mwanamke

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anayeweza kum control mwanamke mpaka akatulia ni cameraman pekee

    Wakuu tuzungumze tu ukweli bila mumunya maneno. Mwanaume anayeweza kum control mwanamke mpaka akatulia ni cameraman pekee.
  2. JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anaweza kupata mimba huku akiwa anatumia vizuizi vya mimba?

    Habari za humu wana jukwaa, naomba kuuliza, hivi mwanamke anaweza kupata mimba na huku akiwa anatumia uzazi wa mpango(kuweka plastic ndani ya uke)?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kukutana kimwili na mwanamke anayenyonyesha kuna madhara kwa mtoto

    Naomba wataalamu mnisaidie kumekuwa na maneno mengi kuhusu kufanya mapenzi na anayenyonyesha kwamba utamsababishia matatizo mtoto je kwa mfano inatakiwa kukutana mara ngapi kwa wiki kwa mwanamke anayenyonyesha?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda kwa dhati, hata kukuomba pesa ataona aibu

    Ukiijua kweli itakuweka huru. Hii ndio kweli hata kama ni ngumu kuielewa. Ipo hivi, mwanamke akikupenda kwa dhati, hata kukuomba pesa ataona aibu, na hawezi kuvumilia matumizi yako mabovu ya pesa. Hayo ni miongoni mwa mambo yanayowafanya baadhi ya wanawake waonekane ni viumbe maalum kabisa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Natafuta MKE wa kuoa,awe mrefu,maji ya kunde au mweupe,mkiristo,mpenda maombi,awe na hofu ya MUNGU,awe anajua kusoma na kuandika,umri kwanzia miaka 21 hadi 31
  6. JamiiForums Tanzania Usifanye hili kosa unaposalitiwa na Mkeo/Mwanamke wako

    Tofauti nasie Me, Mwanamke anaposaliti kuchepuka ,ameamua kufanya hivo Kihisia, na hii inamaana Akili yake yote inakua imeshajikubali na ipo tayari kwa lolote. Sasa Basi, Unapotokea umegundua Mkeo, mwanamke wako Kakusaliti, ama umefuma Namba za huyo jamaa na meseji. Ama ni taarifa tu unazopewa...
  7. JamiiForums Tanzania Nilikula buku- buku za huyu mwanamke; zilipofika tano akasema ni 'exploitation'!

    Leo nimemkumbuka huyu bi dada.. Katika pilika za hapa na pale nikabahatika kula buku buku zake... Zipofika buku tano, manung'uniko yakaanza kwamba eti namu exploit. Yani bila kujali benefits kibao alizopata kutokana na urafiki wetu, book tano yake kaiona kuubwa. Nimemkumbuka leo baada ya...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye kichanga kupata ujauzito

    Ndugu wanajamvi, huyu mwanamke ni jirani yangu! Ana kichanga cha miezi tisa (9)! Alinieleza njia ya uzazi aliyokuwa anaitumia ni ya kalenda! Sasa kuna kulingana na mabadiliko ya mazaringira kumbe siku zikavurugika! Pasipo kutarajia akanasa ujauzito! Je nini madhara yake!? Je, atoe mimba au...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana msidanganywe, ukiwa na pesa utapata mwanamke umtakaye

    Nimekua nikisoma thread tofauti humu JF za wanaume wakilalamika kuhusu kutendwa na wanawake zao kisa hawana pesa kisa hawana uwezo wakuwahudumia hao wenza wao, nk Nimeona wengi kwenye comment wakishauri watu watafute pesa sana na kwa bidiii ili kuepuka hayo yote, kila ushauri mzuri ni vyema...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda anaweza kukupatia mtoto asiye wako

    Wanawake ni viumbe ambao huwezi kuwaelewa mpaka upate uzoefu kutoka kwao. Ni viumbe wa ajabu mnoo. Viumbe hawa wakikupenda wanaweza kukupatia mtoto asiyewako tena wakikuchukia wanaweza kukunyima mtoto wako.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

    Habar za kaz wadau hope all is gone well Mungu anasaidia january inakatika io ebu twende ndan ya mada Nipo katika mahusiano na girl mmoja hivi kwa almoat miaka miwili sasa mapenzi yetu yalitawaliwa na furaha tele ikiongozwa na upendo lkn kuna mikwaruzo midogo midogo toka awali lkn sasa sio...
  12. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na mwanamke wa aina hii?

    Katika harakati zangu za kutafuta maisha hapa na pale. Nilifahamiana na mdada mmoja. Baada ya kuwa karibu na yule mdada tulianzisha mahusiano ya kimapenzi. Siku ya kupiga show nilimwelekeza aje getto. Totoz alifika bila wasi na hatukupoteza muda tukaanza romance. Huwa nina utaratibu wa kucheck...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kila mwanaume anataka kuoa mwanamke ambaye haendi club wala hanywi pombe?

    Marafiki zangu wakiume huwa wanasema kwamba. “ hatuwezi kuoa wadada tunaolewa nao pale kidimbwi au tips”. Au wanasema hivi wale madem tunaowabambia kule club element pale watawaoa kina nani?” Swali langu: Hivi kwanini wanaume wanapenda nasty girls yani wale ambao hawana aibu mfano anaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Hatimaye jana nimefanikiwa kula pesa ya mwanamke

    Habari waheshimiwa wa jukwaa hili? Jana nikiwa zangu naendelea na shughuli zangu za ujenzi wa Taifa letu tukufu, nikapokea simu kutoka kwa mdada mmoja ambae alikuwa mtu wangu siku za nyuma, baada ya salamu za hapa na pale akaniuliza maisha yanaendaje, nikamwabia maisha magumu sana nikamtania...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume usikubali kuuza nafasi yako uliyopewa na Mungu kama kichwa cha familia, hata umpende mwanamke kiasi gani nafasi yako ndio heshma yako

    Tangu ijumaa tarehe 15 January 2021 imekua siku mbaya sana kwa bwana Abdul Jamaa aliyekua akijulikana kama baba Nasibu au Mzee Dangote. Hii issue ya mzee Abdul itapita lakini sisi kama jamii tuna jambo kubwa sana kujifunza haswa kwenye mahusiano na hata kwenye malezi. Kwa wale waamini wa Mungu...
  16. JamiiForums Tanzania Eti "Leo Simba Anacheza" ndo tafsida ya Mwanamke kuwa katika Hedhi, Hii sio kejeli kweli?

    Yaani huu msemo unanipa ukakasi kichizi yani! Leo Simba Anacheza ndo maana yake uko period??? Eti unableed. Really? Kisa damu nyekundu? Aaahhh tuachane na huu msemo bhana
  17. JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kumuamini mwanamke ilikuwa baada ya kuzama kwenye penzi zito na yeye

    Kuna mtu alinifunza kuipenda haki. Kwa kuyapitia maumivu na mazito nilijifunza kuwa na huruma. Kwa mara ya kwanza nikamuamini mwanamke. Ama kweli mapenzi ni matamu mno, nilijikuta nazama zaidi kwenye penzi zito. Nikampa moyo wangu nikampenda kupita maelezo. Kabla ya hapo sikutaka kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwanamke kupewa pasu kwa pasu baada ya talaka bila wao kuchangia ni wa Hovyo na kandamizi kwa wanaume?

    Wakati wanaharakati wakihangaika kuwainua wanawake na kujifanya kuwatetea ndipo wanazidi kuwashusha na kuwakandamiza wanaume. Hali inakokwenda kuna wanaharakati watajitokeza nao kuwa wanatetea wanaume dhidi ya ukandamizaji unaofanywa dhidi yao. Mwanamke kutaka pasu kwa pasu ilhali hajachangia...
  19. JamiiForums Tanzania Muuguzi adaiwa kumzaba makofi mwanamke aliyejifungulia sakafuni

    Muuguzi wa zamu katika Kituo cha Afya Mazwi mjini Sumbwanga anadaiwa kumzaba makofi usoni mwanamke mmoja aliyejifungulia sakafuni kwenye moja ya vyumba vya kituo hicho juzi usiku. Taarifa zilizopatikana kutoka kwenye kituo hicho, zinasema mama huyo ambaye jina lake halijawekwa hadharani...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anamjua mwanaume halisi aliyempa mimba?

    Hivi karibuni nimepokea Taarifa nzuri kwa kila mwanamme... Kuna binti mmoja nili do naye takribani wiki 2/3 tatu zilizopita. Hivi karibuni baada ya kuona mabadiliko ya kimwili akaenda kupima ujauzito na kukuta ana ujauzito wa wiki 2/3. Baada ya kugundua hivyo, moja kwa moja alinifata na kunipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…