Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba
Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba
Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa
Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa
M n mmoja wa wanakamati wa jamii...
Muache futa namba yake, block kila mahali na umusahau
Huyo ni mnyonyaji wa nishati anakuwekea mazingira ya kukutawala kihisia. Huyo mwehu anataka uishi nae kwa hofu ya kumuumiza. Anakuandaa kukufanya mtumwa wake...
Miaka michache nyuma tulianzisha kikundi cha sanaa ya uigizaji mtaani kwetu.
Mimi ndio nilitoa hilo wazo na kuwashirikisha vijana wenzangu ambao niliona wanaweza kufanya sanaa ya maigizo. Nilitoa hilo wazo baada ya kuwa nimeacha kufanya mazoezi na kikundi cha MTWARA SUPER FILM, kikundi maarufu...
nipo ndoani Miaka kadhaa , baba wa watoto wawili ndoani, nimekuwa NATOa Kila kitu kwa mke wangu msosi , matunzo kwa watoto , nashow love zote ila Bado lawama hazijawahi Isha nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuanzia sasa Sina uwezo wa kukabiliana na mwanamke, acha mambo yajiende
🔍 UTANGULIZI
Katika simulizi nyingi za Biblia, tunafundishwa kuwa mwanamke wa kwanza alikuwa Hawa (Eve), aliyeumbwa kutoka ubavu wa Adamu. Lakini katika maandiko ya kale zaidi hasa yale ya Kiebrania, Kabbalah, na maandiko ya Kiyahudi ya kale kuna jina jingine linalojitokeza: LILITH.
Lilith ni...
Habari ndugu zangu wapendwa!
Hii mada inaweza isieleweke kwa baadhi ya watu!
Wengi wakisikia neno umeme wanawaza mitambo, nguzo, waya, transfoma n.k kwakweli vyote hivi hivi siyo Umeme!
Ukweli ni kwamba Umeme ni nishati au nguvu inayosafiri.
Swali? Binadamu anaweza kuwa na umeme?
Ni kweli...
IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi.
Na hii itatokana na ridhaa ya...
UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.
1. Hii ni video nzima.
2. Video ya awali ilikatwa na wahuni.
3. Si mtoto, ni mtu mzima.
4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
Inakuwaje mwanaume hutakiwi na mwanamke na bado unamlazimisha , Mwanamke akikupenda huitaji nguvu nyingi dalili utaziona, Hapa ofisini jamaa analazimisha penzi kashakataliwa mara nyingi bado anafosi.
Binti akitumiwa message anakuja kunionesha Mimi, Tunakula ela za jamaa akitumiwa tunaenda kuinjoy.
Wakuu hawa viumbe vipoje? Aisee yule mke wangu wa jamii forum aliyenitosa anaomba turudiane baada ya kuona andiko langu la hapa jamvini na analalamika yule bwana wake mpya amemtosa na analalamika hamfikishi kileleni so ameomba turudiane
Kiukweli mimi nilikuwa namfikisha kunako mlima kitonga na...
Kama umekizi vigezo hivo Kuna uwezokano ukaolewa kabisa kabisa muhimu uwe nasifa hzo, angalau mara 3 Kwa siku itakua vyema.
Kama UPO serious njoo pm mbwembwe peleka Kwa ma uncle
Tukio la kibaguzi lililorekodiwa katika uwanja wa michezo wa Minnesota limezua hasira na kuzua mzozo usiotarajiwa baada ya mwanamke anayeitwa Shiloh Hendrix (kwenye picha) kurekodiwa akielekeza maneno ya ubaguzi wa rangi kwa mtoto mweusi mwenye umri wa miaka mitano, ambaye inasemekana ana autism...
Jambo la msingi ni hilo
Yani mimi niko Sealed kama Box la sigara, halafu wewe nikukute Uko Open High way ya Mfugale..
Njoo tufunguane kama Champaigne😂😂
Sijui ni pepo la ngono ama vipi wakuu yaani nikiona tu maziwa au chuchu za mwanamke hasa hasa zile chuchu saa sita napatwa na msisimko wa ngono inayopelekea kurukwa na akili wakuu
Kiukweli hii hali siiipendi kabisa sasa sijui jinsi ya kufanya wakuu naombeni ushauri au msaada wa mawazo na mimi...
Wimbi kubwa la wasichana wengi wanazalia nyumbani, hasa kwa miaka ya hivi karibuni, changamoto inakua ni nini? Na unakuta jamaa aliyempa mimba yupo tu.
Tumekua mstari wa mbele kuwashutumu Wanaume kwa kuwapa mimba na kukimbia, lakini ukiingia deep unakuta wanawake wenyewe ndio chanzo cha...
Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
Fikiria mtoto mzuri anajipoat, anafollowers kibao, hajaona picha yangu, na hajaomba ila anajibu text zangu kwa haraka na amekubari kukutana na mimi.
Najiuliza huyu atakua wakawaida kweli? Mana wanawema “when the deal is too good, be Think twice i.e be cautious “
Asijekua dume jike huyu wadau...
Wajumbe mko pouwaaa?Nimeona tushare pamoja juu ya hii dhana,ambapo inasemekana kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa ndiyo maana anakuwa mtulivu na hana bugudha na wewe.Hivi watafiti mnasemaje Yana ukweli haya au kutiana presha tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.