mwanamke

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa utambulisho alioufanya Spika Tulia Ackson Bungeni kwa Mumewe sasa nimeamini kuwa Ukioa tu Mwanamke wa Mkoani Mbeya jiandae Kutawaliwa nae mazima

    Nilidhani atamtambulisha Muwewe (Boss wa EWURA) kwa Majina yake yote Matatu au hata Yeye pia kuacha Kujiita Tulia Ackson Mwakyusa na kujiita Tulia Andilile Mwainyekule lakini kila Mtu kabakia na Jina lake la Ubini / Ukoo ikidhihirisha kuwa ni kweli Wanawake wa Mkoa wa Mbeya wanapenda mno kuwa...
  2. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Mama amkamatwa kwa kumchoma msumari kichwani mtoto wa kambo kwa kupoteza Naila 1,000

    Habari hii iliripotiwa kwa mara ya kwanza mnamo Oktoba 9, 2024, kupitia jukwaa la Nairaland. Katika tukio hilo la kusikitisha, mwanamke mmoja nchini Nigeria alikamatwa kwa kosa la kumchoma msumari kichwani mtoto wake wa kambo baada ya mvulana huyo kupoteza naira 1,000 alizopewa kwenda dukani...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda

    Habarini, Mwanaume yoyote rijali, anaetafuta hela yake halali, kiasili anapenda kumpa hela mwanamke anaempenda.. Ila dunia ya sasa trend iliopo duniani ya umarioo (wanaume kuingia kwenye uhusiano wa kingono na mijimama ili wapate kupewa hela) ni tabia inayokua glorified, kitu ambacho ni...
  4. Mollel_ Jr

    JamiiForums Tanzania Je kuoa mwanamke aliye kuzidi elimu ni Ujinga or?

    Kumekuwa ma mjadala juu ya hili je wadau hili lina ukweli au inategemea?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Movie ya action steringi akiwa mwanamke huwa siangalii kabisa, mnaoziangalia mnawezaje ?

    Muvi hata isifiwe iwe kali kivipi nikishaona star ni mwanamke anaetembezea kipigo wanaume huwa sina time nayo kabisa. Kiuhalisia mwanamke mtu mzima mwenye miaka 28 anaweza kupigwa vizuri kabisa na mvulana wa form 2 mwenye miaka 15
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanamke mhanga kati waliopigwa Mabwepande asimulia kwa machozi ya uchungu walivyokamatwa na kuteswa

    "Naitwa Pendo, Jana nilitoka nyumbani kwa ajili ya kwenda mahakamani kusikiliza kesi ya Lissu, niliwahi sana kufika mahakamani, nikakuta akina Pambalu, Mwaipaya na viongozi wengine. Tulishauriana turudi ili tukawasaidie waliochukuliwa getini. Tulikuta dada yupo chini, juu yupo uchi, nikatoa...
  7. Stability

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Tipwa Tipwa wamebaki kwa ajili ya burudani tu za kutolea stress za mihangaiko. Wengine Unakutaga wanahagaika in their 20s, wanauza utu kwa ajili ya starehe na pesa za kuhongwa, wakishafikia 35 sasa ndio wanaanza kutafuta mabwana na kuja na nyuzi humu wakitafuta wazee wa miaka 50 maana wanajua...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA kimbiaaaa mkuu wangu.

    Usioe mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Usifanye biashara na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Usipange nyumba moja na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Fanya yoooote na wanawake wa kichagga wa majina mengine, lakini ukisikia tu MANKA, kimbiaaaa mkuu wangu. I'm done..
  9. Tanzanized S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Imepata Rais Mwanamke Asiye Mstahimilivu, Asiye na Subra, Maono, wala Hekima na Busara za Kiutawala

    Wakati historia iliandika ukurasa mpya kwa taifa la Tanzania kumpata rais wa kwanza mwanamke, matumaini ya wananchi, hasa wanawake, yalikuwa makubwa mno. Ilidhaniwa kuwa hatimaye sauti ya mwanamke ingesikika, na siyo tu kusikika bali pia kuleta mabadiliko yenye tija, huruma, ufanisi na hekima...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tanzania hapatawahi kutokea rais mwanamke mstahimilivu, mwenye subra na maono, hekima na busara kama za kiutawala kama Samia Suluhu

    Ni neema na baraka za Mungu Tanzania imebarikiwa kua na kiongozi mbeba maono ya waTanzania wo ambae mstahimilivu na mwenye subra kama Dr.Samia Suluhu Hassn, licha ya chuki na upotoshaji unaoelekezwa dhidi yake na wanasiasa waliopoteza uelekeo wakiungana na viongozi wa dini kwasababu Dr.Samia...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo kuzaa na mwanaume masikini ni mapenzi ya kweli, bahati, hajui kukataa, ushirikina au ni kitu gani ?

    Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi . Mapenzi ya kweli Ni cha wote Ushirikina / Ndumba Bahati ama kuna cha ziada
  12. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mtibeli Robert Heriel yawezekana akawa ndo mwana JF mwenye mwanamke mrembo sana JF nzima

  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

    Habari zenu wakuu? Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis. Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki. Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka...
  14. drakeman

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke matured

    Hello, How are you guys, kama kichwa cha habari kilivyo jieleza, mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo 1. Mrefu mweusi 2. Umri wangu 30 3. Graduate, Christian 4. Muajiliwa/ nimejiajiri pia ,wala sivuti sigara, wala siendi club 5. Ninaishi Dar es salaam Sifa za mwanamke nimtakaye 1. Uwe...
  15. fact only

    JamiiForums Tanzania Bahati ya mwaka, nyumba inauzwa

    Habari wana JF. Milioni 18 tu unapata nyumba ya vyumba 3 na sebure maji yapo umeme ni kuvuta tu . Location ni Saku mwisho karibu na mwanagati Dar es salaam HAKUNA UDALALI. Hivyo basi. ∆ Kama ukipangisha ✓ ∆ Kama utageuza kuwa sehemu ya ufugaji ✓. ∆ Kama utahitaji kuishi ✓...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Utavumilia mengi kwa mwanamke ila mwanamke mwenye kisirani kikali lazima uombe pooh tu.

    Utaonya Utaita vikao Utapiga Haitasaidia chochote, Ni aina fulani ya watu ambao hata kama yeye ndio amekuudhi eti anataka wewe ndio umuombe msamaha au umchangamkie. Hawa wadada wenye visirani hata kama amekuudhi kupitiliza na umeshikwa na hasira umempiga kakofi unashangaa anakuambia "we niue...
  17. Isenye

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kufanyia ngono na mwanamke meingine kwenye kitanda ulichokua unalalia na mkeo?

    Mke kanikimbia siku ya tatu leo,niko tu mwenyewe hapa home,naona ugwadu umenikamata sio poa.nafikiria kuvuta manzi mwingine tu hapa mtaani nimgongee hapa hapa home. Je ni sahihi kulala na mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia na mkeo?
  18. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi Royalty Pranks zinazoendelea ni ushahidi Tosha hakuna mwanamke mwaminifu

    Kwema Wataalam ! Ndio linapokuja swali... Hivi mnaosema unawekeza kwa mwanamke una moyo imara vya kutosha kihimiri tukio atakalokutandika nao. Hapo chini nimeweka tu baadhi ya Comments za wadada asee ni balaa. Ushauri kwa wanaume wenzangu, Kama unataka kuwekeza na kuweka akili yako kwa...
  19. Akotia

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Chuma, Mwenye Moyo wa Dhahabu,Tusimfanye Adui kwa Sababu ya Neema Yake

    Wana JF Wakati mwingine, tunahitaji siasa za kimya. Siasa zenye kutafakari, kusamehe, kuponya, na kujenga. Dunia imejaa kelele, vurugu, na giza . Tanzania bado ni kisiwa cha amani. Hii si bahati. Ni hekima ya viongozi wetu na kwa sasa, hekima hiyo imevaa sura ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kuna...
  20. Talib conscious

    JamiiForums Tanzania Si-date tena na mwanamke anayejifanya Sheikha

    Ukiingia kwenye mahusiano na mwanamke anaejifanya Sheikha ni mateso tu mkionana ukitaka kubusu anakwambia sjazoea ukitaka kumshika au kumkumbatia hatujaowana bado shida Ina kuja pale unapomwita geto anaanza kukupa hadithi na methali mwisho anakwambia unataka tuzini yaani shida tupu mpaka...
Back
Top Bottom