mwanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Wanaodaiwa kumteka mwanaharakati wa Tanzania wafikishwa mahakamani Nairobi

    Nairobi. Dereva raia wa Kenya, Nelson Wanjohi Kirika mkazi wa Kenya anayeishi nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai na Aziz Hama raia wa Tanzania, leo Machi 6 wamefikishwa mahakamani jijini Nairobi kwa tuhuma za kumteka nyara Mtanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza na kumsababishia majeraha mabaya...
  2. funaku

    Kwanini mwanaharakati Maria Hazungumzii sakata la mafaili ya Epstein?

    Wadau wa mtandaoni wanajiuliza sana kuhusu ukimya wa wanaharakati wa kijamii na kisiasa. Je kwanini mwanaharakati huyu hazungumzii kuhusu files za Jeffrey Epstein??
  3. Mkalukungone Mwamba

    Mwandambo: Mimi ni mzalendo sijiiti mwanaharakati ninaumia na mambo yaliyopo

    Mimi ni mzalendo sijiiti mwanaharakati ninaumia na mambo yaliyopo maana yake unakuta katika nchi ya Tanzania walioajiriwa serikalini wanajikuta mabosi wa wananchi" Hayo ameyasema Clemence Mwandambo wakati akihojiwa na Jambo TV akieleza kuwa moja ya mambo ambayo yamekuwa yakimuumiza ni waajiriwa...
  4. ChekoFagia

    Askofu Bagonza: Tulipofika Tanzania, mtu akiwa na mawazo tofauti anaitwa ‘Mwanaharakati’

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema tulipofikia katika taifa hili kila aliye na mawazo tofauti anaitwa Mwanaharakati.
  5. Scared

    Account za Mange Kimambi na Wananchi Forum zote zimefutwa Instagram. Inafurahia mauaji ama kweli mnyonge Hana haki duniani

    wamefuta
  6. M

    Tuache lawama kwa baadhi ya Celebrities kama kina Millard , Bila kuwa mwanaharakati huwezi vita dhidi ya system

    Wengi wetu tumeshuhudia jinsi baadhi ya celebrities hasa wasanii na wanamuziki walivyokuwa wakishiriki si tu kwa kuonyesha mapenzi yao ya kisiasa kwa upande flani, bali pia wakivuka mstari kudhalilisha na kukebehi wananchi walio upande wa upinzani. Hata hivyo, kuna kundi la celebrities ambao...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Ushahidi na Maneno ya mwanaharakati mzalendo Mdude Nyagali UTAISHI MILELE ukisubiri siku MAHAKAMA ikiwa HURU na HAI

    Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote. Kuna mara nyingine alishare kupitia maandishi vitabu, posts za mitandaoni, mara nyingine alifanya kupitia Videos ambazo pia alishare...
  8. R

    Mwanaharakati Boniface Mwangi Atangaza Kuwania Urais Kenya 2027

    Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi, ametangaza kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027. Mwangi, ambaye amekuwa mstari wa mbele kuongoza maandamano ya kupinga serikali yanayoshirikisha vijana wengi, anataka kugeuza nguvu hizo za maandamano kuwa harakati ya...
  9. 1Africa54

    Mwanaharakati Boniface Mwangi aondolewa mashitaka ya ugaidi, sasa akabiliwa na kosa la kumiliki risasi kinyume cha sheria

    Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imeondoa mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mwanaharakati Boniface Mwangi, ambaye sasa anakabiliwa na mashitaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria. Mwangi, ambaye ameachiwa kwa dhamana, awali alishtakiwa kwa kusaidia shughuli za kigaidi kufuatia...
  10. Ojuolegbha

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Padri Kitima: Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati. Tunayoyafanya sasa hivi Tanzania Venezuela walishawahi kuyafanya kaingalie Venezuela inavyoenda sasa.
  12. DELETED ACCOUNT

    Unafunga goli 3 za offside ndani ya mechi mbili halafu unatoka kujifanya mwanaharakati wa mpira

    Ninavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao. Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape wanayanga. Hawa walioshupaza shingo zao, wakaita hadi TRA na TAKUKURU, wakaenda CAS, wakaenda Mahakama...
  13. Huihui2

    Mwanaharakati Japhet Mattara aumizwa, anahitaji msaada

    Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.
  14. ngara23

    Nahitaji kuwa Mwanaharakati wa wanyama wafugwao, kuhusu zoezi kuchinja

    Hawa wanyama ni wema na ni rafiki kwetu sisi binadamu Lakini binadamu wamekuwa wapumbavu na wakatili Kwa viumbe hivi Wanyama hawawezi kuongea wala kujitetea, watatetewa na nani ? 1. Kuhusu suala la kuchinja. Tunaweza kuwa tunahitaji kitoweo kutoka Kwa wanyama ila utaratibu wa kuchinja, ni...
  15. N

    MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  16. Prof_Adventure_guide

    Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

    Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti...
  17. Dalton elijah

    Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula

    Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania. katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
  18. J

    PreGE2025 Boniface Mwangi amepigwa na kuteswa na mamlaka za Tanzania na kutelekezwa Ukunda, familia yake yathibitisha

    Taarifa imetolewa na Citizen tv hivi punde Ahsanteni sana === Waufukweni said: Mwanaharakati maarufu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ambaye alikuwa akishikiliwa nchini Tanzania, ameripotiwa kusafirishwa kwa njia ya barabara na kutelekezwa katika mji wa Ukunda, uliopo pwani ya Kenya. Taarifa...
  19. evangelical

    Uganda kutomfukuza mwanaharakati wa Kenya alipokwenda kusikiliza kesi ya Besigye huku wakimsifu Samia kwa kumfukuza

    Kuna mambo yanafurahisha sana . Yaani watu wanakusifia wewe kwa kufanya kitendo flani kibaya . Kitendo hicho kibaya aliyekusifia yeye mwenyewe hakifanyi. Hii kwa wenye akili inaonyesha huyo mtu anakudharau anakuona wewe lofa flani anakupoteza manake huko ni kutoa sifa za uongo. Kuna watu...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Polisi waenda Hoteli ya Serena kutaka kumkamata Mpiga picha na Mwanaharakati Kenya Boniface Mwangi ikihusishwa na kesi ya Lissu

    Wakuu, Polisi wameendelea kufanya ujinga na mambo ya ajabu kwa usalama wa wananchi. Asubuhi hii ya leo polisi wavamia chumbani kwa mpigapicha na na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa kutoka kenya Boniface Mwangi wakisema wanataka kufanya ukaguzi. Boniface alikataa kufungua mlango na kuongea...
Back
Top Bottom