Kumridhisha Mwanamke inategemeana na nini?

Kumridhisha Mwanamke inategemeana na nini?

Mwangesela

Member
Joined
Apr 18, 2020
Posts
9
Reaction score
4
Wadau hivi kuna uhusiano wowote kati ya size ya uume na kumfikisha mwanamke kileleni?

Mwenye uzoefu tafadhari sana.
 
Ukiwa mwanaume Mkubwa inakuwa rahisi kumbeba mwanamke na kupanda naye mlima Kilimanjaro na mkafka salama kileleni maana kila atakapojaribu kuanguka utakuwa unamzuia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yees
unamsugua ipasavyo pia anapata size anayoitaka
utaskia ingiza mpaka hapo ndo mwisho usiniingizie dude lote
 
Kwa asilimia kubwa...
Ukiwa na kibamia ni asilimia ndogo sana na pengine inaweza kukukosesha kujiamini....

Ila piga uwa hakikisha unacheza mechi si chini ya dakika 10
 
Ukitaka kumridhisha mwanamke inabidi awe anakupenda hata ukimkiss tu anamwaga
Hizo zingine kelele
Huu ndio ukweli mchungu, mwanamke awe na hisia na wewe tu. Hata uwe na kibamia atakojoa tu.
 
Write your reply...ni HISIA tu nyengine mbwembwe kama yule Dada kule Sudan temeke alitokea kunichunuku mteja wake
 
Hakuna. Kumridhisha mwanamke kuna hitaji mambo kadhaa;
1. Wewe mwanaume uwe mtundu kitandani
Ujue kumwandaa mwanamke kwa maneno matamu na sehemu zenye nyege ucheze nazo kwa muda.
2. Mwanamke awe tayari yaani aridhie kufanya
Namaanisha si kumlazimisha ama asifanye ili mradi wewe umetaka. Wakati mwingine ni vema kumsoma mkeo/mpz wako kama yupo katika mazingira gani? Mwanamke akiwa na nyege hajifichi kama lakini umemjua vema mkeo/mpz wako.
3. Mwanamke awe na hisia nawe.
Mwanamke anayekupenda kimapenzi ni wazi atajiachia so hutatumia nusu saa, wala bao 5, wala uume mkubwaa kumfikisha. hata dakika 4 kama umemwandaa vizuri.
 
Back
Top Bottom