mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke asiye na muda na wanaume ni mraibu wa kujichua?

    Hii imekaa vipi? Hasa kwa mwanamke asiye bikra, ambaye hana muda na wanaume, tena ambaye hajishughulishi kana kwamba kuna jambo linamkeep busy, hapana. Anayeendekeza chuki dhidi ya wanaume. Kuna ukweli ndani yake kuwa wanawake wa namna hii ni waraibu wakubwa wa punyeto?
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke huhisi utamu wa ngono muda wote wa tendo?

    Hivi kuna ukweli wowote kuwa utamu wa tendo kwa mwanamke anaupata wakati wote wa tendo tofauti na mwanaume ambaye hupata uhondo huo wakati anapokojoa?
  3. JamiiForums Tanzania Tambua sifa za mwanaume asiye na mvuto wa kimapenzi kwa mwanamke

    Wanaume wenye tabia/ aina hii hupata shida kwenye mapenzi. Wanaishia kuona wanawake ni wagumu/ hawaeleweki. Wanatumia muda mwingi kutaka kumridhisha mwanamke. Au atatumia mali kuficha udhaifu wake. Wanaamini akipata kitu fulani basi hatopata shida tena na wanawake. Anaweza pata mahusiano lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke hupata hisia ya ngono anapomuona mwanaume akiwa mtupu?

    Hivi kibailojia suala hili limekaa vipi? Ni kweli kuwa damu za wanawake huchemka wanapokutana na tupu za wanaume hasa za kushtukiza?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Usimchukie mwanamke anayekukataa

    Kuna wanawake wanakataa kwasabb mbingu zinafahamu umri wa huyo ni mfupi. Hivyo zinampa muongozo akukatae. Ungemuoa soon ungebaki mgane. Kuna mwanamke anakukataa kwasabb mbingu zinajua wewe ni mwema, mnyenyekevu na mwaminifu wakati huyo mke ni kicheche, purukushani nguo kuchanika. Ukimuoa...
  6. JamiiForums Tanzania Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

    Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue. Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la tumbo kuuma kwa kubana na kuachia kwa mwanamke

    Habari waungwana na poleni kwa majukumu, Nina mwanamke wangu ambaye alimaliza kujifungua na huu ni mwezi wa tano kwenda wa sita anatatizo la kuumwa tumbo kwa kubanwa chini ya kifua na vile vile hapati hamu ya kula. Ni kama misuli ya tumbo inauma na kuachia. Ninaombeni ufumbuzi kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Makosa yanayofanywa na wanaume wengi kwenye kumvutia mwanamke

    Kuamini kuwa na mwanamke anavutiwa sana na mwonekano tu Kwa sisi wanaume tunavutiwa na mvuto zaidi, lakini mwanamke anavutiwa nawe kutokana na vile anavyojisikia akiwa nawe. Akijisikia amani, usalama kujiachia kwako basi unampata/ kumtunza kirahisi. Lakini usipomfanya mwanamke ajisikie usalama...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume usisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke

    Habari za siku nyingi wadau! Leo nataka kuwakumbusha wanaume msisikilize ushauri wa mapenzi kutoka kwa mwanamke. Hii ni kwa sababu mwanamke atakushauri kitu ambacho anakipenda yeye lakini kitu hicho hicho ukimfanyia yeye, atapoteza hisia na wewe. Mfano mwanamke anaweza akakushauri kwamba "ili...
  10. JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke unaetaka mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku

    Nasema hivi wewe mwanamke unaetaka kuwa na mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku huyo ndie atakaekusikiliza na kubembeleza. Mimi mwanaume mwenye future sina muda huo 😁😁 ninatafutwa na wengi. Mimi mwanaume mwenye assets na mwenye muonekano mzuri ninapendwa na wengi ukitaka niwe wa peke...
  11. JamiiForums Tanzania Fanya hivi kama Mwanamke alikuacha, sasa anarudi lakini Humwelewi-elewi

    Inawezekana ulikua naye muda mrefu lakini akakuacha. Inawezekana hamkuachana rasmi lakini alikupotezea tu lakini saivi anarudi. Inawezekana mlikua mnapendana lakini ukajikuta umebweteka, au umekua bize sana mpaka mwanamke akakuacha. Alikuacha sababu mvuto wako kwake ulipungua kiasi kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe dhaifu

    Habari za wakati huu wakuu, naomba nitoe kidogo duku duku langu na kujifunza juu ya mapenzi na udhaifu wa mwanamke uko wapi, Duku duku langu linaanzia pale tu unapotaka kutongoza au kumuoa mwanamke, walio wengi tunawakosea sana hawa wenzetu wa kike kwa sababu zifuatazo, Mwanamke ni mtoto...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke Utajiri wa Mume wako Usikufanye uache kazi Maisha Yanabadilika

    Hope ni wazima Wana Jf Nina sister yangu upande wa baba mwingine (baba mkubwa)kanipita kidogo umri ni mkubwa kwangu baada ya kumaliza degree ya uhasibu miaka Ile alipata kazi benki ya N.... mkoa x wakati sister yupo chuo alikuwa na mtu wake ambaye amemuoa. Kabla ndoa walikuwa wanaoishi wote...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni nani?

    ukipata pesa atahitaji kujua kuwa umezitoa wapi, ukijaribu kumweleza wapi umezitoa atauliza ilikuwaje... ukijieleza sana atahitaji kujua mbona hukupata nyingi zaidi ya hizi 😂 Haya upande wa pili ukikosa sasa hapo ndio patamu ataanza kwanini umekosa, ukijieleza sanaaa anakutolea mfano mbona...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake?

    Naombeni majibu wakubwa. Kama hauna majibu ni bora ukakaa pembeni. Sitarajii kebehi
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke huficha wapi pesa yake?

    Mshahara wangu wa mwezi March umechelewa kutoka Mpaka tarehe hii. Nilihitaji kiasi cha Tsh 1.4m kwa ajili ya kufanyia jambo fulani Najua mke wangu hawezi kosa hiyo pesa. Najua anatunzia chumbani ila tu sijui ni location ipi. Nimetafuta hadi nimechoka. Nikisema nimuazime, hawezi nipatia. Si...
  17. JamiiForums Tanzania Jikumbushe Haya 9 Wakati Unaishi Na Mwanamke, Ili Uishi Kwa Amani.

    Kuishi na mwanamke inapaswa iwe raha. Ukiona huna raha kuishi naye, tambua kuna sehemu umeyumba. Kosa kubwa wengi hufanya ni kuishi na mwanamke anayemtesa sababu anaogopa kumuacha. Anaogopa kuanza upya kutafuta mwanamke mwingine. Anaona aishi na huyo hivyo hivyo tu, maisha yasonge. Lakini tambua...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke Mnyenyekevu Vs Mwanamke Mtumwa

    MWANAMKE MNYENYEKEVU Vs MWANAMKE MTUMWA Anaandika, Robert Heriel Mume. Wanaume wote Duniani wanapenda Mwanamke mnyenyekevu, lakini wapo wanaochanganya unyenyekevu na Utumwa. Kwa kweli wengi wanaposema Unyenyekevu humaanisha Utumwa. Wanahitaji Mwanamke mtumwa. Mwanamke mnyenyekevu ni Nani...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari, Natafuta mwanamke wa kuoa, mwenye umr 32-39, mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, mcheshi, mwenye hekima na busara. Sifa zangu Umri-37 Dini -Mkristu Kaz-mfanyabiashara wa mazao Kimo-mrefu wastani. Karibu pm tuyajenge
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Matiti ya mwanamke hudondoka yanapoguswa guswa na viganja vya wanaume

    Kuna mwanamama aliwahi nipa ushuhuda kuwa matiti yake yalianza kuanguka akiwa na miaka 23 kutokana na mitomaso aliyokuwa anafanyiwa na mpenzi wake wa kwanza. Aliendelea kwa kusema kuwa, kabla ya kuanza michezo na wanaume alikuwa na chuchu dodo zilizosimama na kuchoma. Hivi ni kweli kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…