mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Kutongoza mwanamke

    Ubingwa wa kumtongoza mwanamke,ni sanaa nzuri mno,na kila mwanaume anapomtongoza mwanamke na mpaka anafanikiwa kunyanduana nae,anajisikua fakhari kubwa sana,vipi wanaumevwenzangu nyie mna maoni gani?
  2. JamiiForums Tanzania Mahali ambapo Shetani hawezi kufika huwa anatuma mwanamke

    Case studies zipo nyingi Sana Sina haja ya kurudia. Uzi tayari.
  3. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Tutarajie Kumpata Sheikh Mkuu wa Tanzania Mwanamke Kabla ya 2030

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na tamaduni mbalimbali, inazidi kujiandaa kwa mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii. Moja ya malengo makuu ni kuwezesha wanawake kushika nafasi za juu katika uongozi, hususan katika nafasi ya Sheheh Mkuu. Hili ni jambo ambalo limekuwa likijadiliwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

    Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake. Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake...
  5. JamiiForums Tanzania Kauli " Mwanamke Shetan"

    Mara Nyingi sana huwa nasikia watu wakisema mwanamke Shetani, je hili swala likoje, na Kuna ushahidi wowote inaonyesha kua mwanamke ni Shetani, na Je Kuna Uhusiano Gani kati ya Mwanamke kupenda sana Pesa, kiasi Jamii Mzima Inaamini Mwanamke anapenda sana Pesa + Mali + Vitu. Je ushetani wa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini ukimchekea chekea mwanamke kwenye biashara, anawaza kukufirisi tu?

    Aisee! Hadi nimechoka mwili, akili na roho Kuna mdada mzuri tu yuko na mama yake opposite na duka langu la maudambu udambwi ni mama nt'ilie. Huyu binti alinivutia sana tokea siku ya kwanza wanafungua kijimgahawa pale. Nilikuwa mteja wa kawaida ambaye sikutaka hisia zangu ziwe wazi kwa muda ule...
  7. JamiiForums Tanzania Ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu

    Katika nyakati hizi ngumu tulizonazo, mwanamke ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu. Sio kama nahamasisha uzinzi nje ya ndoa lahasha ila tambua kwamba kuna baadhi ya wanaume wameoa na wana watoto wamepata na wake zao lakini wanaume hao hao wakitoka kwenye nyumba zao ni...
  8. JamiiForums Tanzania Ukioa mwanamke amekuzidi IQ utapata tabu sana

    Changamoto yao kubwa ni ujuaji mwingi hutoeza kumchit asijue, udanganyifu wowote ule unagonga mwamba Yani ni full mabishano. Ukiwa na Mali utapigwa bila kujua.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ni yupi?

    Ndugu wana JamiiForums naomba kuuliza swali? Swali langu linaweza kuonekana la kawaida Ila lina maana kubwa wengine husema uzuri wa mwanamke ni tabia. Wengine husema uzuri wa Mwanamke ni sura. Je kati ya haya mawili sura na tabia lipi lipewe kipaumbele ninapochagua mchumba? Naomba kuwasilisha
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe wa namna gani?

    Nisaidie kutoa jibu
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanawake hawana faida yeyote kwa wanaume uzeeni

    Mwanamke hana faida yeyote kwa mwanaume uzeeni zaidi ya kukulipizia kisasi na kukuwahisha kufa mapema Ndugu zangu kuna misemo na matisho wanayopewa vijana wa kiume huko duniani kuwa wewe mwanaume endelea kukataa kuoa FAINALI NI UZEENI pia wanawadanganya vijana wa kiume kuwa mwanaume akizeeka...
  12. JamiiForums Tanzania X mwanamke na x mwanaume huwa wapi mna tatizo?

    Nilitandika vibinti enzi hizo,na vikazaa hovyo tu,. Mi nikaendelea tu kibabubabu na kibibibibi. Mi ndoa nilishakataa. Sasa X zaidi ya saba wanataka kurudi ntawapeleka wapi? Huku nna x wa mwisho nae anandai hela nyingi tu. Kwenda mahakamani kujitetea ni kila siku,ni mke wa ndoa kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania Nini maana ya mwanamke anapigwa kwa upande wa khanga?

    Nasikia tu huu usemi kua mwanamke hapigwi bali anapigwa kwa upande wa khanga sasa adi Leo sijui maana yake. Naomba ufafanuzi asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Maeneo wanayotoka wanawake watata, jasiri na wanaoweza kubishana na mume

    Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha. Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume. Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

    naomba mnisaidie kujibu ili swali maana watafiti hewa wamenichanganya na mchoro wao huu chini
  16. JamiiForums Tanzania Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:

    NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO: Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni Karume au sehemu yoyote inapofanywa biashara Taikon Master nitakapokuta biashara Ambazo kûna Mwanamke na...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

    Ukweli ni kwamba mwanaume hata ajitahidi vipi kukusamehe haitatokea kamwe, wanaume huwa wanadhani wanaweza lakini hawawezi. Tutazungumzia hili kwa kutumia makundi matatu ya wanaume KUNDI LA KWANZA Hawa ni wanaume ambao tukijua tu wapenzi wetu wametusaliti huwa hatuna mjadala hata ulie, uombe...
  18. JamiiForums Tanzania Utajuaje mwanamke ni bikira?

    Kwa watu mliofanya mapenzi hasa na wanawake wengi huwa mnajuaje mwanamke ni bikira au sio bikira?
  19. JamiiForums Tanzania Chukua hii itakusaidia aliniambia rafiki angu kuhusu kuwa na mpenzi mmoja

    Habari! Nimeleta huu uzi kwa maana vilio vimekua ni vingi mara usimuamini Mwanamke, mara Wanaume wote Malaya. Sa sikieni one day kuna mshikaji wangu nilimuuliza mbona una demu mmoja unajiamini Nini. Jamaa anilipa jibu Moja ambalo Hadi Leo lilinijenga aliniambia sikia mwanangu Gizoo. Mi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Gwajima, mwanamke huyu anafanyiwa ukatili na unyanyasaji kutoka kwa baba mwenye nyumba wake

    Hivi karibuni nimeshuhudia kitendo kikubwa sana cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili aliofanyiwa Mwanamke mmoja jirani na kwangu dhidi ya mwenye nyumba wake, nikaona si vyema kulikalia kimya tukio hili ni lazima nilitolee taarifa ili wahusika wamsaidie mwanamke huyo na jamii ijifunze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…