mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Kwako Mwanamke: Je, unaweza ruhusu Mpenzi/Mume wako kukunyoa kichaka chako?

    Kulingana na maumbile ya Dada zetu kuwa sensitive kidogo (mbususu) huwafanya kuwa makini Sana katika kutunza utu wao hasa kwa kuzingatia usafi muda wote, kwa hili natoa pongezi za dhati kabisa kwa wadada, maana hata nyuzi za watu kulalamika kuhusu harufu na vichaka zinapungua kwa kasi kubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mtwara: Mwanamke ajeruhiwa kwa kukatwa mapanga kisa simu ya 24,000/=

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Lyowa Mkoani Mtwara, Josephine Boniface (30) amejeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kwenye miguu yake yote miwili na mumewe baada ya kupoteza simu ndogo (Kiswaswadu) yenye thamani ya Tsh. 24,000. Josephine anasema wakiwa kwenye sherehe za ngoma za jando na unyago...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

    Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata. Naitwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna vitu si vya kukabidhi Mwanamke

    Hello wanaume wenzangu kokote mliko. Nawaasa sana kokote mliko Kama una familia ama hauna unaweza kuwa nayo after some time Kuna vitu katika haya maisha si vya kuweka katika miliki ya mwanamke. Utakuja kulia vibaya sana ama kujiua kama mstaafu wa Polisi kule Moshi Naorodhesha vichache! Hati...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

    Habari Wanaume Wa JF Kama unavyojua hulka ya mwanaume ni kutamani na kutongoza popote anapopata nafasi. Lakini kwa wanaume wanaojua sifa za mademu wanaowataka hatongozi tu hasa akiona kuna kitu hakijamvutia kwa mwanamke. Achana na maumbile tunaongelea yale mambo wanayojiongezea au kuyapunguza...
  6. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuepuka kukataliwa na Mwanamke umpendaye kupitia hisia zake?

    Tuachane na mambo ya Hakimu [emoji23],, Wee ni kijana Mtanashati tu unavijisent vyako vya kawaida ,au bado hujasimama kiuchumi, upo kwenu au kwako isiwe sababu ya kukataliwa na Mwanamke unayempenda..... Kua Mtanashati ili ikupe mwonekano chanya alafu , yajue haya [emoji116]...
  7. JamiiForums Tanzania Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

    Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE. Hakuna watu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi au jinsia sio mzuri

    Ubaguzi ni kitu kibaya pale ambapo jamii moja uamini ni bora kuliko jamii nyingine kama ilivyo kwa mzungu kuamini anastahili kuongoza kila kitu duniani kwani ngozi nyeusi ina laana"wana amini hivyo" Akili hizo zipo pia kwenye jinsia mwanamme anaamini yeye ni bora anayestahili kutawala kila...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukimtongoza mwanamke halafu akakujibu hivi, anakua na maana gani?

    Mfano umempiga manzi sound, afu akakujibu NO COMMENT anakua na maana gani exactly?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni imani potofu: Mwanamume kufika haraka ni wingi wa nguvu za kiume na si upungufu. Pia mwanamke kuchelewa kufika ndio upunguvu za nguvu za kike!!

    ANGALIZO: KAMA HAUJAOA AU KUOLEWA PITA KIMYA KIMYA TU, HAIKUHUSU!! Upotofu huu umechagizwa na watu kutaka kupiga pesa!! Wanaume wanaaminishwa kuwa hawana nguvu za kiume kwa kuwa wanafika kileleni haraka (ndani ya dakika 5 goli tayari). Kwa hiyo wanahitaji dawa au virutubisho!! Hii ni biashara...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke wangu wa nje kanitamkia kuwa anahitaji siku moja tufanye “Threesome” nimeogopa sana mood ya kuendelea nae imepotea kabisa

    Hii hali imenikuta wikiendi hii, kuna mchepuko wangu mmoja ni mtumishi wizara moja hapa dodoma nikaona si vibaya wikiendi tutoke nae baada ya kula na kunywa tukaamua tukapumzike. Kama kawaida baada ya romance nikaanza kumpelekea moto “Nilidumbukiza nyama kwenye kiota chake vilivyo hadi...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwanamke amuua mama mkwe wake kwa sumu

    Jeshi la polisi linamshikilia mwanadada NEEMA MWAMBUSI USWEGE(29) mkoani Mwanza kwa kosa la kumlisha mama mkwe wake sumu kwenye chakula na kumsababishia umauti. Inadaiwa kuwa mama wa JAMES BULAYA (38) bi ANETH MANYIRIZU umemkuta umauti huo tarehe 13/1/2022 saa 12:00 mchana alipopelekwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki mwanamke

    Sifa Awe na umri wa miaka 33 na kuendelea Awe Muislam na anajitegemea (mfanyakazi/mfanya biashara) Asiwe kwenye Ndoa Sifa zingine karibu pm
  14. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa mume wangu huyu wa sasa pia ninamtoto 1 Mtoto alikua anaishi nyumban kutoka afya ya mama sio nzuri...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ujinga wenu tu sex kitu cha kawaida sana kwa mwanamke

    Habari wadau Kule uzi wa kula tunda kimasihara unazidi kutanuka watoto wanamwaga stori tu na wanaona kama unexpected sex na demu ni jambo la kifahari sana hawa sio kosa lao, kosa ni ujinga uliopandikizwa kwenye jamii za Kiafrika kwamba mwanamke ni kitu valuable sana madogo someni hapa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanamke unampa hela nyingi halafu anaku-cheat na mwanaume ambaye ni masikini kuliko?

    Tena utakuta na kitandani shoo unasimamia vizuri tu, nimeona Real crime documentary YouTube mwanaume Wa kizungu aliuliwa na mwanamke Wa kifilipino aliekuwa anamuhonga ili huyo mwanamke abaki na security guard. Tajiri mwingine wa kinaijeria presha ilipanda baada ya kugundua mke aliemjengea...
  17. JamiiForums Tanzania Nifanyaje kuachana na mwanamke aliye nipenda sana

    Habari za muda huu ndugu zangu Moja kwa moja acha niende kwenye mada nilikutana na binti mmoja mtandaoni tukaanzisha mahusiano huko baada ya mda kidogo tuliweza kukutana na kuendeleza mahusiano yetu. Ila kadri muda ulivyozidi kwenda moyo wangu ulianza kutokumpenda tena, ila yeye ananipenda...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikosea anaombwa msamaha, Hii imekaaje?

    Imewatokea wanaume wengi sana wa Dar! Sisi wa mikoani hatunaga huo ujinga. Yaani mwanamke unampigia simu kwa namba yako anakata... halafu ukipiga kwa namba nyingine inapokelewa.....akisikia sauti yako tu anafoka.."Hivi we mwanaume hujui nipo msibani" Unabaki Kujibu "SAMAHANI BABY.. NILITAKA...
  19. JamiiForums Tanzania Kuchinjwa kwa binti wa mchungaji Mtungutu

    Wakati niko Safarini tokea Dar kulelekea kijijini kwenye msiba wa babu yangu, njiani kwenye njia ya kutokea Chemba kupitia kijiji kinaitwa Mtungutu, Pembezoni mwa barabara nilikuta gari la polisi likiwa na askari kadhaa, na upande mwingine wa barabara nikaona wanakijiji wengi wamekusanyika kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke aliyekuzidi umri ni sawa?

    Jamani kuoa mwanamke aliyekuzid umri ni sawa. Ushauri Jaman!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…