Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,262
Hope mmeamka salama
Nilikuwa na mjadala jana kuhusiana na matunzo ya mwanamke. Anasema hela ya mwanamke ni yake na ishu zake, pamoja na kuhudumia ndugu zake. Kipato cha mwanaume ni kwa mahitaji YOTE ya familia ikiwa ni pamoja na kumhudumia saluni, mavazi, afya, burudani, n.k.
Kifupi haelewi vingine. Nimemweleza kuwa maisha ya leo sio ya zamani ila bado mzito sana. Ni mwanamke wa makamo ila bado kuingia maisha ya ndoa.
Tujadili hili kwa faida ya wote