Baada ya kuona jamii inavuka ule mpaka wa kumrekebisha mwanamke na kugeuka kuwa kumsimanga mwanamke, nimeonelea kutoa angalizo lifuatalo.
Sisemi kwamba wasikosolewe, ninachosema ni wasionewe maana "women are naturally expensive, take the one you can afford and stop saying that they love money"...