mwanamke

  1. M

    JamiiForums Tanzania Access Group: Rais Samia mwanamke mwenye nguvu zaidi Africa

    RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam. Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa wachina wembamba wa mwanamke ndio urembo

    🇨🇳 Kwa Wachina, Urembo wa Mwanamke ni Wembamba Wake... Katika jamii ya Kichina, wembamba ni ishara ya uzuri wa mwanamke 👩‍🦰✨ Huyu hapa ni mmoja wa wanawake wanaochukuliwa kuwa mrembo zaidi nchini China — anasifika kwa sura yake ya kupendeza 💫 na umbo lake linaloendana na vigezo vya urembo wa...
  3. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Ukiona hizi dalili jua umeshaachwa unasubiriwa wewe kujitangaza tu

    Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako anapanga kukuacha au tayari amepunguza mapenzi katika uhusiano: 1. Mawasiliano Kupungua Sana Hataki...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Naweka challenge hapa. Tukubaliane kiasi cha Pesa. Mwanamke akiweza hili nampa pesa yake

    Vyovyote mtakavyosema. Tangazo, mtego n.k sijali. Nachojali ni hisia zangu na uhuru wa mawazo kwa mujibu wa Katiba na bila kuvunja Kanuni. Najua na wanaume wenzangu baadhi wataunga mkono wanaweza wakawa nao wanapitia changamoto hii. Ikiwa kuna mwanamke naweza nikagegedana naye akawa na...
  5. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Kila unapomsaidia mwanamke, hakikisha unamdinya kwanza. Vinginevyo, what goes around, goes away

    Ukimsaidia mwanaume kwenye matatizo yake atakukumbuka maisha yake yote. Ila ukimsaidia mwanamke atakukumbuka kila akipata tatizo jipya.
  6. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Kujiamini kwa Mwanamke wa Leo: Ni Kiburi au Ni Hatua ya Ukombozi?

    Siku hizi wanawake hawasubiri tena kuambiwa “unaweza.” Wanasema, “najua naweza/tunaweza.” Wanajiamini, wanavaa wanavyotaka, wanaendesha magari yao, wanaamua nani wa kuwa naye na lini — lakini bado kuna watu wanawaangalia kwa jicho la kushangaa, wengine wakisema: “Hawa wanawake wa siku hizi...
  7. Atukuzwee

    JamiiForums Tanzania Ulishakutana na mwanamke wa hivi?

    Wadau ushakutana na mwanamke yaani ukituma message lazima apige na usipokea ni mzozo , mnachati message mbili ya tatu anapiga .. hii inakera saana Hawa huwa una deal nao vip maana nimeshaongea nimechoka
  8. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ya kumfukuza mwanamke alieng'ang'ania ghetto??

    Kama inavyosomeka hapo juu Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu. Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na...
  9. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Msikilize Ayn Rand akisema kwanini asingempigia kura Mwanamke kuwa Raisi😆😆😆

    Msikilize Ayn Rand akisema kwanini asingempigia kura Mwanamke kuwa Raisi😆😆😆
  10. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za chale/mihuri ya kichawi jinsi zinavyotumaliza kiroho na kuchafua yota zetu huku tukipata mikosi.

    Chale za wanga ni aina ya mihuri ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi. ukishawekwa mihuri hiyo huwa ni ngumu kutibika na huishia kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo ambayo ni alama ndogo sana na hujulikana nakuonekana kwa wenye ujuzi. Mtu kwenda kwa mtaalam na kuchanjwa chale ni ishara ya...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Imagine mwanamke anapoteza maisha kwenye maandamano Kenya kama hivi ila Tanzania midume inakua chawa kwasababu ya uoga

    Hii ni kenya mwanamke kapoteza maisha Kwa kuipambania nchi yake tanzania sifa kuu ya midume inakua chawa yote ni njaa na uoga
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaidieni mwanamke huyu

    Habari zenu wakuu wa JF Sitaki kupoteza mda wenu kwa maneno marefu. Nipo kwa kusudi Moja tu, Kumuombea kazi mwanamke jasiri ambaye kwa Sasa amepigwa na upepo wa maisha. Alikuwa amejitahidi kujitegemea, akajikusanyia mtaji mdogo na kuanzisha biashara yake ya kujikimu. Kwa bahati mbaya vijana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanatabasamu Usoni ila Mioyo inavuja Damu

    MSAADA NA USHAURI PM IKO WAZI LAKINI USISITE KUSIKILIZA RADIO YETU YA MTANDAONI KWA KUBONYEZA HAPA Jesus News Radio Kuna wanawake wengi wanaotabasamu mbele za watu, lakini mioyo yao inavuja damu kwa maumivu ya mapenzi, ndoa au mahusiano yasiyo na furaha. Wengine wamevumilia kudharauliwa...
  14. Think2

    JamiiForums Tanzania Usijichanganye kuoa ama kuishi na mwanamke kutoka sengerema -Mwanza

    Kama wewe huwajui vzr wanawake wa kisengerema asee usioe nini shida ni hivi Siku mkigombana afu wewe ukatoka jua ukirudi unakuta chumba cheupeeee mweee😁😁 Wanaroga sana wanaume safari za waganga haziishi. Ugomvi kidogo anakimbilia kwao au kwa mwenyekiti utasikia unpigiwa simu baba fulani...
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

    Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future. Pampuchi sio kitu cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano. Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi. Mwanamke akupe peace of mind. Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa. Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku. Awe na ofu ya...
  16. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu alikosea nini tena?

    Marilyn Monroe ni moja ya wanawake wanaotajwa kuwa na IQ kubwa kuwahi tokea duniani alikuwa na IQ ya 165 kubwa kuliko ya Albert Eisten ambaye alikuwa na 160.Ila cha ajabu licha ya maarifa makubwa aliyokuwa nayo hakuacha alama yeyote duniani kwa kupitia maarifa yake. Na hii ni moja ya mifano...
  17. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Life Lesson: Usifanye deal na Mwanamke

    Kwema wakuu? Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera. Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye deal na mwanamke. NEVER.
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mwanamke wako au Mkeo ana hizi tabia zilizosemwa hapa jua unatakiwa Uachane upesi sana kabla mambo hayajaharibika na umtafute anayekufaa

    Na Wanawake wenye hizi tabia wanatoka sana katika haya Makabila tajwa.... 1. Wahaya 2. Wanyiramba 3. Waha 4. Wanyaturu 5. Warangi 6. Wakara 7. Wanyamwezi Huwezi kukuta Mwanamke kutoka Mkoa wenye Wanawake wenye Adabu na Nidhamu Tanzania nzima kama wa Mara (Musoma)
  19. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kuoa napata hofu, wasiwasi,kutojiamini na uchoyo(Ego)pamoja na kukosa mwanamke bikra

    Sijui nifanyeje aisee na inavyoonesha nikiendelea hivi nitaendelea kuwa bachelor aisee japo mie ni tajiri na half milionare lakini bado nakumbwa na hofu, wasiwasi,na kila aina ya matatizo nimeshindwa cha kufanya na ukiangalia umri unaenda na nakaribia third floor sasa napata wanawake na...
  20. BradFord93

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mbinafsi hua mnaishi nae vipi??

    Kuna mwana mmoja dereva wa bajaj, sasa kuna usiku mmoja alikesha ila biashara haikuwa nzuri. Asubuhi mkewe anataka hela ya pampas, akamwambia kama ana kaakiba akanunue, ila mchana akiingia mzigoni atampa, demu kakomaa ila jamaa akambembeleza, baadae akamfunga mtoto vikanga. Sasa mwana siku...
Back
Top Bottom