KWA WANAUME PEKEE: Mahitaji ya mwanamke ni nini?

Mjamaa1

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,619
4,331
JE WANAWAKE WANATAKA PESA?
Nawasalimu nyote, bila shaka mu wazima ndugu zangu. Tusichoshane naenda Moja kwa moja kwenye mada.

Je, ni kweli wanawake wanahitaji pesa? Kila mmoja anaweza kuwa na majibu yake kichwani kwake, lakini mimi nitajibu kupitia wanachokisema wanasaikolojia katika vitabu vyao.

Moja kati ya mahitaji ya mwanamke ni pamoja na kuwa huru kiuchumi na hasa katika mahitaji yake muhimu (to feel materially provided for).

Dhana hii inaweza kukufanya uhisi kuwa wanawake wote ni gold diggers, lakini kama mwanamke atatumia Pesa yako kuwalea wanao na kuhudumia familia kwa ujumla basi anafanya vema na hatuwezi kumuita gold digger, ila kama atatumia pesa yako kwa ajili ya mambo yake binafsi basi huyo ni gold digger.

Kwa hiyo sio wanawake wote ni gold diggers japo wote wanahitaji pesa yako.

So my advice for You guys ni tutafute njia ya kutafuta pesa ndugu zangu, nasema find a way to earn much more than your family needs but stay in charge of your finances.

Don't let your woman control your money, that's just asking for trouble.

Regards.
 
Mjamaa1

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,619
4,331
Unaweza kunionesha mtu ambaye hatafuti pesa?

Hata wagonjwa hospitalini wana tafuta pesa ya matibabu.

Hii lugha ya kijinga tutafute pesa hauna mashiko, na isitoshe kila ana pesa tunazidiana viwango tu.
Dah 😀😀
 
Cowman

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
1,684
3,033
Kabla hujaita takakata, umefikiria una ndugu wa kike labda your sisters, aunts na huenda watoto wako wa kike, is it fair kuwaita hivo pia? Dont generalize kisa labda umekutana na mmoja asiyefaa basi ukahisi wote ni hivo.
Anaongea kama hajazaliwa na mwanamke
20221118_232446.jpg
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
58,294
139,252
JE WANAWAKE WANATAKA PESA?
Nawasalimu nyote, bila shaka mu wazima ndugu zangu. Tusichoshane naenda Moja kwa moja kwenye mada.

Je, ni kweli wanawake wanahitaji pesa? Kila mmoja anaweza kuwa na majibu yake kichwani kwake, lakini mimi nitajibu kupitia wanachokisema wanasaikolojia katika vitabu vyao.

Moja kati ya mahitaji ya mwanamke ni pamoja na kuwa huru kiuchumi na hasa katika mahitaji yake muhimu (to feel materially provided for).

Dhana hii inaweza kukufanya uhisi kuwa wanawake wote ni gold diggers, lakini kama mwanamke atatumia Pesa yako kuwalea wanao na kuhudumia familia kwa ujumla basi anafanya vema na hatuwezi kumuita gold digger, ila kama atatumia pesa yako kwa ajili ya mambo yake binafsi basi huyo ni gold digger.

Kwa hiyo sio wanawake wote ni gold diggers japo wote wanahitaji pesa yako.

So my advice for You guys ni tutafute njia ya kutafuta pesa ndugu zangu, nasema find a way to earn much more than your family needs but stay in charge of your finances.

Don't let your woman control your money, that's just asking for trouble.

Regards.
We ndo hujielewi sababu mtu akishakuwa mke maana yake anakuwa entitled kuwa sehemu ya mume. Kwa hali na mali so mke huwezi kumuita gold digger in anyhow. Labda awe bad spender.

Golddigger ni mwanamke ambaye hajaolewa ila anataka treatment ya mke wa ndoa na mostly qnawazia hela tu ya mwanaume ili kutimiza fantasy zake. Goldigger haongezi thamani yeyote kwa mwanaume ila ni parasite
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Top Bottom