mwanafunzi

  1. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi abaka mtoto wake na kumpa ujauzito

    Mwanafunzi wa Chuo cha Udaktari wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara Mkazi wa Mburahati Jijini Dar es Salaam na Itunduma kata ya Mtwango wilaya na Mkoa wa Njombe amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake na kumsababishia ujauzito. Akimsomea Mashitaka matano yanayomkabili mshitakiwa huyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

    Mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza chuo kikuu Cha sayansi na technologia Mbeya (MUST) ndg Linus Magesa (21) ameuwa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha Kali kifuani na mtu anayesadikika kua ni mpenzi wake anayetambulika kwa jina la Suzy (19). Chanzo kikisadika kua Ni wivu wa mapenzi, Mtuhumiwa anaendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Mtoto Bahati Cornel wa Umbwe primary school amepotea. Yupo Polisi Kawe

    Mtoto Bahati S/o CORNEL, Mchaga, 8 yrs old, M/Funzi Umbwe primary school, Darasa la tano. Mtoto huyu yupo hapa police Kawe ambapo alijieleza kuwa amepotea, alikuja jijini DSM akitokea mkoani Kilimanjaro ambako ndiko anakoishi na Baba yake Mzazi aitwae CORNEL JOSEPH MASAWE, ambae anafanya kazi...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi atuhumiwa kuua mwenzake chuoni

    Mwanafunzi wa Chuo cha Utumishi Kange, jijini hapa anadaiwa kumuua mwanafunzi mwenzake kwa kumchoma kisu baada ya kumkuta kwenye chumba cha rafiki yake wa kike. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi, Blasius Chatanda, alithibitisha jana kwa njia ya simu kutokea kwa tukio hilo, na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kufunguliwa kwa shule nchini: Wanafunzi wasisitizwe kuwa waonapo dalili hizi toa taarifa kwa walimu au wazazi

    Dalili za ugonjwa wa COVID19 ni homa, kikohozi na mafua, kubanwa mbavu na kupumua kwa shida, kuumwa kichwa, vidonda kooni, koo kukauka, mwili kuchoka na kupoteza uwezo wa kuhisi ladha na harufu Kwa wanafunzi wanaotarajiwa kurudi mashuleni, ni muhimu kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni...
  6. JamiiForums Tanzania Acharazwa viboko 12 kwa kubaka mwanafunzi. Asema ibirisi wa mapenzi ndiye aliyemshawishi kufanya yote hayo

    MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi, imemuhukumu mkazi wa Kata ya Nyengedi, Kassimu Bidhali Chilumba (18), kuchapwa viboko 12 makalioni, baada ya kupatikana na kosa la kumbaka mwanafunzi. Mtuhumiwa hiyo alimbaka mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyengedi (jina limehifadhiwa). Hukumu hiyo ilitolewa...
  7. JamiiForums Tanzania Njombe: Mwalimu Mkuu ahukumiwa kwa kumjeruhi mwanafunzi kwa fimbo

    Na Amiri kilagalila, Njombe Mahakama ya wilaya ya Makete mkoani Njombe imemhukumu mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Iwale Mwl.Steven Mahenge kulipa faini ya shilingi Laki 5 au kwenda jela miezi minne kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi mwanafunzi wake anayesoma darasa la 7 mwenye umri wa miaka 13...
  8. JamiiForums Tanzania Nigeria: Taharuki yatanda mitandaoni kutokana na mauaji ya mwanafunzi aliyekuwa akijisomea Kanisani

    - Mwanafunzi huyo alikuwa anajisomea ndani ya kanisa la Redeemed Christian Church of God (RCCG) wakati wa tukio hilo - Familia yake ilipokea simu kutoka mama mmoja wa kanisa hilo - Uwavera alikimbizwa hospitalini baada ya mlinzi kumpata sketi yake ikiwa imechanika na blauzi yake ikiwa imelowa...
  9. JamiiForums Tanzania Maoni: Kila Mwalimu na Mwanafunzi apimwe covid-19 kabla ya kuanza masomo

    Habarini wadau! Kwa kuwa jana (17/05/2020) Mh: rais katupa matumaini ya hali nzuri ya nchi yetu na kwamba anafikiria kufungua vyuo na michezo mda si punde. Sasa mimi nikiwa kama mdau mmojawapo wa elimu, nina pendekezo lillilo na namna mbili za kufanya: (1) Aidha walimu na wanafunzi wapimwe...
  10. JamiiForums Tanzania Mwalimu jela miaka 30 kwa kubaka mwanafunzi

    MAHAKAMA ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 24 Abed Rajab Mbuba (54), ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi Shinji iliyopo Kijiji cha Shinji, kata ya Mbebe kwa kosa la kumbaka mwanafunzi. Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Shughuli...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Advance (Science) chukuwa vitabu hivi kwa bei nafuu

    Mwanafunzi wa advance chukua vitabu hivi kwa bei karibia na bure vikusaidie kipindi hicki cha mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, kaka yenu nimestaafu kufundisha. CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XI(S.CHAND ) CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XII (S.CHAND) A-LEVEL CHEMISTRY fouth edition (E.N. Ramsden) Vyote...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDSM akamatwa kwa kusambaza taarifa na Takwimu za uongo za Covid-19 WhatsApp

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mwaka wa Tatu Kitivo cha Kiswahili Mariam Jumanne Sanane (23) kwa kosa la Kuchapisha na kusambaza taarifa na takwimu za uongo kuhusu Corona kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Whatsapp. Akitoa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mmoja amefariki baada ya kuzama maji.

    Mtu mmoja ambaye inasadikika kuwa Ni mwanafunzi wa QT jinsia ya kuume katika shule ambayo haikujulikana Mara moja,amezama maji katika ufukwe wa Ununio.Tukio Hilo limetokea majira ya SAA 10 jioni,inasemekana alikuwa akiongelea na wenzake wanne wasichana watatu na mmoja wa kuume ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Ili kundoa usumbufu kwa serikali na CCM, Wizara ya elimu iagizwe kuondoa topiki zinazomfanya mwanafunzi kuwa mchambuzi,masomo ya kuchagua A au B muhim

    Nimetafakari sana na kugundua kumbe ccm hii shida tunayoipata tumeitengeneza wenyewe tangu enzi za mwalimu Nyerere Kipindi cha mzee Nyerere,masomo mengi ya kuhoji mifumo yalifundishwa, na haya ndio shida kubwa kwetu Awamu ya mzee Mwinyi na Mkapa,Benki ya Dunia na mashirika ya kimataifa...
  15. JamiiForums Tanzania Kagera: Muuguzi mbaroni kwa tuhuma za kuua mwanafunzi wakati akimtoa mimba

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera, linamshikilia Dezber Kahwa (49), mkazi wa Kijiji cha Kibengwe, Bukoba Vijijini, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Alinda Leverian (14), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kilima, kwa kumtoa mimba kienyeji. Kamanda wa Polisi mkoani Kagera...
  16. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

    Tazama mahojiano ya BBC jinsi Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe anavyopangua propaganda dhaifu za CCM na Serikali ya Rais Magufuli kuhusu kusogezwa mbele kwa maamuzi ya Benki ya Dunia (WB) kuipa mkopo wa elimu Tanzania kutokana na hoja zilizotolewa na Zitto na wanaharakati wa Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli mwanafunzi akisoma Shule binafsi hatapewa mkopo akifika chuo?

    Wakuu wangu wazuri nawabusu. Kuna mdogo wangu amemaliza Form Four Kisutu girls pale posta (Shule ya serikali) ana division two. Sasa kuna Uncle alimuahidi kuwa akipata ufaulu mzuri atamsomesha Advanced shule moja private ipo Tanga. Dogo anatarajia kusoma PCB (tuseme combination za science)...
  18. JamiiForums Tanzania Nashauri Wizara ya Elimu kufuta utaratibu wa mwanafunzi kufanya mtihani wa Form Four wenye maswali ya kuanzia Form 1 hadi Form 4

    Wakuu mtakuwa mashahidi, elimu siku hizi duniani imerahisika sana. Sio vita tena, bali ni kutoana ujinga tu kisha kila mmoja apambane na hali yake akiishafika huko mitaani. Sasa kumtaka mtu kwa siku moja ajibu maswali ya vitu alivyojifunza kwa miaka minne ni utamaduni uliopitwa na wakati...
  19. JamiiForums Tanzania Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo. --+ MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi darasa la pili apotea siku sita, mwili wake wakutwa pagalani

    Mwanafunzi aliyekuwa anasoma darasa la pili Shule ya Msingi Jitegemee Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani nchini Tanzania (jina linahifadhiwa kwa sasa) amekutwa amekufa ndani ya nyumbani ambayo ujenzi wake bado haujakamilika. Mwanafunzi huyo ambaye inadaiwa alipotea tangu Januari 14...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…