mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Jamani, girlfriend wangu anasumbuliwa sana na tatizo la maumivu kipindi cha bleeding, kwa wanaojua kama kuna tiba yoyote ambayo inaweza kumsaidia huyu binti, naombeni mawazo. Maana huwa anapata maumivu makali sana. Nawakilisha. Naombeni ushauri wenu wa kitabibu Asanteni WADAU WENGINE...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

    Natumai hamjambo wakuu Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa. Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3+ na asipotimiziwa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

    Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani iliyofichika kati ya kusema ukweli au kudanganya unapokuwa 'Unamtongoza' Mwanamke wa Kitanzania?

    Ni kwamba 99% ya Wanawake Wanaotongozwa kwa Kudanganywa na Wanaume huwa wanawakubali haraka sana lakini pia 99% ya Wanaume ambao huwa wakiamua kuwa Wakweli kwa Wanawake pale wakiwa Wanawatongoza huwa wanawakosa japo wao (Wanaume) hudhani kuwa Mkweli ni 'Tiketi' ya moja kwa moja Kuuona Ufalme wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mali aliyoikuta mwanamke inaweza kugawanywa sawa endapo mmeachana?

    Ndugu wapendwa, Niligombana na mke wangu, kwa shinikizo la wazazi wake akanipeleka polisi na kufungua kesi ya jinai kuwa nimempiga so nikawekwa mahabusu na kutoka kwa dhamana. Baada ya ushauri alihiari kufuta kesi lakini baba yake akadai nimrudishie gharama aliyoitumia kuja kutatua matatizo ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke aliyekeketwa ana uwezo wa kufika kileleni?

    Habari wakuu? Kuna swali huwa najiuliza nimeona nililete kwenu kwa majibu. Swali ni je mwanamke ALIYEKEKETWA anao iwezo wa kufika kileleni wakati wa tendo?
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

    Wanabodi, Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza...
  8. JamiiForums Tanzania Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application

    *Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri. *Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi. *Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero. *Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis. *Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke wa shoka

  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe asiyeishiwa maajabu

    Ukikaa ukatafakari matukio uliyokwisha kutana nayo kwa wanawake utaungana na mimi. Hawa watu wanamaajabu mengi na siku zote hawaishiwi maajabu Kuna jambo moja kwangu nataka leo mnisaidie kunifafanulia Haya mambo hutokea hasa sehemu za makazini, mtaani na hata chuoni. Wadada wanaonyesha kuwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jua unachohitaji mapema

    Leo naomba nizungumze na wanawake. Nyie wanawake baadhi yenu ni wa.pu.uzi sana. Umri ukienda ndio mnajua mnachohitaji yaani mwanaume serious mtu mzima tena mnatambua hilo baada ya kuchezewa sana sana na masharobaro na mabraza meni. Mnapokuwa katika umri mzuri na mna mvuto mnakuwaga na nyodo...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wiki 1 au 2 kabla ya Kilele cha Sikukuu ukitongoza Mwanamke ni ngumu kukataliwa?

    Kwani hizi Sikukuu Kubwa Kubwa hasa za Kiimani huwa sina Siri gani Kubwa na iliyojificha na Wanawake kiasi kwamba Ukitongoza tu Wiki Mbili au Moja kabla ya Kilele cha Sikukuu za Idi, Pasaka na Krismasi uwezekano wa Wewe Kukataliwa ( Kutoswa ) naye ni 0%? Wajuzi wa hili hebu njooni mtupe Elimu...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

    Au labda Mwenyezi Mungu alivyowaumba Wanawake hakuwawekea ile roho dhaifu ya kutaka Kujitoa Uhai ( Kujiua ) kama ambayo inaonekana kwa Wanaume hiyo Roho si tu kwamba aliiweka bali aliigundisha kabisa na Super Glue kama si Gesi au Shaba ili isitoke milele? Wanawake wote mliopo hapa JamiiForums...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke akinikataa namchukia automatically

    Habari wanajukwaa kongwe kabisa la JF, ingawa bado tunachangamoto ya kirusi hiki hatari kabisa cha COVID-19 lakini tuendeleee kunawa mikono mara kwa mara. Ni muda wa mwaka na nusu sasa mimi kama expert member wa JF sijaweza kupost Uzi hasa katika jukwaa hili. Naenda straight to the point, mimi...
  15. JamiiForums Tanzania Nisipomuona mwanamke yeyote duniani kwa siku nitakufa siku hiyo hiyo

    Nimeshajipima na kujitambua siwezi kuishi kabisa bila kumuona mwanamke duniani ! Ikitokea hivyo nitakufa instantly hakika. Women hasa ambao sio bloodline hakika wananiumiza mno.Nakiri udhaifu wangu kwao. Kifupi naumwa bila ladies.!!!
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba ukiona Ndugu wengi wa Mke (Mwanamke) wanafululiza kuja Nyumbani Kwako ni dalili ya kwamba Umeshakamatika Kindumba?

    Kuna nyumba mbili napakana nazo huu ni Mwaka wa Tatu sasa naona tu ndugu wa upande wa Mwanamke (Mke) wakifululiza kuja na hata wakija huwa wanakaa hadi waamue wao kuondoka ila Ndugu wa Mwanaume (Mume) wakija huwa hawakai hata siku tatu na wakati mwingine utakuta Mwanaume ndiyo anawaambia...
  17. JamiiForums Tanzania Kipi bora kuoa mwanamke mwenye mtoto au Mwanamke alotoa mimba?

    Nauliza kipi bora hasa Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

    Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa. Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda. Wakati mwingine huwa...
  19. JamiiForums Tanzania Binti aliyenipagawisha

    Closed
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo sio mwanamke kupenda pesa, tatizo ni kukuomba hela huku huna hizo hela.

    Oh! Mara yule mwanamke anapenda sana Pesa, mara anatamaa sana. Mara anazingua nampiga chini! Tatizo sio kukuomba fedha, tatizo ni kwamba anakuomba fedha huku wewe huna? Nje ya mada : Dada poa mmoja Alisikika akisema " tarehe za mshahara biashara inakuwa nzuri sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…