuita mkeo lazima awe nazo. Ili uishi maisha ya furaha...
  3. VOICE OF MTWARA

    Nimfanye nini huyu mwanamke?

    Nimemlipia pango Januari mwaka huu lakini hajanikaribisha kwake hata siku moja licha ya kumuomba mara kadhaa. Leo mkataba wake wa pango unakaribia kwisha, ananiomba nimlipie tena! Kwenye title ni mwanamke, sio mwanamme. Mambo ya smart phone, mnisamehe
  4. A

    Naomba kueleweshwa kuhusu wingi wa damu je damu ya 16.5 kwa mwanamme ni nyingi au kawaida?

    Baada ya kuhisi homa za mara kwa mara kwa kipindi kirefu kuumwa kichwa,viungo kukosa nguvu kupata kichefuchefu mda mrefu nikaenda hosptal nikapimwa mkojo upo sawa,skar ipo sawa,presha ipo sawa doctor akanambia nina damu nyingi ambayo ni 16.5 akaniomba niende kuchangia ili kuondoa hali hii...
  5. M

    Kati ya hivi vitu vinne, ni kipi unadhani mwanamke anaweza kukikosa kutoka kwa mwanaume na bado akaendelea kuvumilia?

    Kiasili kila mwanamke anahitaji vitu 4 kwa wakati mmoja. Akikosa kimojawapo , atakitafuta nje. Sababu moja wapo kati ya hizi, inamfanya mwanamke kuchepuka:- 1. Financial support (Mpe Pesa na matunzo) 2. Good sex (alidhike kitandani) 3. Attention (simu za mara kwa mara kumjulia hari, msifie...
  6. Ncha Kali

    Mwanamke yeyote anayemwendesha mwanamme wake, atalipia dhambi hiyo.

    Chukua hiyo! Iwe kwa uganga au nguvu ya kiuchumi. Kumwendesha mwanamme inamfanya asiwe mwenye furaha. Mwanamme akikosa furaha usitarajia kupata furaha pia. Na jiandae kulipa kwa hilo, iwe mapema au kwa kuchelewa. Mwanamme ni KIONGOZI, regardless hali yake..... chagua yule anayefaa...
  7. Ncha Kali

    Mwanamke akipata pesa, kitu kinachomjia kichwani cha kwanza ni kujitegemea na kujitawala bila kuwa na mwanaume

    Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake. Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua. Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake...
  8. Ncha Kali

    Kuitana 'babe' kwenye mahusiano ni utoto na mwanzo wa kukosa kuheshimika, hasa kwa mwanamme

    Imagine mwanamme unaitwa babe sijui baby, yaani mtoto? Hii sio kweli. Kwa mwanamke ni sawa, sababu hata kwa kiswahili tunawaita watoto yaani 'totoz' au 'bebez'.... kwa mwanamme ina maana gani? Kama ni kwa mahaba, basi iishie siku za mwanzo tu za uchumba ile kudanganyia.... ukishanasa haina...
  9. F

    Wanawake: ukiona mwanamme anapiga mshindo zaidi ya mmoja kitandani, achana naye fasta huyo ni masikini

    Mwenye hela akipiga kimoja tu chalii. Akili inawaza madeni, faida ilopatikana, biashara hii imeingiza milioni ngapi na ile ngapi Sasa ukutane na kapuku ambaye kula yake ni ya shida, tee tee tee
  10. Mparee2

    Hakuna mwanamme anawazia kuoa mwanamke mlevi!

    Kama hujaolewa na unataka kuolewa na mume na sio mtu aliyejikatia tamaa, jua hii inakuhusu... Wewe tolewa out badala ya kula msosi na kunywa juice/soda au basi ka glass kamoja kawine; unafakamia mapombe halafu utegemee kuolewa na mtu mtakayejenga maisha pamoja??? Mbaya zaidi ukute msichana hana...
  11. Mdakuzi

    Masharti 20 ya kuwa mwanamme!

    Wakuu, nadhani sote tuliopo humu tunajua kwamba binadamu anahitaji mwongozo ili kuwa bora zaidi. Hatuko duniani kwa ajili ya kuishi ishi tu, ndiyo maana tuna sheria na kanuni kama ambavyo Mungu alivyotuwekea Amri zake 10. Kwa kuwa, sisi wanamme tuna nafasi kubwa ya kufanya dunia iwe sehemu...
  12. M

    Natafuta Mwanaume wa miaka 53-56 aliyejitunza kiafya

    Wee mwanaume. Kama:- 1. Una umri kati ya 53 - 56 2. Single/Divorced na upo tayari kuingia kwenye mahusiano ya kudumu. 3. Umejitunza kiafya 4. Watoto wako wamejitegemea. 5. Una shughuli nzuri tu za kujiingizia kipato. 6. Upo radhi ku settle nje ya Tanzania na utajilipia tiketi yako kuja huku...
  13. Hemedy Jr Junior

    Ukiona Mwanaume anatetea sana Wanawake tambua kuwa ni mpenda Ngono

    Niulize kwanini...... Fanya tafiti ndogo sana watu ambao wanatetea wanawake, mtego wao mkubwa ni kutunukiwa hakuna kingine, ni wachache sana kukuta Mwanaume kamili yuko anazungumzia masuala ya kike mara apate haki fulani. Wengi ni wapenda NGONO ndo maana upiga kelele sana, Mwanaume kamili...
  14. TODAYS

    Mwanamme aliyemchinja kichwa mkewe ahukumiwa kifungo cha miaka nane jela

    PICHANI: Binti mdogo Mona aliyekuwa mke wa muuaji aitwaye Sajjad Heydari. Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja nchini Irani amemchinja pichani juu binti aliyekuwa mkewe kutokana na kumkimbia kwa sababu mateso na manyanyaso ndani ya Ndoa yao. Binti huyo mdogo aliolewa akiwa na miaka 12 na...
  15. Bridger

    KWELI Mwanaume anaweza kuonesha dalili za Ujauzito badala ya Mkewe

    MADAI Mdau wa JamiiForums ametoa mkasa mmoja unaomhusisha mume wa rafiki yake wa kike aliyeanza kuonesha dalili za ujauzito kwenye ujauzito mchanga wa mkewe. Mdau anaeleza kwamba shemeji yake huyu ilikuwa kila asubuhi anatapika njano, na homa za hapa na pale na kila alipoenda hospital Ugonjwa...
  16. Bridger

    SI KWELI Tohara hupunguza ukubwa wa sehemu za siri za mwanamme

    Wataalamu wa afya huelezea umuhimu na faida za kufanyika kwa tendo hili kwa wanaume. Baadhi ya sehemu wanaume huwa hawatahiriwi kabisa, na wengine wanaotahiri husubiri hadi mtoto afikishe walau miaka 12 ndipo afanyiwe tendo hilo kwa uoga wa kupunguza ukubwa wa viungo hivyo. Madai haya...
  17. Frumence M Kyauke

    Yupi anayeharibu mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamme na mwanamke?

    Je, yupi anayeharibu mahusiano & ndoa kati ya Mwanaume na Mwanamke?
  18. kookaburra

    Mwanaume raia wa Burundi anayeishi kama mwanamke, ana mke na watoto

    Hafanyi vitendo vya kishoga, ni mavazi tu Mwanzo aliishi kama wanaume wengine kwa kawaida za kiume. Kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe ilibidi avae mavazi ya kike ili asigundulike kuwa ni mwanamme kwani ilikuwa wanaume waliuawa zaidi kuliko wanawake. Ameipenda hali yake maana zaidi ya...
  19. nyboma

    Ni uzembe sana kwa mwanamme kulipia room (hoteli) usiku wa saa nane kisha uka CASHOUT asubuhi ya saa mbili

    Ni uzembe wa hali ya juu sana kwa mwanamme kumtamani mwanamke katika maeneo ya starehe, unamnunulia vinywaji, unaondoka nae lets say saa nane usiku unampeleka katika hoteli unalipia gharama zote halafu ikifika saa mbili ama tatu una CASH OUT. Huu ni ujinga na uzembe wa hali ya juu, kwangu...
  20. KENZY

    Nimegundua wanawake wanapenda mwanaume wa namna gani!

    It's simple wanawake wanapenda mwanamme mpole na mwenye vurugu. Nimemaliza.
Back
Top Bottom