mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukitaka kuolewa, olewa na mwanaume anayekupenda na sio mwanaume unayempenda

    Hapo vip!! Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa...
  2. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mwanamke wa kizungu

    Naomba tumia busara kunijibu Mimi Nina shahada yangu safi TU. Nina a lot of busines idea. Ila changamoto kubwa ni mtaji Naona watu wengi wametoka kupitia haya majimama ya kizungu Baada ya penzi kunoga naweza kupata mtaji na kutoboa Nipo zanzibar kwasasa naweza kutumia njia gani kuwapata...
  3. JamiiForums Tanzania Sipendi tabia ya Mwanamke kujifanya hajui kilimchomleta faraghani

    Kuna kiumbe Nimemlipia nauli mpaka hoteli X chumba namba Y anafika ndani unajipigisha tu stori zisizo na kichwa wala miguu nguo hataki kuvua kama vile hajui kilichomleta mi nishavua tayari yeye ananitazama tu na kujichekesha. Mwisho wa siku giza lishaingia ananiambia yuko period kuhakiki mzigo...
  4. JamiiForums Tanzania Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kwa mwanamke huimarisha afya yake

    Mwanamke asiposhiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu anaweza kukumbana na mabadiliko ya kimwili kama vile ukavu wa uke, kupungua kwa uimara wa sakafu ya fupanyonga, na kupungua kwa ulainishaji asilia, na mabadiliko ya kihisia kama vile kuongezeka kwa mfadhaiko, hasira, wasiwasi, upweke, na...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ukiona namna mwanamke anavyokua na anavyobehave akiwa na mwanaume aliempenda kwa dhati basi utaacha kuwafukuzia wanawake ili ukae kusubiri wako

    Nyie vijana mnaodhani wanawake wanawapendea pesa au utanashati mnakosea sana. Ile natural attraction bado ipo, wewe tembea uone. Mnashinda mijini na mitandaoni huko ambapo kuna wanawake wenye upungufu wa nguvu za kike. Siku ukiona mahaba tunayopewa sisi ambao hatukutumia minguvu kuwapata basi...
  6. JamiiForums Tanzania Ila sisi wanaume 😂😂, hakuna kitu mwanamke ataacha kupata kutoka kwa mwanaume

  7. R

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kutokana na utendaji marais wanawake Afrika waliopita/wa sasa. Je wanakidhi matarajio ya kuthibitisha USEMI kuwa "MWANAMKE ANAWEZA?

    Tuwatathimini outputs zao katika utendaji wao! Je kuna tofauti na wanaume au wote ni hao hao BORA LIENDE 1. Samia Suluhu Hassan- Tanzania 2. Netumbo Nandi-Ndaitwah-current- Namibia, 3. Ellen Johnson Sirleaf -Liberia 4. Joyce Banda- Malawi
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe

    Natafuta mwanamke ambaye ana allergies na nyama ili nikinunua niwe nakula mwenyewe
  9. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu kwa mwanamke unapoolewa

    1 . Mpe nafasi ya kucheat .as long atatumia protection n arudi kwa nyumba. Kwa maana ukishindana n mwanaume utachoka 2.Mheshimu. 3.mpe yote kitandani 4.usimufokee 5.usiwe mropokaji 6.mpikie chakula kitamu 7. Uwe msafi 8. Usiwahi shika simu yake. 9.heshimu wazazi wake. 10. Be a...
  10. JamiiForums Tanzania Oyaah Mwanaume usife kwasababu ya Mwanamke!!

    Kwenye Bustani ya Edeni mshua adam alikubali kula tunda la ujuzi wa mema na mabaya ambalo alipewa na mwanamke na akakubali kifo kiingie na mpaka leo TUNAKUFA, Mfalme suleiman alikuwa mtu mkuu lakini wanawake ndio waliua ukuu wake, Samson na wana kibao kwenye biblia walikufa kwa namna tofauti...
  11. JamiiForums Tanzania Thamani ya mwanamke ni ipi kwenye mahusiano?

    ✍️Mwenyekiti nimegundua kuwa ukiondoa ngono (sex) kwenye mahusiano mengi ya siku hizi, utagundua kuwa asilimia kubwa ya wanawake hawana mchango mwingine wowote kwenye mahusiano, totally nothing. Kitu pekee wanawake wengi wanachochangia katika mahusiano yao ni ngono na ngono pekee (sex and only...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni

    Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni. Ukiongeza Anko T kama kifungashio.
  13. JamiiForums Tanzania Utamjuaje mwanamke aliye tayari kuolewa cc B2

    How To Know A Woman That Is Ready For Marriage! Many women are waiting for marriage, but they are not ready for marriage. Some women may have married without these qualities, but it will show in the quality of their marriage. But when a woman is truly ready for marriage, these qualities must be...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyejifanya Msukule akamatwa na wananchi akiiba, Arusha

    Mwanamke mmoja anayedhaniwa kuwa ni msukule amekamatwa mkoani Arusha, ndani ya duka la dada mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe Mwanamke huyo alikutwa akiiba vitu mbalimbali, ikiwemo viatu na nguo, kitendo kilichowashangaza wateja na majirani waliokuwa karibu na eneo hilo ‎ ‎Mashuhuda wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke ahukumiwa kwa kula nauli ya mwanaume, Nigeria

    Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa.

    Asalam Alaykum. Nahitaji mwanamke wa kiislam alietayari kwa ndoa Sifa zangu Miaka 28 Mrefu Mwembamba Muajiriwa. Sina mtoto. Sifa za mwanamke naemuhitaji Muislam Anaevaa stara. Asiwe na mtoto. Miaka 26 kurudi chini. Asante tangazo hili ni kwa yule tu alie tayari kuingia kwenye ndoa ikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mapenzi niue: Yule Jennifer aliyekula nauli ya Emmanuel, ahukumiwa Miaka 7 Jela

    Mwanamke mmoja wa Nigeria anayeenda kwa jina la Jennifer, amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume Emmanuel 30,000 ambayo alitumiwa kisha hakwenda eneoo la tukio kuonana na mwanamume huyo. Jen haamini macho yake 🤣...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanamoyo mgumu , hivi unaoje mwanamke kakuzidi urefu

    Kuna wanaume wana moyo mgumu hivi unaoaje mwanamke kakuzidi urefu , mi naona kama kuna dharau fulani hivi inakuwepo , usishangae siku mke wako akukuita we dogo
  19. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mwanamke ni msafi angalia miguu yake

    Take Note.
  20. JamiiForums Tanzania Kimaumbile mwanaume ndo alitakiwa kuvaa sketi/ gauni na Mwanamke suruali

    Nadhan waliobuni haya mavazi kwa jinsia wali focus zaidi kwenye urahisi wa kujisaidia/ kukojoa lakini kimaumbile na mpangilio wa mambo ulivyokaa, wanaume walipaswa kuvaa kama sketi/ msuli na wanawake suruali. Mi nawakubali sana wamasai( shuka), watu wa mashariki ya kati(kanzu) na mashariki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…