mwanamke

  1. W

    Askofu wa kwanza duniani mwanamke aapishwa rasmi

    Askofu Mkuu mwanamke wa kwanza Dame Sarah Mullally ameapishwa rasmi kuwa katika historia ya Kanisa la Anglikana duniani, akiongoza waumini takribani milioni 85. Ingawa alianza majukumu yake tangu Januari mwaka huu, hafla ya kuapishwa imefanyika kama sehemu ya kuthibitisha rasmi mwanzo wa...
  2. MamaSamia2025

    Kupitia post ya Phares Magesa itoshe kusema ni risk kubwa kumsomesha au kumwezesha mwanamke kiuchumi

    Mimi nilikuwa sijui kama Haika alikuwa mke wa Mzee Magesa ila baada ya huyu ndugu kupost mtandaoni ndo nikajua. Namjua Haika kama mfanyabiashara mkubwa jijini Dar Es Salaam. Kwa maelezo aliyoandika Magesa ninadhani waliosema mwanamke hasomeshwi walikuwa sahihi. Pia kumwezesha mwanamke kiuchumi...
  3. Vien

    Je, Mwanamke Hubeba DNA za Wanaume Wote Aliowahi Kulala Nao? Mtazamo wangu ni huu

    Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja...
  4. Stroke

    Leo nimeshuhudia mwanaume akipigwa makofi na mwanamke

    Tatizo jamaa alijifanya kidume saana, Kaingia mahali kaanza kuamrisha watu kumbe watu wanamchora tu. Mhudumu akazidisha bili, Si akabisha. Jamaa akala makofi. Haha, wakuu sio vyema kujutumua kila mahali.
  5. Scared

    Hivi inakuaje mpaka dume Zima linalilia mwanamke aisee hii kitu hainiingii akilini

    Kuna jamaa hapa mtaani ni likubwa miaka 31 Kuna kademu kake kana miaka 18 Sasa sijui imekuaje kamesema waachane Sasa Kuna mshikaji mwingine ndio anatoka nako haka kademu hapa mtaani Sasa huyu jamaa akaanza kukaa nastress na kulia Yaani tupo nae hapa kijiweni anawaza mpaka kuoga haogi ananuka...
  6. instinct desire

    Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

    Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mke awe na umri kuanzia 35+ njoo inbox
  7. Dr leader

    Kitu gani kinamsisimua mwanamke

    Niliwauliza wanawake 40+ swali moja la ajabu sana… “Ni kitu gani mwanaume hufanya ambacho kinawasisimua zaidi ?” Nilidhani wangesema: Misuli ya tumbo. Pesa. Au ubabe wa mwanaume. Lakini majibu yao lilinishangaza. Karibu wote walisema kitu kimoja… Sio kile mwanaume anachofanya. Ni kile...
  8. M

    Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

    Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha. Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi...
  9. MK254

    Malaika wa kwenye uislamu humlaani mwanamke usiku kucha akimnyima mumewe unyumba

    Ni kama hawa malaika hukaa mkao wa kusubiri kutazama show, ila sasa mke akigoma kumfuata mume kitandani, wanamlaani huyo mwanamke usiku kucha.... Sio maneno yangu ila andiko hili hapa.... sahih al-bukhari 3237 Allah's Messenger (ﷺ) said, "If a husband calls his wife to his bed (i.e. to have...
  10. Tundusami

    Nataka mwanamke mwenye umbile la asili

    Natafuta mwanamke mwenye umbile la asili sio surgery awe na tako kubwa asiwe amejichubua awe mzuri wa sura na tabia njema Asiwe mzanaki, asiwe mvivu wa kufanya kazi Ajue kulea watoto Awe na matumizi ya pesa mazuri Awe tayari kuishi popote hata kijijini Ajue kupika chakula Ajue romansi...
  11. VERBOSE

    Siku hizi nikikutana na Mwanamke havai Shanga kiunoni sipati hamsha hamsha kabisa. Nitakua nina tatizo gani?

    Waakuu, rejea kichwa hicho km kinavyojieleza hapo juu, namaanisha kichwa cha habari. Siku za hivi karibuni nikikutana na Mwanamke ambae havai Shanga haanipi amsha amsha kabisa. Why? Wanawake wanaovaa Shanga wana vitu via pekee kuliko wasiovaa, nina ushahidi wa kutosha. Sasa imekua nikikutana na...
  12. O

    Visingizio vya asili kwa baadhi ya wanawake katika suala la ukosoaji na maendeleo

    Kumejitokeza tabia ambayo baadhi ya wanawake hawapendi kusikia ukweli unaowakosoa. Mara nyingi hupokea vizuri maneno yanayowapendeza kuliko ukweli unaowaweka kwenye hali ya kujitafakari. Unapomkosoa mwanamke kuhusu kosa au uzembe fulani, wakati mwingine anaweza kuchukia au kukasirika sana. Hata...
  13. kyagata

    Hivi huyu mwanamke ni mke wa mtu kweli wakuu?

    Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri. Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini. Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule...
  14. Samia atosha tukutane2030

    Nikimwona mwanamke ana kipini puani nasikia kinyaa

    Nikimwona mwanamke ana kipini puani naona kama kamfugo fulani hivi Wanawake punguzeni maurembo. Mara vikuku, huku kope za paka, mara uso unapakwa madudu mpaka unashindwa kujua huyu ni maiti au mzima
  15. ELI COHEN

    Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?

    Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?
  16. Tundusami

    Mwanamke ukimkuna vizuri na huna mavumba unamchanganya sana

    Sanaa ya ukunaji ni wachache wamejaliwa nayo .Ukunaji sio lazima uwe dushe kubwa ila ufundi tu Asa utakuta unampatia mwanamke unamkuna vizuri mpaka anaridhika ila huna mavumba huwezi kutatua mambo yake ya kifedha apo unamchanganya sana mwanamke.
  17. Bwege2030

    Uchanganuzi wa michango ya mwanamke kwenye uchumi katika utafiti wa 2025

    Womenomics Tanzania 2025. ~Utafiti kuhusu Wanawake katika Nguvu Kazi, Biashara, na Uongozi. Takwimu Muhimu (2025) 80%: Kiwango cha ushiriki wa wanawake katika nguvu kazi. 54%: Idadi ya biashara ndogo na za kati (MSMEs) zinazomilikiwa na wanawake. Dola bilioni 1.7Nakisi ya mtaji kwa...
  18. SuperHb

    MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi

    Habari ndugu ZANGU... Baada ya MKE kwenda kwa wazazi wangu na wake ,,,, Mimi nilikuwa naendelea na uchunguzi wangu...,,Kuna taarifa niliipata wakati anaondoka Nyumbani kwangu kuna JAMAA ambaye anaishi NYUMBA ya Jirani,, aliyekuwa akimtongoza ,,, kwahiyo mwanamke alimtafuta JAMAA huyo akiomba...
  19. Godoro la kioo

    Familia kuendeshwa na mwanamke ni Hali ya kawaida

    Wakuu Salam Nina swali langu hapa nahitaji majibu kutoka kwenu Unakuta mwanaume yupo na ana nguvu zake si kwamba labda amezeeka Cha ajabu unakuta nyumba inaendeshwa na mwanamke Yaani mwanamke ndo anapanga Leo tule Nini na kwa muda gani Siyo hivyo tu kwenye mambo yanayohitaji maamuzi unakuta...
  20. Sifi Leo

    Wengi hamjui protocol, Jana Rais hakutambulishwa,aliitwa mbele ahage mwili kwa taratibu za kiislamu na aondoke au azungumze,je mwanamke yupi uzungumza

    Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti? Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote? Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo! Yaani alichokitamka faza Kitima ilikuwa ni kumpa salamu yakuwa hawamtambui, Kwanza kusema atatambuliwa...
Back
Top Bottom