mwanamke

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini katika wanasayansi wakubwa hakuna mwanamke hata mmoja?

    Kwanini katika wanasayansi wakubwa hakuna mwanamke hata mmoja? Fuatilia mnipe majibu !! Mie sijaelewa?
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya mwanaume na mwanamke, nani ana uzao (kizazi)?

    Hapo vipi, Kwanza kwa tafsiri ya Kizazi au uzao ni ile hali au hasili ya muendelezo wa watu wenye asili ya damu, sura, umbile, rangi na tabia ya watu wenye asili inayofanana kutoka nyakati na nyakati (enzi na enzi). Sasa kwa tafsiri rahisi niliyotoa hapo juu. Je, kati ya mwanaume na mwanamke...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke mwenye VVU

    Habari zenu wakuu? Natafuta mwanamke anayeishi na VVU. Umri l kuanzia miaka 34 mpaka 45. Kwa aliye serious anipm. Au Kwa E-mail kakumbise5@gmail.com
  4. JamiiForums Tanzania DC aingilia kati mgogoro wa Wananchi na Luhaga Mpina mkoani Morogoro

    MKUU wa Wilaya ya Morogoro,Rebeca Nsemwa,amejikuta akipokelewa na Mabango pamoja na vilio kutoka kwa wananchi wa Vijiji vya Dalla tarafa ya Bwakira na Mbwade tarafa ya Mvuha katika Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wakishinikiza kurudishiwa ardhi yao ekari zaidi ya 1000 zinazodaiwa kuchukuliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kama unaogopa kumfata mwanamke kuongea naye, basi jiwekee haya ma 5 akilini ili kuondoa woga

    Hili swali naulizwa sana, “nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa. Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa. Wengine wakaniambia …haina haja ya kumfata mwanamke usiye mjua kuongea naye. Utakutana na wengine mahali unapokua mara kwa mara. Alafu...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Mapendekezo ya sheria mpya ya ndoa: Atakayempa mimba mwanamke ahesabiwe kama mume halali wa ndoa

    Habari! Kuna vitu lazima kupitisha msumeno katikati , maumivu yatokee ndipo yaje matokeo change. Ili kuondoa tatizo la watoto wanaokosa malezi ya wazazi wetu ni wakati sasa kuweka msumari (sheria) katika hili. Kama serikali iliweza kuhesabu watu wawili kuwa ni wanandoa ikiwa tu wameishi...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye watoto wengi zaidi kwa sasa duniani,ana watoto 44.

    ‪#UNAAMBIWA. Mariam Nabatanzi (41) raia Kutoka Nchini Uganda 🇺🇬 ambae anatajwa kuwa ndio Mwanamke mwenye Watoto wengi zaidi kwa sasa Duniani, Mariam mpaka sasa ameshazaa Watoto 44 na Mwanaume mmoja huku akiwa na seti 4 ya mapacha Watatu 3, seti 3 ya mapacha Wanne 4, na seti 6 ya mapacha Wawili...
  8. JamiiForums Tanzania Shonza: Kwa Mara ya Kwanza Tutampitisha Rais Mwanamke kwa Kishindo Mwaka 2025

    MHE. JULIANA SHONZA - "KWA MARA YA KWANZA TUTAMPITISHA RAIS MWANAMKE KWA KISHINDO MWAKA 2025" "Tutampitisha Rais Mwanamke Madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2025 kwa kumpigia kura za kutosha, kura za heshima. Hatutamchagua kwa sababu ni Mwanamke, hatutamchagua kwa sababu ni takwa la Serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Sipendezwi na jamii inavyomchukulia Mwanamke

    Hellow Africa Huwa sijawai pendwa ata kidogo jamii inavyomchukulia mwanamke ni kama kiumbe anachostahili fedhea aibu uonevu kitu ambacho si sawa. Mwanaume anamchukua video mwanamke kisha anaenda kuitupia mtandaoni mwanaume huyo anasifiwa na jamii jamaa alikuwa moto jamaa ana kazi nzuri huku...
  10. JamiiForums Tanzania Kuwa na mpenzi mabinti hawa wazaliwa wa 1998-2003 jitoe ufahamu usiwe na hasira

    Hello JF, Niwakumbushe tu kama mabaharia wenzangu kama unatoka kimapenzi na binti alozaliwa 1998-2003 hasira zako mkopeshe mchungaji, shehe, na kituo cha police. Jitoe ufahamu endekeza raha, kucheka na kupotezea. Na wengi hawajui hata kama mwamposa ni nani. Ubaharia ni ujasili Wadiz...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbuka hili kuhusu mwanamke uliyenaye akipoteza hisia na wewe

    Utaona mwanamke haeleweki endapo hakupendi tena. Kumbuka tena, ukiona mwanamke haeleweki kwako ujue anapoteza hisia na wewe. Leo atakuonesha furaha kesho atakununia/ anakua kama hajawahi kukujua. Atakuambia hili saivi alafu baadae atabadilisha. Atakuwekea ugumu kukutana naye. Au kulala naye...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

    Mwanamke anayeomba pesa kwa jamaa ake ni kosa kubwa. STORI YA KWELI. Ilikuwa hivi huyu Binti nilikutana name kwenye daladala. Tukiwa wote safari ya makumbusho, saa 2 usiku yeye anaelekea kwao huko. Kwangu more nilikiwa naingia kiwanja. Mdada akaniomba tuonhee kama ninamuda. Nikasema sawa...
  13. JamiiForums Tanzania Tabia Zinazomfanya Mwanamke Awe Na Hisia Nawe Zaidi, Akupende Na Mdumu

    Jana tuliona tabia zinazomfanya asiwe na hisia nawe. Leo tuangalie tabia zenye matokeo mazuri. Ukifanya haya ni rahisi kudumisha upendo katika mahusiano. Kuna maana nyingi za upendo kwenye mahusiano. Lakini maana kubwa ni pale mnapofurahi pamoja (mkiwa pamoja sio kwenye simu) na mkafanya...
  14. JamiiForums Tanzania Furaha ya mama ipo zaidi kwa mtoto wake hasa wa kwanza, Balaa ni pale unapooa single mom, mwenzake aliempa heshima ya kuwa mama ni mwiba usiokwepeka.

    Usije kujidanganya hata siku moja kwamba mwanamke atakupenda kuzidi watoto au mtoto wake, tena yule wa kwanza huwa ana nafasi yake maalum huwezi mwambia mwanamke chochote kuhusu mtoto wa kwanza aliejifungua, huyu ndie anampa heshima kwa mara ya kwanza kuitwa mama. Na ndio hapa tunapotoaga onyo...
  15. JamiiForums Tanzania Tabia Hizi Zinamfanya Mwanamke Asiwe Na Hisia Na Wewe, Na Akukatae

    Tabia hizi hazina matokeo mazuri, yale unayotarajia upate. Utahisi ukifanya hivyo itakusaidia kumpata mwanamke. Lakini zina matokeo ya tofauti. Zinamfanya asikupende zaidi. Kwa upande wako utaona kuwa mwanamke hana mpango nawe. Au kila ukianzisha mazungumzo ya mapenzi ye anakwepa. Au utaona...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Unbreak my heart. Huyu mwanamke ni hatari

    Don't leave me in all this pain Don't leave me out in the rain Come back and bring back my smile Come and take these tears away I need your arms to hold me now The nights are so unkind Bring back those nights when I held you beside me. TONI BRAXTON UNBREAK MY HEART
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke akileta ujuaji kitandani anatia mashaka sana

    Hasa akiwa mtu unamalengo nae, yaani inatoa imani sana. Unawaza kua huenda ni amekubuhu na anauzoefu sana, huenda ndio hufanya na wengine hivyo, taflani. Ni vema mwanamke akatulia tu asubiri maelekezo, mambo ya kuruka ruka na kujifanya gwiji hayafai
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ogopa mwanamke anayedai pesa ya matunzo

    Wadau hasahasa wanaume, kuna utamaduni ambao kimsingi binafsi naona umechangia kwa kiasi kikubwa sana matatizo ya mahusiano. Kuna kitu wanawake wanaita 'pesa ya matunzo' au 'huduma' na majina mengine mengi. Wanaume wengi wameingia kwenye huu mtego hasa wakiwa na kahela hata kadogo anaona ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ukimtongoza mwanamke na akakuambia muwe marafiki kwanza ujue hapo amekukataa tayari jiongeze achana naye

    Katika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke wa kufa na mwanaume mmoja wala mwanaume wa kufa na mwanamke mmoja

    aAshampoo jana nilienda kusuluhisha ndoa fulani huko sasa wakaniuliza ashampoo kama mjomba una ushauri gani nikajibu hakuna wakufa wa ndizi moja wala wa kufa na kitasa kimoja mvumiliane tu mrudiane. Sijui walinielewa hakunielewa nikakaa kimya Nisipotezee muda sana nataka niwahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…