mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Wana MMU, heshima kwenu. Nahitaji mwanamke wa kufunga nae pingu za maisha (Ndoa) mwenye kujiheshimu na kumcha Mungu. Awe na umri usiopungua miaka 40 mwenye kazi halali inayomuingizia kipato, kabila lolote na awe mkristo. Itapendeza asiwe na mtoto zaidi ya mmoja. Awe tayari kupima afya. Umri...
  2. JamiiForums Tanzania Ukizingatia haya hautapata shida kuongea na mwanamke

    Usipate shida kuhusu uongee nini na mwanamke, sababu wanawake wanajali unavowafanya wajisikie ukiwa nao zaidi ya maneno unayoongea. Kadri unavyojiamini ndivyo mwanamke anakuamini pia. Hivyo cha muhimu kufanyia kazi ni kuboresha hali yako ya ujasiri wa kiume na kuzingatia haya wakati unaongea na...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke anakutreat vibaya, ujue wewe ndo umeruhusu akutendee hayo.. Hata ivo usiogope kumuacha mara moja ..... Huo ndio ukweli

    If a woman mistreats her man, it is only because he lets her....YES ITS BECAUSE OF YOU MAN !!. Mnatia Hasira sana nyie wasenge, haiwezekani, haiwezekan ... Na ndio Sababu mmekuja na makampeni yenu uchwara ya "Kataa Ndoa, Ndoa ni Utapeli". Wanaume mmekua wa hovyo sana, mmetanguliza upole...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaanza kutema mate baada ya mimba kuingia?

    Kuna mwanamke hapa naona kama ameanza kutematema mate na nimekutana nae wiki hiihii na ofkoz ndio alikuwa kwenye tarehe za kutiwa mimba sasa hapa nisaidieni kinadada.
  5. JamiiForums Tanzania Ukitaka mwanamke akuheshimu, usitoe siri za mapungufu yake, usimkebehi wala kumnyanyasa, Bali uwe chombo cha kumtia moyo na kumfariji

    Nakumbuka nilisha wahi kupata demu mzuri kwelikweli, siku hiyo anakuja ghetto kavaa raba zake za Andy1 kali sana, Unyakyusa mwingi, basi mambo yameenda vizuri sana kasheshe likaja alipozivua. Gentleman mimi nilikuwa na Mycota powder nikanyunyiza, kisha nikaenda kuzianika juani. Demu aliona...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili

    Nikosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili, soma 1timotheo2:12 (Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume). Je, waislamu maandiko yenu yanasemaje kuhusu hili? Wanawake wa sasa hawalitii hili agizo la Mungu wanalazimisha wawe sawa na wanaume na ni kitu...
  7. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Scotland, Nicola Sturgeon atangaza kujiuzulu

    Baada ya New Zealand sasa pia Mkuu wa Serikali ya Scotland amejiuzulu baada ya kushindwa, Nicola Sturgeon ameenda! WAZIRI MKUU WA SCOTLAND ATANGAZA KUJIUZULU Nicola Sturgeon ambaye ni kiongozi wa Chama cha #SNP amesema anaamini akili na moyo wake vimeona ni muda sahihi wa kupumzika baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Njia ya kuongea na mwanamke ipasavyo ili afunguke kukwambia kila kitu

    Ili mwanamke afunguke kwako lazima ajisikie amani na usalama kwako. Wanaume wengi huwa wanawapotezea wanawake zao kwenye kuongea, ndio mana wanawake wao pia huwapotezea kitandani. Sababu mwanamke anaona haujali hisia zake. Njia hii ya kumfanya mwanamke aongee unaweza kuitumia kwa mama yako...
  9. JamiiForums Tanzania Uzeeni mwanaume ana uhitaji wa ndoa zaidi kuliko mwanamke. Chukua hatua

    Wanaume tunapozeeka tunarudi kuwa watoto, Wanaume husema "men age like a wine" wakiamini kua kadri wanavyokua ndivyo wanakuwa na mvuto zaidi kwa kuwa wanajijenga kiuchumi, ila ukweli ni kuwa kadri mwanaume anavyokua ndio anakuwa na uhitaji wa ndoa zaidi( kuwa na mwanamke atakayemjali.) Huwa...
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpa mwanamke zawadi siku ya Valentine kwa kujua hatua mliyopo

    Zawadi yako lazima iwe na uzito na itoke kwa moyo mmoja. Wanaume wengi hutoa zawadi kwa wanawake ili kuomba msamaha au ili apendwe au ili amshawishi mwanamke awe naye kimapenzi, hii hupunguza nguvu ya zawadi. Mwanamke atapokea zawadi yako na kukushukuru. Ili zawadi yako iwe na uzito kwanza...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa VS Usioe grand finale!

    TEAM NDOA VS TEAM USIOE Mjadala huu mkali umeshika kasi huku kila upande ukitoa sababu zake! Kabla hujaamua uunge mkono upande upi ni vyema ukajitafakari na kuona Kama uamuzi wako binafsi una mantiki na manufaa kwako. NDOA NI KWA AJILI YA NANI?  Ukipata majibu ya swali hili utaelewa maana...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mganga anaweza kufanya mwanamke asiekupenda akakupenda?!

    Kwema wakulungwa. Hii imenitokea juzi kuna demu ananisumbua sana apa mtaani nishamtongoza sana ila kunpa mchezo anazngua sasa nkawa nmemsimulia jamaa ang mmoja akanishauri nmchek mtaalamu mmoja yupo uko mkoan baada ya kuongea na uyo mtaalam kasema nmtumie majina ya uyo dem na hela ya kaz sh...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kweli mwanamke anahudumiwa kila kitu?

    Hope mmeamka salama Nilikuwa na mjadala jana kuhusiana na matunzo ya mwanamke. Anasema hela ya mwanamke ni yake na ishu zake, pamoja na kuhudumia ndugu zake. Kipato cha mwanaume ni kwa mahitaji YOTE ya familia ikiwa ni pamoja na kumhudumia saluni, mavazi, afya, burudani, n.k. Kifupi haelewi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa sasa mwanaume usikubali kujirahisisha kwa mwanamke, be expensive

    Wanaume tumejaliwa vitu vingi unique kwa upande wetu ila hatuvioni. Sisi pia ni Cake. Wanaume wengi tunateseka sababu ya kujirahisisha kwa wanawake na kuwaona wao ni Cake kumbe ni ushenzi wa nyegez tu. Kichwa cha juu kiwe chepesi kufikiri zaidi kuliko kulaza akili na starehe kwenye kichwa cha...
  15. JamiiForums Tanzania Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

    Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa! Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

    Enyi Vijana wa kiume, ninachokiandika hapa, pengine mnaweza kukitafasiri mjuavyo, pengine mkasema hayana fomula!!. Kwa juu juu hata wanawake wenyewe hapa wanaweza kusema "Mwandishi sio Mwanaume Bora". Nawahakikishieni, hayo ni Maneno yao tuu lkn Moyoni ndivo wanataka waendeshwe. 👉Ni kosa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu lakini asili yao haitaki wafanane katika baadhi ya haki, majukumu, wajibu na adhabu

    Assalaam Alleykum. hakuna ubishi wowote kuwa mwanaume na mwanamke ni sawa kama binadamu na haki zao za kifamilia zinapaswa kuwa sawa kithamani. Kwa sababu wao wote ni binadamu na hivyo wana haki sawa. Nukta inayopaswa kuangaliwa hapa ni kuwa mwanaume na mwanamke, kwa sababu ya tofauti zao za...
  18. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke

    Mwana saikolojia wa kimarekani, Profesa Reek amechapisha matokeo ya utafiti wake juu ya mwanaume na mwanamke katika kitabu kikubwa. Anasema: Ulimwengu wa mwanaume ni tofauti kabisa na ule wa mwanamke. Ikiwa mwanamke hawezi kufikiri au kufanya mambo kama mwanaume, ni kwa sababu wanaishi katika...
  19. JamiiForums Tanzania Hakika hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke, maneno ya Dr. Mwaka yaingizwe kwenye katiba mpya

    Wahenga wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hapo juu ni video yenye maneno kuntu kutoka kwa huyu Dr wa mchongo. Maneno haya ni ya hekima kubwa na yanapaswa yakae vifuani kwetu sisi wanaume, yaingizwe kwenye katiba mpya Hatuwezi kubadili Biblia au Misahafu ila hili ndilo neno la uokovu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke anaonekana zaidi kuliko mwanaume?

    Malaya, ni mwanamke, anafanya na nani huo umalaya? Mwanaume, sasa kwanini hatajwi? Usiache mwanamke mchawi aishi. Heeee, yaani wachawi ni wanawake tu, wachawi wananaume kwanini wanapewa haki ya kuishi? Bongo ukitaja ujambazi mkubwa kabisa, utaambiwa ni ule wa Sarah Simbaulanga. Mabenki na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…