mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Unapomkosea mwanamke, Usimwambie Unampenda, badala yake muombe Msamaha!

    Ikiwa Leo ni siku ya wanawake duniani ningependa nichangie mawili matatu. Wanawake kama walivyo wanaume nao huwa Wana hisia za furaha na huzuni pia, kutofautiana katika ndoa ni Jambo la kawaida Sana kwasababu binadamu hatuja kamilika hivyo huwa tuna fanya makosa ima Kwa kujua au kutokujua au...
  2. JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake: Tusiende mbali, Rais Samia amefunika!

    Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia. Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa, lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu. Toka tarehe 17 March 2021 hadi leo upepo wa nchi umebadilika kabisa: Hali ya kuogopa maisha yako kupotea kwa kusema lolote...
  3. JamiiForums Tanzania Muda mwingine Mwanamke hudanganya/ hukasirika ili kumjaribu Mwanaume, sio kwamba hapendi

    Ni muhimu kwa mwanamke kumjaribu mwanaume. Ni njia yao ya kujilinda na kujua ujasiri wa mwanaume. Mwanamke hupima ujasiri wa mwanaume mara kwa mara. Haijalishi we ni rafiki yake, mpenzi wake, baba yake au jirani tu. Sababu ndivyo alivyoumbwa. Anahitaji kujua haraka nani atafaa kuwa kiongozi...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke bora kuliko wote duniani ni Bikira Maria, ukitaka ndiyo hivyo, usipotaka ndiyo hivyo

    Lk 1:46-50 SUV Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu; Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa; Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu. Na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kumdhibiti mwanaume asiyeeleweka

    Salaam. Kuna wakati mwanamke unaona mwanaume wako unayempenda na kumuheshimu hakupendi wala kukuthamini kama ilivyokuwa mwanzo/kabadilika. Na hali hii inawaletea stress wanawake wengi. Wapo wanawake wakiona tu kidume hakieleweki anasepa zake, which is good for peace of mind ila kama wewe ni...
  6. JamiiForums Tanzania Fanya Hivi Kama Umejitahidi Kumvutia Mwanamke Wako Lakini Bado Haoneshi Kujali

    Inawezekana mmekua pamoja kwa miaka sasa. Au pengine ndo mna miezi kadhaa kwenye mapenzi. Lakini hivi karibuni anaonesha hana hamu na wewe kivile. Mapenzi yamepungua. Shauku yake ya kuwa na wewe unaona imepungua. Kadri unavyoona hisia zake zinapungua, wewe ndo unazidi kuongeza nguvu ili awe nawe...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Witness: Nilimsubiri mume wangu amalize kifungo cha miaka 30

    Wakati tunaelekea Siku ya Wanawake Duniani, Witness Mbangala (45) ni miongoni mwa wanawake waliopitia changamoto katika familia, lakini bado wakasimama imara kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa. “Safari ya maisha yangu imepitia changamoto nyingi, baadhi ya watu walinishauri niolewe na...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye pesa si wa peke yako wewe mwanamke

    Amani iwe kwenu! Rejea kichwa cha uzi hapo juu. Mwanaume mwenye pesa si wa mwanamke mmoja, si unajua pesa si nywele kila mtu anazo. Usikae hata siku moja ukaamini mwanaume mwenye pesa eti ana true love... Na siku zote ukiona mwanaume mwenye pesa hana mbamba nyingi yaani hana michepuko na wala...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu nifundisheni jinsi ya kumpa mwanamke mimba

    Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida. Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu. Kama...
  10. JamiiForums Tanzania Namna mwanamke anavyonunuliwa kupitia 'mahari'

    Karibu katika somo hili la leo linalohusu biashara maarufu ya kununua wanawake "mahari". Mchanganuo au namna inavyo fanya kazi; Bidhaa Mwanamke [ Nyanya ] Wauzaji Wazazi upande wa mwanamke Wanunuzi Wazazi upande wa mwanamme. Dalali Mshenga Mazungumzo ya biashara: Mzazi upande wa mwanamke...
  11. JamiiForums Tanzania Njia 3 Rahisi Za Kukusaidia Kuhakikisha Unadumisha Upendo Wa Mwanamke Wako

    Ukiwa na mwanamke mwenye furaha ni raha sana ndani. Vitu vinakua rahisi, pia utaweka nguvu zako kwenye kazi/ biashara kwa amani. Raha ya upendo wa dhati. Wote mnakua mpo kwa ajili ya kuhakikisha mwenzio ana furaha. Wengi hudhani mwanamke anakua tu ivo bila kushughulika. Lakini ukweli ni kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?

    Wanabodi, Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo. Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke ndio kiumbe kinachoongoza kwa kusakamwa humu jamvini, tatizo ni nini?

    Mapunga wa kataa ndoa vita yao ni dhidi ya wanawake. Wazee wa chaputa nao hawataki kusikia kitu kinaitwa mwanake. Walio kwenye ndoa malalamiko lukukuki dhidi ya mwanamke, tatizo ni nini? Wanawake mbona kila siku ni nyie tu?
  14. JamiiForums Tanzania Kuelekea siku ya Mwanamke Duniani, ewe mwanamke unataka kumwambia nini mwanaume leo?

    Mimi binafsi nawaambia wanaume punguzeni dharau kwa wanawake, kuweni wanaume kamili, dharau hazijengi wala kukuletea sifa njema. Poleni na majukumu wanaume, Mungu awabariki mkinielewa au msiponielewa. NB: Wanaume hawatakiwi kuwa na maneno mengi, uanaume ni kazikazi. Tubarikiwe wanawake wote...
  15. JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mwanamke wako Kukudharau/ Kukushushia Heshima

    Una mwanamke sasa ni miezi kadhaa. Pengine una miaka kadhaa pamoja naye. Lakini kuna vitu anavifanya huelewi hujui ufanye nini. Hujui kama uko peke yako au la. Muda mwingi anakua na jeuri, anakudharau na kukupandishia sauti hadi unatamani umpige. Unajihisi huna uhuru tena ukiwa naye. Hutaki ata...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke mnyenyekevu ndiye chaguo bora kwa mwanaume yoyote

    Wanawake tuna nguvu kubwa ambayo hatuithamini na tunaipuuza na kuidharau ndio maana sisi tunaongoza kushinda kwa waganga na kwenye makanisa ya kinabii. Nguvu hiyo kubwa tuliyonayo ni unyenyekevu. Tukiweza kuwa wanyenyekevu kwa wanaume wetu, na kuwaombea, migogoro inapungua na kutoweka kabisa...
  17. JamiiForums Tanzania Sheria ya malezi iseme; kama Mwanamke hawezi Kulea mtoto ampeleke Kwa Baba yake. Hiyo ndio Mantiki na si vinginevyo

    SHERIA YA MALEZI ISEME; KAMA MWANAMKE HAWEZI KULEA MTOTO AMPELEKE KWA BABA YAKE, HIYO NDIO MANTIKI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unajua kuna Wakati mpaka unashangaa wanaotunga hizi sheria uwezo wao wa kufikiri ukoje nazungumzia hizi sheria za mahusiano hasa ya Mume na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwenye mfumo dume hakuna kitu kinaitwa Ushoga

    KWENYE MFUMO DUME HAKUNA KITU INAITWA USHOGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Nimeona andiko la Kaka Mshana Jr akionesha masikitiko yake kuhusu janga la ushoga ambalo kwa kiasi linaongezeka hapa nchini. Nikaona nami niseme KITU. Familia, koo, makabila na mataifa yanayoendekeza mfumo dume...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: usione wembamba wa reli, gari moshi hupita! Mwanamke hata awe mfupi kapewa uwezo mkubwa wa kuyamudu.

    Atakumudu vema tu,
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe, bali mwenye hekima huijenga nyumba

    MWANAMKE MWENYE MAKELELE Tarehe 9/10/2021 nipo stendi ya mabasi Iringa, nimekaa karibu na wakatisha tiketi za mabasi waliokuwa wakifanya mazungumzo yao, na katika mazungumzo yale ninawasikia wakijibiza. "USIRINGE WEWE SI USHUKURU NDOA YAKO HAINA MAKELELE, MI MWENYEWE HAPA NI MNENE, BASI TUU KWA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…