mwanamme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake wanapenda mwanaume wa namna gani!

    It's simple wanawake wanapenda mwanamme mpole na mwenye vurugu. Nimemaliza.
  2. Kraftwerk

    JamiiForums Tanzania Furaha ya mwanamke ni kua na mwanamme wa aina gani?

    Ambatana Na mimi. Mpendwa msomaji wa JF Karibu kwenye makala hii tujifunze kwa pamoja,Leo ntazungumzia wanaume makala ijayo ntazungumzia wanawake. Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua. USAFI BINAFSI Asilimia kubwa...
  3. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Dalili 3 Dhahiri Za Kuonyesha Kuwa Hatakuwa Boyfriend Wako

    Je ishawahi kukutokea? Unakutana na mwanaume ambaye anaonyesha kuwa anapenda kutoka deti na wewe. Mnaspend miezi mitatu mkiwa pamoja, mnatumiana jumbe za sms na kemia ya mapenzi mnaijenga kuwa ya nguvu. Deti ya kwanza inapita kuwa ya tatu, mwezi hadi miezi mitatu inawapita. Inapita miezi mitatu...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania DC wa Iringa, Richard Kasesela ameomba radhi kwa picha zinazomuonyesha akiwa ameshikilia viungo bandia vya uume

    IRINGA: Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela, amewaomba radhi Watanzania kufuatia kusambaa kwa picha zinazomuonyesha akiwa ameshikilia viungo bandia vya jinsia ya kiume na kuzua taharuki katika jamii, ndani ya nchi na nchi za jirani. Akitoa ufafanuzi kwa Vyombo ya habari mapema leo Aprili...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tunapoongelea usawa katika ndoa tukumbuke tofauti za kiuumbaji kati ya Mwanamke na Mwanaume

    Mwili wa mwanaume una misuli mingi kupita wa mwanaume. Misuli hii inampa nguvu za ziada katika kuilinda familia. Mkiona nyoka ndani ya nyumba hutashangaa kusikia muiteni baba, ni mara chache kwenye familia yenye wazazi wawili kusikia kuna nyoka huku muiteni mama. Baba akishamuua nyoka Ego...
  6. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asiyekuwa na maendeleo unawezaje kukaa nae?

    Mimi nashangaa tu ndio mnaita mapenzi ya kweli? Mimi naona kutumika vibaya tu. Mtu unaishi vipi na mwanamme hana maendeleo, hata mipango yake kuhusu maisha hovyo kila anachofanya kina fail. Kuna watu wana huruma kweli ningekuwa mimi nimeshamwachia mbali. Dada wa watu anazidi kukonda tu kwa...
Back
Top Bottom