mwanamke

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ni muda upi mwanamke aliyepo kwenye ndoa si vyema kuranda mtaani?

    Wakuu kama mtu ni mke wa mtu kulingana na utamaduni wa kawaida ni wakati Gani usiku SI vyema kwake kuranda rande mtaani?
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike anayejielewa

    Salamu Kwa wote, Mimi ni kijana umri 30. Nafanya kazi migodini, nina mwili wa kawaida. Nahitaji mwanamke umri usizidi miaka 29. Dini awe Cristian. Kabila lolote aliye tayari karibu pm.
  3. JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke kwanini umpumbaze mumeo? Una faidika nini!?

    Unapomnyang'anya mumeo Sauti, Mamlaka, Hadhi ya ubaba inakusaidia nini!? Na kwanini unafanya hivyo.!? Mbona kijana wa watu hana hatia kabisa. Uhuru unaoutaka wa kujiachia, kuwa na Wanaume wengine,kuushika mshahara wake, kumzalia watoto wasio wake n.k. inakusaida nini!? Kwanini usiachane nae...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi

    Mmesikia nyie wanaume Ukimuangalia mwanamke Kwa kumtamani ushazini nae moyoni Tunaomba mpunguze idadi ya waenda Motoni ACHENI ngono na tamaa za mwili Ndio maana nguvu za kiume zinapungua sana Tunaomba wadada muache kuvaa uchi ili wanaume wabaki kuwa marijali
  5. JamiiForums Tanzania Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

    Wakubwa zangu poleni na uchovu. Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali. Naishi maisha Magumu mno. hii ni Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki. Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

    Habari wajameni, Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada. Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana. Tatizo lake limetokea hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Hamna mwanamke mwenye msimamo pesa ikihusika

    Nilikutana na manzi mmoja nikawa nae kimahusiano, kabla hajanijua sana nafanya mishe gani na kiuchumi nikoje alikuwa na masharti sana, kwanza nilikuwa nikitaka utamu mara kwa mara akadai ye hajazoea na hawezi so nikawa naambulia mara 1 kwa mwezi 😭😭, ikaenda mambo yakawa kibao, ikawa nakula tunda...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

    Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi. Tatizo huwa ni nini?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mungu amemuumba mwanamke vile alivyo, je inakuwaje tena amkataze kusimama madhabahuni akiwa period?

    Sijui vizuri neno la Mungu yaani biblia lakini jumapili iliyopita nilishangazwa kidogo na mchungaji alivyokemea na kuwa mkali kwa wanawake kutosimama mbele ya kanisa pale wanapokuwa period. Mchungaji alisisitiza 'unaanzaje kusimama hapa madhabahuni ukiwa siku zako'? "Kama huko siku zako tulia'...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?

    Naombeni mnipe majibu, ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara? Lakini mbona baba yangu alipendwa na mama yangu akiwa hana kitu, mimi nimezaliwa mpaka nafikia umri wa kujitambua nimekuta baba yangu anaishi kwao, yaani kwenye nyumba ya wazazi wake nayo ilikuwa chumba kimoja na sebure...
  11. JamiiForums Tanzania Je, hapa duniani pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?

    Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke usiache kazi kisa mwanaume

    Greetings members and guests!!!!! Napokea malalamiko/Kero/misuguano/sintofahamu n.k kuhusu wanawake kuacha kazi kisa wanaume.... Wadada acheni hizi eti unaacha kazi kisa jamaa kasema acha mwisho wa siku ni kuonewa mpaka kufikishana dawati la jinsia na mahakamani. Kwani nini mnafanya hivo...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nani atamuoa? Atalipwa nae?

    Tazama picha sina maelezo yapo katika picha.
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tendo la ndoa halijakamilika hadi mwanamke afike kwanza? Nje ya hapo ni ubakaji?

    Wakuu hapa kuna mjadala unaendelea nimeona nishare na wanavyuoni wa JF. Wengine wanasema lengo la tendo la ndoa ni kupata mtoto au mwanaume kuburudika, mwanamke ajiongeze humohumo wakati mwanaume anatafuta burdani. Ushahidi unaotolewa, hakukuwa na mambo ya vileleni kwa wana wa kike enzi za...
  15. JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke miaka mitatu sikuwahi kunusa wala kusikia akipumua mashuzi

    Kuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi, Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba ni self. Kivumbi kwa somoe binti wa mwananyamala sitamsahau anaachia mashuzi live kama pikipiki ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? πŸ€”

    Za usiku. Nimepatwa na sintofahamu ya kuombwa namba na demu fulani hivi Na huyo demu mwenyewe ni member kajiunga mwaka huu? Personally nadhani huyu ni mtu fulani hivi itakuwa ananijua na hata id zangu zote itakuwa anazifahamu. Wakuu nimeingiwa na hofu namba zangu zisije zikawa kwenye mikono...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kinyamwezi akikupenda ni mtamu sana kwenye mahaba nihabue

    Habari zenu, Hakika kunena ushuhuda ni raha sana ndivyo naweza kusema, mpo, mwanamke wa kinyamwezi mtamu na anayajua mahaba nihabue. Ni fundi na amefundika anaweza hatari sana. Woyo woyo woyo chezea mnyamwezi ni noma. Ni hayo tu wanyamwezi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ‘πŸ‘πŸ‘
  18. JamiiForums Tanzania Zanini, mwanamke anayefanya kazi za ndani miaka 20 kwa Bosi mmoja

    Mara kadhaa kumeripotiwa matukio ya kikatili yanayodaiwa kufanywa na wafanyakazi wa ndani, ikiwamo kuwaua au kuwapiga watoto wa mabosi zao wakati wazazi husika wakiwa hawapo nyumbani, Hali hiyo imesababisha kujenga uadui kati ya wafanyakazi wa ndani na waajiri. Hatua hiyo, imesababisha wenye...
  19. JamiiForums Tanzania Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Habarini nyote, Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo. Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi. Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari. Yangu ni hayo tu.
  20. JamiiForums Tanzania Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

    Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo nimeshindwa kuelewa kabisa kwa huyu mwanamke ambaye nimetangaza nia ya kumuoa. Nataka ushauri wenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…